umeshapanga na list kabisa au ndio unampangia rais wetu?ANTON MTAKA DAR
JOKATE ARUSHA
GONDWE IRINGA
Utaacha lini wivu?mtu ateuliwe kutokana na kuwajibika na kusimamia vizuri majukumu yake na si kujitangaza. kuna wakuu wa wilaya wengi wanafanya kazi nzuri sana ila kwa kuwa wapo mbali na vyombo vya habari , basi hatusikii wanayofanya. hata mimi mwenyewe naweza kujitangaza au nikatumia watu wanitangaze ili niteuliwe ningali najua kabisa sina dhamira ya kuwatumikia wananchi kwa dhati ila kukitumikia cheo.
Hatuna tatizo na uanguaji wako wa kilio.Tatizo domo linarefuka kama unazitamka zile F zako za "fomfo"! HahahahahaaaMkiendelea kuniandama jumapili nitakwenda kuangua kilio kanisani.
Ukipata nafasi tumia ukikosa jutiasio kwamba hazi-attract media ila hawana mambo ya kuita vyombo vya habari katika kila tukio.ukimuangalia jokate ni mtu wa media sana, gondwe alikuwa mfanyakazi wa ITV na hali kadhalika huyo mwengine ni media kwa sana. unaweza kuta wanayoyafanya wenzao walifanya muda ila hawakupata media coverage kama wanavyopata wao na kuonekana wao ndio waanzilishi
Hawezi kuongoza Dar.Wanaume wa Dar mnawachukulia poa eeeh? Dar ndiyo hekaheka zote zipo pale.Inahitaji mtu ambaye anaweza kucheza/ku dance kila beat.Kwa mfano RC wa sasa pamoja na makando yake UNAWEZA KUONGOZA NA KUINYOOSHAKwa ubunifu wake na utulivu Jokate anafaa sana kuwa RC wa Dar.
ANTON MTAKA DAR
JOKATE ARUSHA
GONDWE IRINGA
Nunua TING kuna channel ya UHAI TV utizame Hiyo habari ya AZAMTV utamkuta CHARZ&IVONNA.Vile vile kama unayo AZAM APP utaipata hiyo ChannelWengine tujitokeze kuomba taarifa ya habari ya Azam tv,na vipindi vingine vya Azam tv.
Mtoto wangu anampenda saana Ivone Kamuntu,lakini sasa hamuoni.
Dinah Kanze wa citizen pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda ameweza sana kuwanyoosha wakazi wa Dar.Hawezi kuongoza Dar.Wanaume wa Dar mnawachukulia poa eeeh? Dar ndiyo hekaheka zote zipo pale.Inahitaji mtu ambaye anaweza kucheza/ku dance kila beat.Kwa mfano RC wa sasa pamoja na makando yake UNAWEZA KUONGOZA NA KUINYOOSHA
Sent using Jamii Forums mobile app
Aka Bashite. Cheti chake ulikiona?Hao wote hakuna wa kumfikia Makonda.
Huyu anatafuta mume wa kumuoa sasa mkimpandisha mavyeo hivyo tutamfikiaje? Subirini kidogo.Kwa ubunifu wake na utulivu Jokate anafaa sana kuwa RC wa Dar.
Nikupe pole kwa Majukumu uliyonayo. Pia Shikamoo! Ni kaushauri kadogo tu asubuhi ya leo ningependa kupendekeza. Unao Vijana watatu ambao Mimi Binafsi nawaona Kama watu ambao ulipatia kuwateu kukusaidia. Nakuomba uwape majuku makubwa zaidi, kwa kiwango walichokionesha, wanastahili kukusaidia katika Majukumu makubwa zaidi. Vijana Hawa watatu Ni:
1. Anthony Mtaka (RC-SIMIYU), kwakweli Ni mtu anaejiamini, mbunifu, mtu wa kutafuta fursa za kimaendeleo kwa ajili ya Wananchi wa Mkoa wake. Atatufaa zaidi hata tusio wa Mkoa wake.
2. Jokate Mwegelo, Young and Ambitious, ameonesha alivyo mbunifu, ameamua kufanya kazi tofauti na wengine ambao kazi Yao Ni kukuimbia nyimbo za kukusifu na kukuabudu.
3. Godwin Gondwe. Amekuwa msaada Mkubwa Sana kwa Wananchi wa Handeni. Amehamasisha kilimo Cha mihogo, shughuli za Maendeleo na Mambo mengi ambayo Ni positive.
Ni hao TU muheshimiwa, na nakuhakikishia, HAWATOKUANGUSHA. Ila kaombi kengine kadoooogo, pale Hai huna Mkuu wa Wilaya, una MUHUNI NA KILAZA(sijui walikupa vigezo gani umteue?).
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru. Ila mi nimewiwa tu Kama Mtanzania, nimeona nami nimsaidie kwa Maoni kidogo. Tuijenge nchi yetu sote. Huku nilipo nahudumia pia Wananchi Kama sehemu ya kuisaidia Serikali.Natamani hata wewe uliyetoa ushauri huu, apate fursa ya kukufahamu. Nahisi kama anaweza akakupatia angalau zawadi ya kukushika mkono tu kama aliyompa yule mheshimiwa wa TRA, japo yeye amepata na cheo pia. Wazalendo huwa hawatupani, wanafahamiana.
Nashukuru. Ila mi nimewiwa tu Kama Mtanzania, nimeona nami nimsaidie kwa Maoni kidogo. Tuijenge nchi yetu sote. Huku nilipo nahudumia pia Wananchi Kama sehemu ya kuisaidia Serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana bahati ya kuwa karibu na Dar na kwa kuwa maeneo ya uwekezaji dar hayapo ,wawekezaji wengi sana wameona mkoa wa pwani kuwa ndio kimbilio la uwekazji kwa ajili ya soko la wakazi wa dar.Bila kumshau mhe.Eng Evarist Ndikolo RC Pwani