Status
Not open for further replies.
Tutateua sana...
Tutatengua sana...

Mwishowe tutaona wote hawafai.
Suluhisho ni kuwa na Taasisi Imara na siyo Mtu Imara.

Na hii itapatikana kupitia KATIBA MPYA. Serikali iliyo madarakani pia inahitaji katiba mpya, tukiendelea na katiba hii, tutateua sana, tutatengua sana lakini good achievement nduhu.

Katiba mpya kwa watanzania wazamani au na wao wapya..Hizo tahasisi imara zitaundwa na watanzania gani kama sio hawa hawa..

Hatuitaji katiba mpya kwa sasa, iliyopo inatosha. Kiongozi mwenye maono ndie tunaitaji kwa sasa ndizo hizo taasisi zitapata watu wenyeweledi wakuzisuka..
 
Tutateua sana...
Tutatengua sana...

Mwishowe tutaona wote hawafai.
Suluhisho ni kuwa na Taasisi Imara na siyo Mtu Imara.

Na hii itapatikana kupitia KATIBA MPYA. Serikali iliyo madarakani pia inahitaji katiba mpya, tukiendelea na katiba hii, tutateua sana, tutatengua sana lakini good achievement nduhu.

Katiba mpya kwa watanzania wazamani au na wao wapya..Hizo tahasisi imara zitaundwa na watanzania gani kama sio hawa hawa..

Hatuitaji katiba mpya kwa sasa, iliyopo inatosha. Kiongozi mwenye maono ndie tunaitajika kwa sasa ndizo hizo taasisi zitapata watu wenyeweledi wakuzisuka..
 
  • Thanks
Reactions: VMD
Utaratibu wa masoko ya dhahahabu uwe kwa bidhaa zote MTU asiulizwe kapata wapi ili mradi bidhaa iwe inakidhi viwango na vigezo. Akitoa nje alindwe aingize watu wadhibitiwe kwa kutoa nje ya nchi
 
Kwa mijibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inatoa fursa kwa raia yeyote wa Tanzania mwenye umri kuanzia miaka arobaini kuwa Rais. Ila kwakuwa raia tuko wengi inakuwa vigumu kila raia kupata nafasi ya kuwa Rais.

Kutokana na kukua kwa njia za mawasilano, raia wema wanaweza kutoa maoni yao na kumjulisha rais aliyeko madarani mambo ambayo wangependa kuyafanya kama wao wangekuwa marais. Hii inaweza kumsaidia rais aliyeko madarani kuyachukuwa na kuyafanyia kazi na hivyo kufanya nchi kuongozwa na marais wengi kwa wakati mmoja japo anayetawala akiwa mmoja.
Je! Kama ungekuwa/ukiwa rais, ungependenda kulifanyia nini taifa lako?
Ngoja nianze mimi...
Ningeanza kwa kuboresha kilimo, kutoka jembe la mkono (kwa nchi nyingile liko kwenye majumba ya makumbusho) na kukifanya kuwa cha kisasa kinachotumia teknolojia ya kisasa. Kuboresha kilimo kutawezesha taifa kujitosheleza kwa chakula na kupunguza umaskini kwani maskini wengi wako katika sekta ya kilimo.
 
  • Thanks
Reactions: VMD
Kwanza kabisa nchi yangu ningefanya tuwe wamoja.

Pili mfumo wa elimu ningebadilisha kufanya uendane na Nchi yangu.

Tatu, Nitaweka katiba mpya

Nne, Maji na huduma ya afya ningefanya maboresho makubwa ili kila mtu apata.
 
Kwa mfano wako jiulize Ghadafi yuko wapi? Sudan vipi, Tunisia hakuna mtu asiyependa freedom na ujamaa umsshidwa tayari toka 1984 Nyerere alipoondoka
Natamani USA wainyoshe Tanzania na viongozi wake km Libya ili heshima iwepo kwani katiba imesiginwa mno na awamu hi ya tano kwa maslahi binafsi...hebu ona ufisadi sugu huu wa 2.4trillion.
 
Unapo zungumzia maendeleo haya chama rais ndio maana aliona ,,yeye atumikie wananchi jpm hana ubaguz wote wake
 
Mheshimiwa; anzisha sanduku la maoni ili wasaidizi wako wakuambie (anonymously) ya moyoni bila uoga. Unakumbuka lile jengo uliloagiza liwe wodi ya wagonjwa pale Muhimbili badala ya kuwa kituo cha watafiti - na watafiti wakahamishiwa wizara ya afya?

Well; wasaidizi wako waliogopa na bado wanaogopa kukuambia yafuatayo:
1. Hilo jengo halikuwa designed ili liwe wodi; kwa mantiki hiyo haiwezekani kuwapandisha wagonjwa ghorofani kwa kuwa hakuna lifts zilizokuwa designed kwa kazi hiyo.
2. Hilo jengo sasa hivi halitumiki ipasavyo (kwa sababu namba 1 hapo juu).

Wasaidizi wako wanakuogopa mno; weka sanduku la maoni uone utakachoambiwa. Na usiache kupitia hapa JF mara kwa mara kupata ushauri.

Nakutakia siku njema.
 
Hapa jf hapapendi maana humu hamna lugha za kujipendekeza na kusifia tu, bali ukweli mchungu.
 
Mbona huko Moshi wa wanakula ugali na hakuna jipya tofauti na mikoa mingine
 
Mheshimiwa; anzisha sanduku la maoni ili wasaidizi wako wakuambie (anonymously) ya moyoni bila uoga. Unakumbuka lile jengo uliloagiza liwe wodi ya wagonjwa pale Muhimbili badala ya kuwa kituo cha watafiti - na watafiti wakahamishiwa wizara ya afya?

Well; wasaidizi wako waliogopa na bado wanaogopa kukuambia yafuatayo:
1. Hilo jengo halikuwa designed ili liwe wodi; kwa mantiki hiyo haiwezekani kuwapandisha wagonjwa ghorofani kwa kuwa hakuna lifts zilizokuwa designed kwa kazi hiyo.
2. Hilo jengo sasa hivi halitumiki ipasavyo (kwa sababu namba 1 hapo juu).

Wasaidizi wako wanakuogopa mno; weka sanduku la maoni uone utakachoambiwa. Na usiache kupitia hapa JF mara kwa mara kupata ushauri.

Nakutakia siku njema.
Sio wagonjwa wote wanauwezo wa kutembea. Waliona uwezo wa kutembea watapanda ngazi. Wasio na uwezo wa kupanda ngazi watabebwa. Wakishatibiwa na kupona watatelemka kama watu wazima. Unajifanya mjuaji?
 
Sio wagonjwa wote wanauwezo wa kutembea. Waliona uwezo wa kutembea watapanda ngazi. Wasio na uwezo wa kupanda ngazi watabebwa. Wakishatibiwa na kupona watatelemka kama watu wazima. Unajifanya mjuaji?

Umevuta nini? Kama ndio hivyo mbona basi hilo jengo hadi leo halitumiki ipasavyo? Unadhani majengo ya wodi za wagonjwa na ofisi yanajengwa kwa mtindo ule ule?

Nenda sasa hivi Muhimbili uone kama ghorofani kuna wagonjwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom