KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,590
- 4,600
siku Rais Magufuli akistaafu itafanyika sherehe kubwa UFIPA na viunga vyake ,kufurahia juhudi zao za kukwamisha maendeleo kupata mwanzo mpya

Hahahaaa MATAGAKuna watu wanaanza kulalama kuwa kwa nini unawataja wanaokuja kuomba msamaha. Usiache kuwataja tena ukiweza advance rusha hewani na maneno yao na videos zao zisikike wakisema. " Tumetubu baba, tumetubu kweli, juu ya nchi na chini ya dunia"
Tunapaswa kutambuana. Ili na wafuasi wao sasa wajifunze kuwa neno SHUJAA halipaswi kunajisiwa na kuchanganywa na Maslahi.
Inasikitisha sana namna wanasiasa wanavyotumia Ujinga wa wananchi kwa manufaa yao. Walikuwepo Mashujaa akina Ken Sarowiwa, akina Che Guevara etc. watu waliopambana kwa maslahi ya wengi. Wangeweza kukaa tu waka enjoy maisha lakini walikuja patwa na mauti kwenye harakati za kukoa watu wengine.
Leo mwanasiasa mmoja kaguswa maslahi yake anaamua ku retaliate mnamwita shujaa? Anapobanwa mbavu kidogo au inapoonekana kuna mbinyo ananyosha mikono na makalio juu.
Hawa Mh Rais waanike. Huu ni wakati wa watu kusimama wahesabiwe. Muda umejongea sana jua laanza kuzama kwao na kuchomoza kwako. Wasimamishwe.
Nakushauri ili ufanye kazi yako vizuri.tafuta vijana wenye msimamo,tafuta wazee wenye hekima na msimamo.hawa ndo ufanye nao kazi.achana na hao wanaokosa msimamo wasiojua wanachosimamia.
Fanya na watu wenye imani.imani inayowaongoza katika matendo yao.usifanye kazi na wanafiki.hawa kuna siku watakuja kukunanga, watakuja kukusema vibaya.hawana wanachoamini zaidi ya matumbo yao.
Endelea kuwaanika wote wanaokuja kuomba msamaha kwa makosa wanayokutendea. Kama kuna mtu ataamini kuwa hajakukosea basi huyo tumfahamu asimame tumwone.
Tunataka kuwafahamu wanaume na watoto wa kiume. Usiwaache. Waanike tuwafahamu.
😂😂😂😂Tena inabidi iwe live 😂😂😂😂
Unafiki umezidi hakuna kuaminiana ''do not trust anybody except yourself'Kuna watu wanaanza kulalama kuwa kwa nini unawataja wanaokuja kuomba msamaha. Usiache kuwataja tena ukiweza advance rusha hewani na maneno yao na videos zao zisikike wakisema. " Tumetubu baba, tumetubu kweli, juu ya nchi na chini ya dunia"
Tunapaswa kutambuana. Ili na wafuasi wao sasa wajifunze kuwa neno SHUJAA halipaswi kunajisiwa na kuchanganywa na Maslahi.
Inasikitisha sana namna wanasiasa wanavyotumia Ujinga wa wananchi kwa manufaa yao. Walikuwepo Mashujaa akina Ken Sarowiwa, akina Che Guevara etc. watu waliopambana kwa maslahi ya wengi. Wangeweza kukaa tu waka enjoy maisha lakini walikuja patwa na mauti kwenye harakati za kukoa watu wengine.
Leo mwanasiasa mmoja kaguswa maslahi yake anaamua ku retaliate mnamwita shujaa? Anapobanwa mbavu kidogo au inapoonekana kuna mbinyo ananyosha mikono na makalio juu.
Hawa Mh Rais waanike. Huu ni wakati wa watu kusimama wahesabiwe. Muda umejongea sana jua laanza kuzama kwao na kuchomoza kwako. Wasimamishwe.
Nakushauri ili ufanye kazi yako vizuri.tafuta vijana wenye msimamo,tafuta wazee wenye hekima na msimamo.hawa ndo ufanye nao kazi.achana na hao wanaokosa msimamo wasiojua wanachosimamia.
Fanya na watu wenye imani.imani inayowaongoza katika matendo yao.usifanye kazi na wanafiki.hawa kuna siku watakuja kukunanga, watakuja kukusema vibaya.hawana wanachoamini zaidi ya matumbo yao.
Endelea kuwaanika wote wanaokuja kuomba msamaha kwa makosa wanayokutendea. Kama kuna mtu ataamini kuwa hajakukosea basi huyo tumfahamu asimame tumwone.
Tunataka kuwafahamu wanaume na watoto wa kiume. Usiwaache. Waanike tuwafahamu.
Kuna watu wanaanza kulalama kuwa kwa nini unawataja wanaokuja kuomba msamaha. Usiache kuwataja tena ukiweza advance rusha hewani na maneno yao na videos zao zisikike wakisema. " Tumetubu baba, tumetubu kweli, juu ya nchi na chini ya dunia"
Tunapaswa kutambuana. Ili na wafuasi wao sasa wajifunze kuwa neno SHUJAA halipaswi kunajisiwa na kuchanganywa na Maslahi.
Inasikitisha sana namna wanasiasa wanavyotumia Ujinga wa wananchi kwa manufaa yao. Walikuwepo Mashujaa akina Ken Sarowiwa, akina Che Guevara etc. watu waliopambana kwa maslahi ya wengi. Wangeweza kukaa tu waka enjoy maisha lakini walikuja patwa na mauti kwenye harakati za kukoa watu wengine.
Leo mwanasiasa mmoja kaguswa maslahi yake anaamua ku retaliate mnamwita shujaa? Anapobanwa mbavu kidogo au inapoonekana kuna mbinyo ananyosha mikono na makalio juu.
Hawa Mh Rais waanike. Huu ni wakati wa watu kusimama wahesabiwe. Muda umejongea sana jua laanza kuzama kwao na kuchomoza kwako. Wasimamishwe.
Nakushauri ili ufanye kazi yako vizuri.tafuta vijana wenye msimamo,tafuta wazee wenye hekima na msimamo.hawa ndo ufanye nao kazi.achana na hao wanaokosa msimamo wasiojua wanachosimamia.
Fanya na watu wenye imani.imani inayowaongoza katika matendo yao.usifanye kazi na wanafiki.hawa kuna siku watakuja kukunanga, watakuja kukusema vibaya.hawana wanachoamini zaidi ya matumbo yao.
Endelea kuwaanika wote wanaokuja kuomba msamaha kwa makosa wanayokutendea. Kama kuna mtu ataamini kuwa hajakukosea basi huyo tumfahamu asimame tumwone.
Tunataka kuwafahamu wanaume na watoto wa kiume. Usiwaache. Waanike tuwafahamu.
Nafatilia kwa karibu ushauri wakoKwa mara nyingine tena narudi kushauri kupitia apa kwenye jamvi. Mh Rais Dr.Magufuli kumbuka kua wewe ukisha apishwa basi wewe ni kiongozi wa watu wote wawe wanaccm ,wapinzani na wale wasio na vyama. Tangu uingie madarakani kusema kweli kuna kauli unazotoa zinatutatiza sana wananchi wako.Sisi huku tunao pita mitaani na kuisemea serikali na ccm mambo mazuri tunakutana na changamoto.
Nikuombe tu mkuu wa nchi ebu jaribu kuzuia jazba,mihemko,furaha ya ghafla maana kuna kauli unazotamka kweli zinatugawa. Mfano leo ulivyosema kua Jimbo la Singida mashariki sasa kupata maendeleo na utapeleka pesa pale kwakua yupo mbunge wa CCM na sasa wana mwakilishi. Huyu mtanzania mwenzetu Mh.Lissu tunajua yaliyo mkuta lakini kauli yako inaonyesha ulifurai sana kwa yaliyompata..Je,wananchi ambao si wanachama wetu CCM waache kulipa kodi maana hawana wawakilishi huko bungeni?
HAPANA HAPANA MH.RAIS DR.Magufuli tusifike huko..apa Duniani tuna pita tu.
Ni ayo tu kiongozi wetu Mh.Dr.Rais Magufuli
JPM sura mbaya na roho mbaya pia!
Kwa nini bado unaendelea na tabia za ajabu ajabu ?Nafatilia kwa karibu ushauri wako
Kamtafute wa sura nzuri ukanywe nae Chai
Huyu tulimuomba awe Rais ili akatatue Matatizo ya Wanyonge sio kupiga Selfie Ikulu
Kanyaga kanyagia Uncle Magu
Leo kawaakumbusha mlioshangilia Ndege kukamatwa mkumbuke ile ni Kodi ya Babiyo na Mamiyo
Kwa mara nyingine tena narudi kushauri kupitia apa kwenye jamvi. Mh Rais Dr.Magufuli kumbuka kua wewe ukisha apishwa basi wewe ni kiongozi wa watu wote wawe wanaccm ,wapinzani na wale wasio na vyama.
Tangu uingie madarakani kusema kweli kuna kauli unazotoa zinatutatiza sana wananchi wako.Sisi huku tunao pita mitaani na kuisemea serikali na ccm mambo mazuri tunakutana na changamoto.
Nikuombe tu mkuu wa nchi ebu jaribu kuzuia jazba,mihemko,furaha ya ghafla maana kuna kauli unazotamka kweli zinatugawa.
Mfano leo ulivyosema kua Jimbo la Singida mashariki sasa kupata maendeleo na utapeleka pesa pale kwakua yupo mbunge wa CCM na sasa wana mwakilishi.
Huyu mtanzania mwenzetu Mh.Lissu tunajua yaliyo mkuta lakini kauli yako inaonyesha ulifurai sana kwa yaliyompata.
Je,wananchi ambao si wanachama wetu CCM waache kulipa kodi maana hawana wawakilishi huko bungeni?