Status
Not open for further replies.
Aache siasa za chuki mauaji na kupoteza watu

Sisi wote ni Watanzania hakuna mgeni anayemkosoa zaidi ya wazawa.....


Aache figisufigisu za kuzuia upinzani kufanya siasa zao kwa uhuru ...

Aache kuchezea katiba ya nchi na kutunga vijisheria uchwara kuna siku izo sheria zitatumika kuwashugulikia ata wajukuu zake .....

Mpaka sasa sijaona alichifanya vizuri chochote labda akijenga bwawa la kufua umeme wa maji wenye bei nafuu ndio naweza msifia kwa ilo tu...

Mengine yote kapuyanga sana kila kitu anashindwa sio utawala bora sio uchumi wala siasa hakuna anachokijua..
 
Atambue hii mikopo anayochukua kwa fujo ana uhakika miradi yake itaweza kurejesha? Je ana maelezo ni kwa jinsi gani miradi hiyo itarejesha mikopo hiyo?
 
Weka link tafadhali....sijawahi kujua km ipo
https://www.jamiiforums.com/threads...wa-rais-dkt-john-pombe-magufuli.966354/unread

 
Hakuna kununua mandege tena,faida yake ipo ila inachukua muda mrefu kuipata,ainvest kwenye education..ni common saying urithi wa baba kwa wana ni elimu,na yeye ndio atuachie elimu….watu wote wasome,mkubwa mdogo disabled etc...anyone capable of studying, should be given access to.....Mkuu..@TheLobbyist unanipa shilingi ngapi? LOL
 
Mficha uchi hazai.
Mh. Rais,
Heshima yako kiongozi wangu..!

Mh. Kwanza nikupongeze kwa yale yote ambayo umekuwa ukiyafanya kukuza uchumi wa nchi,kuimarisha utendaji serikalini,kupambana na ufisadi pamoja rushwa.

Mh. Rais,nimeamua kutumia jukwaa hili kuleta ombi langu kwako mkuu. Nimefuatilia leo wakati ukiwapongeza mashujaa wetu na kwa furaha uliyoipata,ukaamua kuwazawadia viwanja wachezaji wote wa timu ya Taifa.

Mh. Rais,Mimi siyo mchezaji,lkn kutokana na mazingira ya kazi za ujasiriamali,nimeshindwa kabisa kuweka akiba na kuweza kujinunulia japo kiwanja. Tendo la leo ulilolifanya kwa wachezaji limenifanya nijitoe muhanga na mm niombe kwako kiongozi km itawezekana unisaidie kiwanja hapa dar.

Wewe ni Rais wa wanyonge,na naamini hapa unapita kila wakati kusoma. Me naomba unisaidie kiwanja tu,ntafanya juhudi za kila aina ili nikijenge kwa nguvu zangu.

Mh. Rais,kukuomba hapa haina maana kwamba me ni mzembe,lkn km nilivyoeleza hapo juu kipato changu nimeshindwa kabisa kuweza kupata pesa za kununua kiwanja.

Naamini hata wachezaji wetu umewapa viwanja si kwa sababu hawana uwezo bali mapenzi yako ya dhati kwa watanzania.

Mh. Rais naomba ombi langu ulipokee mkuu wangu,mm sitakuangusha kukijenga. Ntapiga vibarua mpaka nyumba isimame na ntakuwa natoa taarifa kwa wasaidizi wako.

Naamini ombi km langu ni la ajabu sana mh. Rais,lkn wewe ni baba wa wote. Nimeondoa uoga nikiamini taarifa zangu zitafika kwako na utanisaidia. Siamini kwamba ukinisaidia mimi kupata kiwanja kupitia jukwaa hili,basi kila mtu ataomba sidhani km itatokea!

Mwisho:

Nitashukuru sana iwapo ombi langu litapokelewa na kukubaliwa.

NB: wasaidizi wa Rais mlioko hapa jukwaani naomba mfikishe ombi langu kwa Rais. Hata km mnaona atalikataa lkn lifikisheni tu. Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitawaongezea mishahara Watumishi wa umma! Nitatumia usafiri wa baiskel, Wafanyabiashara hawatalipa kodi

Wakulima watapewa mbolea bure, kila mwananchi atalipwa mshahara wa Tsh. milion moja, kila kaya itapewa gari kulingana na idadi yao!!

Mungu mubariki Magufuli aijenge nchi ili nikija kuitawala Awe ametengenezea miundo mbinu ya kula bata watu wote mpaka mwisho wa dunia
 
Umesahau " kuwa utakuwa unavuta bangi" Rais sio mchezo mchezo, usione Mkuu wa Nchi akichukizwa, akikosoa, akipaza sauti Kali, akitoa watu madarakani, tena aalioteua mwenyewe, akikuteua akikukuondoa umeshampa usumbufu, na ndio maana watu kama #$!$+$8 wakimsapoti nyinyi mnang'aka that does not help even wee ikitokea umeupata urais. Rais nyerere Mwenyezi Mungu ''Amrehemu hayati Mwalimu Nyerere" alikuwa mkali kuliko marais wengine, Itatakiwa raid ajaye awe mkali zaidi, tena awe mmasai, awe kama Hayati Sokoine
 
Status
Not open for further replies.
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom