Status
Not open for further replies.
Watu msiokuwa na shukrani, ni kubeza kila kitu, hamasikia kuwa kesi ya kobe ikomahakamani. Aidha, hao majangili mnaishi nao mtaani, hamtoi taarifa bali kukaa vijiweni na kupiga umbea !!!

Walio pelekwa mahakamani wangapi..na waliofungwa wangapi..? We jangili nini ?
 
Hako kajibu kadogo pelekeni zahanati ya karibu mkatumbue. Acheni woga. Kazi ya kutumbua majipu si ya mtu mmoja. Kila mtu alipo tumbueni.
 
Minafikiri jipu la Richmond litakuwa gumu mno..maana linahusisha vyama vyote..CCM , CHADEMA .nafikiri mmenielewa hapa.
 
Kinara wa biashara za meno ya tembo Tz ni nani?, Ningeweza kukutana na Mhe. RAIS Ningemshauri "wale mawaziri ambao wamepitia kwenye wizara 'majipu' wasirudi kwenye baraza lake kwa vyovyote vile". Maana ningumu kama kuna madudu bandarini na waziri aliyekuwepo ukampanga maliasili, hatutakuelewa Mhe.. Tupe matumaini mapya- umeanza vizuri kwa kuwa umeanza na Mungu, maliza vizuri umalize na Mungu- Nafsi za watu milioni 50 wakikulaumu wakati unamaliza na wakamlilia Mungu- hakika hutapumzika kwa ustaafu wako...
Usiwarudishe mawaziri woote waliokuwa kwenye wizara majipu, uwaziri hausomewi- wengine wapya wenye moyo watafanya vizuri hadi ushangae!! NASI TUTAFURAHI PAMOJA NAWE KWENYE TZ TULIYIPEWA BURE NA MUNGU...
 
Hili hata Mungu hawezi. Kutaja akaunti zisizo na majina? Labda ataje kwa namba au?
Lakini majina ya waliobeba viroba si yanajulikana. kwenye mkanda wa camera za Stanbic cctv wamo.labda kama viroba vilibebwa na majini.
 
UVUTAJI WA SIGARA OVYO
Unakutana na mtu yupo barabarani anavuta tu sigara bila kujali athali zinazokumba watu wengine ambao siyo watumiaji.

ABIRIA KUSIMAMA NDANI YA BUS/ DALADALA
Unakuta gari limejaa siti zote lakn makondacta wa Tz wana roho ya paka hawaliziki. Mhe Rais hii pia ni adha kwa wapiga kura wako.

BEI ZA BIDHAA KUPANDISHWA KIOLELA
Unaenda dukani kwa Mangi unauliza bei ya mchele wa Mbeya unaambiwa 2300/= ukienda duka lingine unaambiwa 2500/= hii inatuhumiza sana wananchi wa chini tusio na sehem Ya kushitaki pia inatulazimu kununua maana usiponunua utalala na njaa.

TANESCO
Mhe Rais hii kero hipo kila sehem labda nyumbani kwako tu na Ofisi za watu wako wa karibu lkn asilimia kubwa hasa mikoani umeme ni shida kuna wakati inakua Kama mchezo mara wanakata mara wanawasha mpaka hasira sisi wananchi wako hatuna sehem ya kupeleka labda JF huku unaweza kuwa unapitia pitia Unakutana nalo.

VIBAKA MITAHANI
Hii ishakuwa jadi ya mtaani kwetu ukipita too late lazima uhumie polis wetu wapo tu kazi yako ni kusubiri (...) au wasikie nimetukanana na jirani yangu wanifate wakanilaze selo ili niwape chochote ndio nipate dhamana. kazi zao zingine unazijua.

ONGEZEA KERO INGINE YA MTAANI KWAKO.
 
Hii ni auto setting,usipojipanga utapangwa kwa nguvu ya john.

Hiv vitu ulivyovitaja havina uhai saana.
 
Kampuni ya uchimbaji madini ya ACCASIA ina mpango wa kupunguza wafanyakazi wengi sana zaidi ya 1000 kwenye migodi yake ya north mara, buzwagi na bulyanhulu,
Bado nasikia kuna kampuni ya uchimbaji huko mererani na wenyewe wanapunguza watu zaidi ya 600, mh hapa ile nani yako ya hapa kazi tuu mbona inakwenda tofauti kabisaaaa na hawa wawekezaji???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom