Status
Not open for further replies.
siku Rais Magufuli akistaafu itafanyika sherehe kubwa UFIPA na viunga vyake ,kufurahia juhudi zao za kukwamisha maendeleo kupata mwanzo mpya
 
KARLO MWILAPWA mimi nadhani kwanza hakuna upinzani wa kweli Tanzania. Upinzani ambao hauna dira na pia hauna hata misingi imara.
Wapinzani wote walipaswa kwanza waamue agenda kubwa iwe katiba mpya na kusimamia hilo usiku na mchana baada ya katiba ndio tungekuja kuona vyama vya upinzani vikija na sera mdabadala na dira halisi .

Lakini andiko langu hapo limejikita kwa yale anayofanya Rais na hivi akimaliza muda wake nani atayasimamia haya? Mfano ndege hizi si shirika litakufa kabisa?
Mfano umeme si tutarudi kwenye majenereta?

Mfano nidhamu kazini mtu anaamua kutumbua mpaka mkurugenzi wa Tiss nani anaeweza kuthubutu haya ikiwa kama hatutakuwa na katiba yenye meno na misingi mikubwa?
 
Kuna watu wanaanza kulalama kuwa kwa nini unawataja wanaokuja kuomba msamaha. Usiache kuwataja tena ukiweza advance rusha hewani na maneno yao na videos zao zisikike wakisema. " Tumetubu baba, tumetubu kweli, juu ya nchi na chini ya dunia"

Tunapaswa kutambuana. Ili na wafuasi wao sasa wajifunze kuwa neno SHUJAA halipaswi kunajisiwa na kuchanganywa na Maslahi.

Inasikitisha sana namna wanasiasa wanavyotumia Ujinga wa wananchi kwa manufaa yao. Walikuwepo Mashujaa akina Ken Sarowiwa, akina Che Guevara etc.
watu waliopambana kwa maslahi ya wengi. Wangeweza kukaa tu waka enjoy maisha lakini walikuja patwa na mauti kwenye harakati za kukoa watu wengine.

Leo mwanasiasa mmoja kaguswa maslahi yake anaamua ku retaliate mnamwita shujaa? Anapobanwa mbavu kidogo au inapoonekana kuna mbinyo ananyosha mikono na makalio juu.

Hawa Mh Rais waanike. Huu ni wakati wa watu kusimama wahesabiwe. Muda umejongea sana jua laanza kuzama kwao na kuchomoza kwako. Wasimamishwe.

Nakushauri ili ufanye kazi yako vizuri.tafuta vijana wenye msimamo,tafuta wazee wenye hekima na msimamo.hawa ndo ufanye nao kazi.achana na hao wanaokosa msimamo wasiojua wanachosimamia.

Fanya na watu wenye imani.imani inayowaongoza katika matendo yao.usifanye kazi na wanafiki.hawa kuna siku watakuja kukunanga, watakuja kukusema vibaya.hawana wanachoamini zaidi ya matumbo yao.

Endelea kuwaanika wote wanaokuja kuomba msamaha kwa makosa wanayokutendea. Kama kuna mtu ataamini kuwa hajakukosea basi huyo tumfahamu asimame tumwone.

Tunataka kuwafahamu wanaume na watoto wa kiume. Usiwaache. Waanike tuwafahamu.
 
Gudume, nilichogundua hufurahii hii misamaha, pia una wasiwasi kuwa waomba msamaha watalamba vyeo karibuni. Nami nayaona hayo ya kutaka kurudishiwa vyeo vyao kama vile wana hati miliki na jamhuri hii.
 
Kuna watu wanaanza kulalama kuwa kwa nini unawataja wanaokuja kuomba msamaha. Usiache kuwataja tena ukiweza advance rusha hewani na maneno yao na videos zao zisikike wakisema. " Tumetubu baba, tumetubu kweli, juu ya nchi na chini ya dunia"

Tunapaswa kutambuana. Ili na wafuasi wao sasa wajifunze kuwa neno SHUJAA halipaswi kunajisiwa na kuchanganywa na Maslahi.

Inasikitisha sana namna wanasiasa wanavyotumia Ujinga wa wananchi kwa manufaa yao. Walikuwepo Mashujaa akina Ken Sarowiwa, akina Che Guevara etc.
watu waliopambana kwa maslahi ya wengi. Wangeweza kukaa tu waka enjoy maisha lakini walikuja patwa na mauti kwenye harakati za kukoa watu wengine.

Leo mwanasiasa mmoja kaguswa maslahi yake anaamua ku retaliate mnamwita shujaa? Anapobanwa mbavu kidogo au inapoonekana kuna mbinyo ananyosha mikono na makalio juu.

Hawa Mh Rais waanike. Huu ni wakati wa watu kusimama wahesabiwe. Muda umejongea sana jua laanza kuzama kwao na kuchomoza kwako. Wasimamishwe.

Nakushauri ili ufanye kazi yako vizuri.tafuta vijana wenye msimamo,tafuta wazee wenye hekima na msimamo.hawa ndo ufanye nao kazi.achana na hao wanaokosa msimamo wasiojua wanachosimamia.

Fanya na watu wenye imani.imani inayowaongoza katika matendo yao.usifanye kazi na wanafiki.hawa kuna siku watakuja kukunanga, watakuja kukusema vibaya.hawana wanachoamini zaidi ya matumbo yao.

Endelea kuwaanika wote wanaokuja kuomba msamaha kwa makosa wanayokutendea. Kama kuna mtu ataamini kuwa hajakukosea basi huyo tumfahamu asimame tumwone.

Tunataka kuwafahamu wanaume na watoto wa kiume. Usiwaache. Waanike tuwafahamu.
Hahahaaa MATAGA
 
Unafiki umezidi hakuna kuaminiana ''do not trust anybody except yourself'
 
Eti shujaa tangu lini Nape akawa shujaa ? Au wanamaanisha Shufaa?

Rushwa ni janga la taifa lina ugumu katika kukamata,kuendesha kesi zake na kuhukumu.
Katika kukamata ni vema na haki kuangalia upya vipengere vya sheria pia kuondoa mtoa rushwa kwani anatoa kwa kulazimishwa au kulazimika,kuendesha kesi nako inatakiwa kupunguza milolongo mfano DPP nk iwe kama kesi nyingine za wizi pia mazingira yatoshe kuwa ni ushahidi wa kumpata na hatia,
Kuhukumu hapa ndiyo kwenye kazi mtu aliyepokea rushwa apewe adhabu itakayofanya watu waogope rushwa kama ukoma.

PCCB iongezewe nguvu katika kupambana maana imeelemewa si vibaya ikaundwa nguvu ya pamoja na jeshi la Polisi hasa katika medani za kiupelelezi.
 
Kwa mara nyingine tena narudi kushauri kupitia apa kwenye jamvi. Mh Rais Dr.Magufuli kumbuka kua wewe ukisha apishwa basi wewe ni kiongozi wa watu wote wawe wanaccm ,wapinzani na wale wasio na vyama.

Tangu uingie madarakani kusema kweli kuna kauli unazotoa zinatutatiza sana wananchi wako.Sisi huku tunao pita mitaani na kuisemea serikali na ccm mambo mazuri tunakutana na changamoto.

Nikuombe tu mkuu wa nchi ebu jaribu kuzuia jazba,mihemko,furaha ya ghafla maana kuna kauli unazotamka kweli zinatugawa.

Mfano leo ulivyosema kua Jimbo la Singida mashariki sasa kupata maendeleo na utapeleka pesa pale kwakua yupo mbunge wa CCM na sasa wana mwakilishi.

Huyu mtanzania mwenzetu Mh.Lissu tunajua yaliyo mkuta lakini kauli yako inaonyesha ulifurai sana kwa yaliyompata.

Je,wananchi ambao si wanachama wetu CCM waache kulipa kodi maana hawana wawakilishi huko bungeni?

HAPANA HAPANA MH.RAIS DR.Magufuli tusifike huko..apa Duniani tuna pita tu.
Ni ayo tu kiongozi wetu Mh.Dr.Rais Magufuli
 
Kwa mara nyingine tena narudi kushauri kupitia apa kwenye jamvi. Mh Rais Dr.Magufuli kumbuka kua wewe ukisha apishwa basi wewe ni kiongozi wa watu wote wawe wanaccm ,wapinzani na wale wasio na vyama. Tangu uingie madarakani kusema kweli kuna kauli unazotoa zinatutatiza sana wananchi wako.Sisi huku tunao pita mitaani na kuisemea serikali na ccm mambo mazuri tunakutana na changamoto.
Nikuombe tu mkuu wa nchi ebu jaribu kuzuia jazba,mihemko,furaha ya ghafla maana kuna kauli unazotamka kweli zinatugawa. Mfano leo ulivyosema kua Jimbo la Singida mashariki sasa kupata maendeleo na utapeleka pesa pale kwakua yupo mbunge wa CCM na sasa wana mwakilishi. Huyu mtanzania mwenzetu Mh.Lissu tunajua yaliyo mkuta lakini kauli yako inaonyesha ulifurai sana kwa yaliyompata..Je,wananchi ambao si wanachama wetu CCM waache kulipa kodi maana hawana wawakilishi huko bungeni?
HAPANA HAPANA MH.RAIS DR.Magufuli tusifike huko..apa Duniani tuna pita tu.
Ni ayo tu kiongozi wetu Mh.Dr.Rais Magufuli
Nafatilia kwa karibu ushauri wako
 
JPM sura mbaya na roho mbaya pia!

Kamtafute wa sura nzuri ukanywe nae Chai

Huyu tulimuomba awe Rais ili akatatue Matatizo ya Wanyonge sio kupiga Selfie Ikulu

Kanyaga kanyagia Uncle Magu

Leo kawaakumbusha mlioshangilia Ndege kukamatwa mkumbuke ile ni Kodi ya Babiyo na Mamiyo
 
Kama mnalijua hilo kuwa nikodi zetu wote inakuwaje mnajimilikisha ununuzi wa hiyo ndege?
Eti Magifuli amenunua ndege
Kamtafute wa sura nzuri ukanywe nae Chai

Huyu tulimuomba awe Rais ili akatatue Matatizo ya Wanyonge sio kupiga Selfie Ikulu

Kanyaga kanyagia Uncle Magu

Leo kawaakumbusha mlioshangilia Ndege kukamatwa mkumbuke ile ni Kodi ya Babiyo na Mamiyo
 
Ndugu yetu Bishweko leo tena umetoa post ya kufungulia wiki.
Hongera sana kwa kutoa ushauri uliojaa hekima na uzalendo.

Back
Top Bottom