alexelias
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,032
- 3,198
Makonda afutwe kazi!Samahani Mkuu hapa ndiyo umeandika nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda afutwe kazi!Samahani Mkuu hapa ndiyo umeandika nini?
Hawezi kumfuta kazi makonda, ni rahisi kumfuta kazi waziri au waziri mkuu kuliko makondaMakonda afutwe kazi!
Hawezi kumfuta kazi makonda, ni rahisi kumfuta kazi waziri au waziri mkuu kuliko makondaMakonda afutwe kazi!
Ni wajibu wetu kumkumbusha Mhe Rais kuhusu mapungufu ya Makonda.ni rahisi Mh. ajiuzulu wadhifa wake,kuliko kufikiria kumfuta kazi Bashiite
Siyo kweli!Ni rahisi kumpa talaka janeth kuliko kumwaga bashite
Kwa kweli Makonda hafai!Namkumbuka sana GWAJIMA Bishop alisema huyu bwana mdogo atamtia hasara na aibu yako wapi? mwaka hata haujakatika kitu hichooo na bado... na ndimi kujaa kwa mdomo
Wakuuuu niwe mkweli kabisaaa, huyu rais wa jamhuri Ya muungano wa Tanzania anafanya mambo ambayo ndio hitaji kuuu la kwangu Mimi hivyo naomba watumishi wake wa tiss mlioko humu mmpelekeee salam za Pekee kutoka kwangu binafsi na ninamhakikishia kuwa Niko nyuma yake na ninamuombea Kwa MUNGU ampe Afya njema na kumlinda ili aendelee na haya majukumu MAGUFULI HOYEEEEEEEE
Heeeee mpaka nimeshangaa, Kodi ya shirika la Umma inaingia kwenye kapu Kuu la makusanyo ya Kodi sio Halmashauri. Yaani TRA ndo inakusanya direct.Hapo vip!!
Katika hawamu hii, hawajafanikiwa kuleta na kufanya mpango wa maendeleo inayogusa nchi nzima bali ni hizi program ndogo zinazogusa ukanda fulani, mfano ununuzi wa ndege inamsadiaje mtu wa nachingweya mtwara, au treni ya umeme kutoka dar kwenda mwanza inamsadiaje mtu wa Oldadai -Arusha.
Mfano kipindi cha Kikwete ulianzishwa mpango wa shule za Kata Tanzania nzima na niwazi huu mpango imewagusa na kuwasaidia watanzania wengi katika kila kona ya Nchi.
Pili Kikwete alifanya mpango wa kujenga barabara za lami Nchi nzima na mpango huu imemgusa na kuwasaidia watanzania wote.
Mimi tokea uingie madarakani bado sijaona mpango uliokuja nao Kwa lengo la kuwasaidia watanzania au kuibadisha Tanzania Kwa ujumla, hizi Sijui treni za umeme na ununuzi wa ndege ni projects ndogo ndogo sana.
Hivi washauri wa rais Kwa nini msimshauri vizuri katika eneo la uchumi , mkaacha kumuogopa, Kwanini yeye ni Mungu bhana.
Hivi viprojects vidogo vidogo anavyofanya ni za level za mawaziri na wabunge.
Biashara inayoongoza Duniani siku zote Ni biashara ya Dawa za Binadamu. Matajiri wakubwa Duniani Kama wakina Bill Gates ndo wameshikilia hizo biashara za dawa ulimwenguni.Maji ambalo ni hitaji muhimu kwa uhai wa binadamu ni issue Tanzania karibu yote. Wakati wa kiangazi wenye nguvu hupata rizki kwa kuchotea maji wale wasio na nguvu au wenye u shuleni wa maisha.
Pesa inayotumika kugharamia maji ingeweza kuboresha makazi na kudhibiti wadudu kama mbu, tungedhibiti malaria.
Ulizia pesa ya budget ma maji mwaka huu wa fedha iliyofika Wizara ya maji.
Hakuna kipindi Serikali imefanya vizuri kwenye Sekta ya Afya Kama msimu huu wa Magufuli.Unaishi dunia gani mkuu,elimu bure pamoja na uboreshaji wa huduma za afya kwako sio maendeleo?
great oneKitufe cha like hakipo....nalazimika nikunukuu.
Ukumbi wa diamond jubilee ulikuwa kimya pale mama Mghwira aliposema tunataka katiba mpya kama kichocheo halali cha kuleta mabadiliko.
Hakika zile ndio siasa.......siasa mpya.....Huyu mama ametokea kupendwa ghafla.