Status
Not open for further replies.
Mi nipo Kaliua huku Mheshimiwa. Dah, nilimsahau na huyu kijana asie na mbwembwe huku Kaliua, huyu nae Mheshimiwa nakuomba uumpe nae hata V8 maana hii LX ya msaada wa UNHCR siipendi kutokana na hayo maandishi ubavuni, na kwa kazi anazofanya anahitaji V8 kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Msalimie Baraka Kapuya full boss na Sheji yetu Kapuya aliueguta jiko juzi. Uko hapo Ushokora??
 
Jamani kujiombea si vibaya mie nafaa u RC Rukwa kwa wachawi ninakumudu sana, kwani hao wengine aliwafahamuje si walitambulishwa kwake, mie najitokeza kuomba nipe mkoa nikuonyeshe kazi.
 
Nikupe pole kwa Majukumu uliyonayo. Pia Shikamoo! Ni kaushauri kadogo tu asubuhi ya leo ningependa kupendekeza. Unao Vijana watatu ambao Mimi Binafsi nawaona Kama watu ambao ulipatia kuwateu kukusaidia. Nakuomba uwape majuku makubwa zaidi, kwa kiwango walichokionesha, wanastahili kukusaidia katika Majukumu makubwa zaidi. Vijana Hawa watatu Ni:
1. Anthony Mtaka (RC-SIMIYU), kwakweli Ni mtu anaejiamini, mbunifu, mtu wa kutafuta fursa za kimaendeleo kwa ajili ya Wananchi wa Mkoa wake. Atatufaa zaidi hata tusio wa Mkoa wake.
2. Jokate Mwegelo, Young and Ambitious, ameonesha alivyo mbunifu, ameamua kufanya kazi tofauti na wengine ambao kazi Yao Ni kukuimbia nyimbo za kukusifu na kukuabudu.
3. Godwin Gondwe. Amekuwa msaada Mkubwa Sana kwa Wananchi wa Handeni. Amehamasisha kilimo Cha mihogo, shughuli za Maendeleo na Mambo mengi ambayo Ni positive.

Ni hao TU muheshimiwa, na nakuhakikishia, HAWATOKUANGUSHA. Ila kaombi kengine kadoooogo, pale Hai huna Mkuu wa Wilaya, una MUHUNI NA KILAZA(sijui walikupa vigezo gani umteue?).

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kwa Jokate hapo umechemka sana aiseee.Yani ZERO ZA KISARAWE ZIKABIDI ZIJE KUTOKOMEZEWA MLIMANI CITY.wewe uliona wapi
 
Ana bahati ya kuwa karibu na Dar na kwa kuwa maeneo ya uwekezaji dar hayapo ,wawekezaji wengi sana wameona mkoa wa pwani kuwa ndio kimbilio la uwekazji kwa ajili ya soko la wakazi wa dar.
Sasa mbona huyu aliyekuwepo hapahapa Dar yuko bize na wakina pierre
 
Nikupe pole kwa Majukumu uliyonayo. Pia Shikamoo! Ni kaushauri kadogo tu asubuhi ya leo ningependa kupendekeza. Unao Vijana watatu ambao Mimi Binafsi nawaona Kama watu ambao ulipatia kuwateu kukusaidia. Nakuomba uwape majuku makubwa zaidi, kwa kiwango walichokionesha, wanastahili kukusaidia katika Majukumu makubwa zaidi. Vijana Hawa watatu Ni:
1. Anthony Mtaka (RC-SIMIYU), kwakweli Ni mtu anaejiamini, mbunifu, mtu wa kutafuta fursa za kimaendeleo kwa ajili ya Wananchi wa Mkoa wake. Atatufaa zaidi hata tusio wa Mkoa wake.
2. Jokate Mwegelo, Young and Ambitious, ameonesha alivyo mbunifu, ameamua kufanya kazi tofauti na wengine ambao kazi Yao Ni kukuimbia nyimbo za kukusifu na kukuabudu.
3. Godwin Gondwe. Amekuwa msaada Mkubwa Sana kwa Wananchi wa Handeni. Amehamasisha kilimo Cha mihogo, shughuli za Maendeleo na Mambo mengi ambayo Ni positive.

Ni hao TU muheshimiwa, na nakuhakikishia, HAWATOKUANGUSHA. Ila kaombi kengine kadoooogo, pale Hai huna Mkuu wa Wilaya, una MUHUNI NA KILAZA(sijui walikupa vigezo gani umteue?).

Sent using Jamii Forums mobile app

Mh Rais wangu usimsahau Jay One
Najua umesikia ombi langu kwako.. Amen..!!
 
Mh. Dr Rais wale wahandisi wanaotengeneza ndege 10M ni kidogi sana. Ungempa @ mmoja hiyo 10 sawa!!
 
mtu ateuliwe kutokana na kuwajibika na kusimamia vizuri majukumu yake na si kujitangaza. kuna wakuu wa wilaya wengi wanafanya kazi nzuri sana ila kwa kuwa wapo mbali na vyombo vya habari , basi hatusikii wanayofanya. hata mimi mwenyewe naweza kujitangaza au nikatumia watu wanitangaze ili niteuliwe ningali najua kabisa sina dhamira ya kuwatumikia wananchi kwa dhati ila kukitumikia cheo.
Mbona mzee wa fyekelea mmemsahau!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani wewe Rais Magufuli kujenga mfumo wa wanaokuabudu huko ndani ya bunge, kununua wapinzani na kukomesha wanaokukosoa ambao hawanunuliki ndiko kulikokuponza na umefeli vibaya.

Enzi za JK makelele ya Bunge lake imara yalitosha kudhibiti ufisadi maana mtu alikuwa anasemwa waziwazi na JK alikuwa anachukua tu hatua kirahisi kabisa.

Sasa umejenga mamluki wanao kuabudu kukulamba miguu kukusema kwa kila mema hadi wengine "wanamtaka" Mungu akushukuru kwa kazi nzuri huku nyuma wakirudi wanakugonga kwelikweli! "Aisee utapata tabu sana, nasema utapata tabu sana" Utaondoka umevuruga vuruga kila sehemu umefukuza fukuza hovyo bila kuujua mzizi wa fitina na kuukata. Ila kusema kweli mchawi wa huu ufisadi wa kutisha ni wewe mwenyewe.

Sasa kwakuwa wewe umekuwa sikio la kufa, tumekushauri husikii basi nasema na uteseke tuu....Tena utateseka kweli kweli!
 
Nimebahatika kuziona Awamu zote japo awamu ya kwanza nilikuwa kijana mdogo lakini niliona. awamu ya tano si mbaya si nzuri lakini itakapofika kuipima kwenye mizani itazifunika awamu zilizotangulia.
shida iliyopo Mh. Rais wetu John ni jinsi utakavyojenga uwezo wa yule atakaye endeleza mawazo yako na nia yako ya kulikwamua Taifa letu. mpaka sasa hatuoni jasiri atakaye vaa vaitu vyako. upende usipende iko haja kubwa kabla kujaacha kijiti kwa mwingine uruhusu kuwepo kwa uboreshaji wa miiko ya uongozi, na iwe sehemu ya katiba yetu ambayo nakushauri usiondoke bila kuihuisha au kutoa uhuru wa wananchi kuitengeneza mpya kabisa, ambayo itaweka misingi na ikiwezekana iweke upenyo wa yule atakaye shika madaraka ya nchi aweze kushitakiwa atakapo kiuka misingi ya Katiba.
Nchi yetu iongozwe na malengo yakinifu ambayo yatakuwa endelevu si kila anayekuja afanye anavyoona vema hatutapiga hatua. Ninaweza kuelewa Mhe. Rais kwako wewe siwezi kukulaumu kwa chochote ulikuta Nchi iko katika hali mbaya, kama usingefanya hivyo unavyofanya tusingekwenda popote, Sisi washwahili tunasema 'simbuko halisimbuki ila kwa misukosuko' na unajua watu kuwa katika katika giza hujionea sawa na hudhani dunia nzima iko hivyo. Umeanza kutuonyeshe nuru usikubali kwa gharama yoyote turudi huko.

Kwa heshima katiba yetu huwezi kuendelea baada ya vipindi viwili, japo ningekuwa na uwezo kuingia ndani ya mioyo ya waTanzania ningesema kama mzee Mwinyi uendelee mpaka utakapochoka. Tengeneza mfumo wa viwanda, tengeneza miiko ya uendeshaji wa kuduma za Afya na Elimu, tengezesa mifumo ya uaminifu code of ethics na ziwe na maagizo ya kikatiba, ulinzi wa Taifa na urithi wa Taifa viwe sehemu ya kila mmoja wetu hata kama tutalazimika kulala njaa usipokee mashauri yatakayo turudisha kwenye utumwa ukandamizaji na misaada ya kuudhalilisha uTanzania wetu.
Katika yote jitihada zifanyike kujenga uzalendo kwa vijana ili wajivunie Tanzania yao. Nakuombea ufanye kazi kwa furaha Afya njema iwe fungu lako, na katika yote ushushiwe hekima kama ya Suleiman ya kuliamua Taifa lako katika maadili ya Kimungu. Wabeja sana.
 
Siyo kweli kwamba hakuna kama magufuli,yaani nchi yenye wasomi lukuki unawadharau kiasi hki? hakuna anaeweza kuvaa viatu vyake vya ubabe,udikteta,ubadhirifu na kutoshauriwa siyo viatu bora hapo sawa.Lissu ndiyo jibu la utawala bora Tanzania.Nasema ukweli kama mwanaccm kindaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka ile vibe ya JPM miezi mitatu ya mwanzo wa utawala wake, I swear that was the best moment,nchi ilihamasika,watu wakaanza hadi kudai risiti wakinunua bidhaa,msisimuko ukarudi kwamba we are heading somewhere as a country.

Najua wengi sasa hivi wamepoteza matumaini ya maisha, Rais akiongea inaonekana kama anadanganya tu,kwa kweli sijui ni kina nani walimshauri baadhi ya maamuzi anayofanya ila ninachoweza kumuambia ni:Mr President get back to what matters,embu fanya yanayosaidia maisha ya watu wa kawaida wewe huwa unawaita wanyonge
Kuna wasaidizi wako wanakusifia tu na kukupamba kinafiki kama huamini angalia video zako mtandaoni ukiwa unahutubia au wakiwa wanakusalimia kuna unyenyekevu wa kinafiki uliopitiliza,wapuuze jamani WNAKUPOTEZA.
 
Ni kweli amepoteza mvuto
Nakumbuka ile vibe ya JPM miezi mitatu ya mwanzo wa utawala wake, I swear that was the best moment,nchi ilihamasika,watu wakaanza hadi kudai risiti wakinunua bidhaa,msisimuko ukarudi kwamba we are heading somewhere as a country.
Najua wengi sasa hivi wamepoteza matumaini ya maisha, Rais akiongea inaonekana kam aanadanganya tu,kwa kweli sijui ni kina nani walimshauri baadhi ya maamuzi anayofanya ila ninachoweza kumuambia ni:Mr President get back to what matters,embu fanya yanayosaidia maisha ya watu wa kawaida wewe huwa unawaita wanyonge
Kuna wasaidizi wako wanakusifia tu na kukupamba kinafiki kama huamini angalia video zako mtandaoni ukiwa unahutubia au wakiwa wanakusalimia kuna unyenyekevu wa kinafiki uliopitiliza,wapuuze jamani WNAKUPOTEZA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom