Status
Not open for further replies.
Kiutendaji na kiutawala Mkuu wa Mkoa ni cheo muhimu na kikubwa kuliko Mbunge.
Kumbuka ndani ya Mkoa moja kuna wabunge wengi tu?
Huyu Mheshimiwa Anna M. ni vyema akapewa Ubunge wa Kuteuliwa na baada ya hapo apewe Wizara nyeti ili aweze kutumia uwezo wake wote wa Kitaaluma na aliopewa na Mungu.
 
Ni ushauri tu kwa mpendwa JPM

Miaka mitatu ya experimental politics and economics inatosha.

Lets get real.This has failed

Tuanze na regulatory frame works:
  1. Punguze kiwango cha kodi by 50% mfano VAT ishushwe mpaka 10-14% zile kodi za makadirio za TRA zishushwe kwa 50% na muwe na option ya kulipa mwezi kwa mwezi shilingi 10,000 kwa kila mfanya biashara mwenye TIN.Ondoa gharama za business license kwa biashara ndogondogo.
  2. Mfumo wa TOZO za barabarani ubadilishwe Kiwango cha faini kitegemee na aina ya KOSA,aina ya Leseni na aina ya Gari.
  3. Manpower harmonization kwa sekta kipaumbele kwani watu wamejazana maofisini
Uchumi wetu haujakuwa kwa kiwango cha kuwa fully regulated so nafikiri ni wakti sasa wa kuderegulate uchumi wetu huku mifumo ikibpreshwa taratibu.
 
Hana uwezo huo
 
Pale bank kuu na wizara ya fedha wamejaa voodoo economists sidhani kama wanaweza kuelewa ulichoandika..

Kama walishindwa kumshauri kuhusu serikali kununuwa korosho moja kwa moja wameonesha uwezo mdogo waliokuwa nao. Nchi hii soon itakuwa kama Zimbabwe
 
Hii thread iwe Maalum kwa Maoni, Ushauri na Mapendekezo mbalimbali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

Mimi namuomba, Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na taadhima hili ni ombi binafsi kwako.

Nnaomba uhakikishe huyu mrembo wa ACT Bi Anna Mghwira unamuingiza bungeni na unampa wadhifa anaostahiki, huyu mama ni kichwa adhyim na adim kabisa.

Nimemfatilia mikutano yake mingi sana ya kampeni, anatoa vitu kichwani utafikiri ana word processor inayopanga na kuchuja anachokizungumza kutoka kichwani bila kusoma.

Halikadhalika leo kanifurahisha sana alipostukizwa na kutoa hotuba pale Diamond, ilikuwa fupi na imelenga points zote nzuri na ameeleweka vyema kabisa.

Anna heko sana na nitakuunga mkono katika siasa zako.
Abadili dini
 
Niende kwenye mada!

Kwanza nampongeza Mh Rais wetu mpendwa kwa kuamua kulitumia Jeshi letu la wananchi katika mambo mbalimbali yanayoendelea nchini!

Kitendo hiki,kinatoa funzo kwa watanzania kuwa kazi ya Jeshi letu sio moja tu ya kulinda amani hata shughuli nyingine wanaweza kuzifanya vyema.

Binafsi lazma niwe mkweli katika matumizi ya jeshi,lazma tukubaliane kuwa katika vyombo vyetu vya ulinzi,kulikuweko na myumbo mkubwa wa maadili ya utumishi wa umma!

Nchi ilibakia na Jeshi tu ndo ambalo walau bado kulikuwa na kiwango kikubwa cha maadili,nasema hivyo wengi tutakiwa mashahidi wazuri rasrimali nyingi za nchi zmeibwa mnoooo katika nchi hii,mikataba mingi ya ovyo imesaini wa katika nchi hii,
Na wakat mikataba inasaiiniwa, vyombo kama takukuru na usalama wa taifa walikuwepo!.

Leo hii hainingiii akilini uniambie heti tumtumie polisi aende na TRA kwenda kukagua duka la dora aise kitakachotokea ni aibu!

Walisha tumika sanaaa na kuishia kula rushwa sasa ni wakati wa kurudisha nidhamu ya nchi kupitia jeshi letu!

Bravooooooo,kwa kuwatumia kwenye korosho,bravo kujenga ukuta wa tanzanite,bravooooo kwenye maduka ya dora tutanyoooka tu.
 
Sio tutanyooka labda kama na wewe ni mmoja kati ya wale waliokuwa wanatulizwa na milungula.. sema nchi itanyooka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom