Mtoa Roho babaako mdogo nini?
Wewe na huyo Jiwe lako hamuendi Mbinguni.
Wewe na huyo Jiwe lako hamuendi Mbinguni.
Haki ya nani niko pele yng ila nimecheka kwa nguvu kbs Apumzike kwa Amani na mwanga wa milele aangaziwe dah kwel nafsi zimechoka overHamjamuelewa mleta mada....Ni hivi, amesema "MUNGU AMPUMZISHE KWA AMANI" na mwanga wa milele amuangazie.
kaa chile temana nasi kama umekakile swagire!!!Mtoa Roho babaako mdogo nini?
AmeenHamjamuelewa mleta mada....Ni hivi, amesema "MUNGU AMPUMZISHE KWA AMANI" na mwanga wa milele amuangazie.
Hana uwezo huoNi ushauri tu kwa mpendwa JPM
Miaka mitatu ya experimental politics and economics inatosha.
Lets get real.This has failed
Tuanze na regulatory frame works:
Uchumi wetu haujakuwa kwa kiwango cha kuwa fully regulated so nafikiri ni wakti sasa wa kuderegulate uchumi wetu huku mifumo ikibpreshwa taratibu.
- Punguze kiwango cha kodi by 50% mfano VAT ishushwe mpaka 10-14% zile kodi za makadirio za TRA zishushwe kwa 50% na muwe na option ya kulipa mwezi kwa mwezi shilingi 10,000 kwa kila mfanya biashara mwenye TIN.Ondoa gharama za business license kwa biashara ndogondogo.
- Mfumo wa TOZO za barabarani ubadilishwe Kiwango cha faini kitegemee na aina ya KOSA,aina ya Leseni na aina ya Gari.
- Manpower harmonization kwa sekta kipaumbele kwani watu wamejazana maofisini
Pale bank kuu na wizara ya fedha wamejaa voodoo economists sidhani kama wanaweza kuelewa ulichoandika..Ni ushauri tu kwa mpendwa JPM
Miaka mitatu ya experimental politics and economics inatosha.
Lets get real.This has failed
Tuanze na regulatory frame works:
Uchumi wetu haujakuwa kwa kiwango cha kuwa fully regulated so nafikiri ni wakti sasa wa kuderegulate uchumi wetu huku mifumo ikibpreshwa taratibu.
- Punguze kiwango cha kodi by 50% mfano VAT ishushwe mpaka 10-14% zile kodi za makadirio za TRA zishushwe kwa 50% na muwe na option ya kulipa mwezi kwa mwezi shilingi 10,000 kwa kila mfanya biashara mwenye TIN.Ondoa gharama za business license kwa biashara ndogondogo.
- Mfumo wa TOZO za barabarani ubadilishwe Kiwango cha faini kitegemee na aina ya KOSA,aina ya Leseni na aina ya Gari.
- Manpower harmonization kwa sekta kipaumbele kwani watu wamejazana maofisini
Abadili diniHii thread iwe Maalum kwa Maoni, Ushauri na Mapendekezo mbalimbali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Mimi namuomba, Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na taadhima hili ni ombi binafsi kwako.
Nnaomba uhakikishe huyu mrembo wa ACT Bi Anna Mghwira unamuingiza bungeni na unampa wadhifa anaostahiki, huyu mama ni kichwa adhyim na adim kabisa.
Nimemfatilia mikutano yake mingi sana ya kampeni, anatoa vitu kichwani utafikiri ana word processor inayopanga na kuchuja anachokizungumza kutoka kichwani bila kusoma.
Halikadhalika leo kanifurahisha sana alipostukizwa na kutoa hotuba pale Diamond, ilikuwa fupi na imelenga points zote nzuri na ameeleweka vyema kabisa.
Anna heko sana na nitakuunga mkono katika siasa zako.
Duh!Upo?La Ikrah fi Din.
Sio tutanyooka labda kama na wewe ni mmoja kati ya wale waliokuwa wanatulizwa na milungula.. sema nchi itanyookaNiende kwenye mada!
Kwanza nampongeza Mh Rais wetu mpendwa kwa kuamua kulitumia Jeshi letu la wananchi katika mambo mbalimbali yanayoendelea nchini!
Kitendo hiki,kinatoa funzo kwa watanzania kuwa kazi ya Jeshi letu sio moja tu ya kulinda amani hata shughuli nyingine wanaweza kuzifanya vyema.
Binafsi lazma niwe mkweli katika matumizi ya jeshi,lazma tukubaliane kuwa katika vyombo vyetu vya ulinzi,kulikuweko na myumbo mkubwa wa maadili ya utumishi wa umma!
Nchi ilibakia na Jeshi tu ndo ambalo walau bado kulikuwa na kiwango kikubwa cha maadili,nasema hivyo wengi tutakiwa mashahidi wazuri rasrimali nyingi za nchi zmeibwa mnoooo katika nchi hii,mikataba mingi ya ovyo imesaini wa katika nchi hii,
Na wakat mikataba inasaiiniwa, vyombo kama takukuru na usalama wa taifa walikuwepo!.
Leo hii hainingiii akilini uniambie heti tumtumie polisi aende na TRA kwenda kukagua duka la dora aise kitakachotokea ni aibu!
Walisha tumika sanaaa na kuishia kula rushwa sasa ni wakati wa kurudisha nidhamu ya nchi kupitia jeshi letu!
Bravooooooo,kwa kuwatumia kwenye korosho,bravo kujenga ukuta wa tanzanite,bravooooo kwenye maduka ya dora tutanyoooka tu.