Status
Not open for further replies.
Bila kujali uhalisia wa taarifa yoyote, ila ningependa kumuombea siha njema Rais Magufuli, aje aendelee na kazi zake.

Japo kuna baadhi ya sera zake sikubaliani nae, ila niseme tu kuna mambo mimi Magufuli namuunga mkono kabisa na ninaona yupo sahihi.

Lakini pia ningependa, pindi ataporejea kazini, afanyie kazi changamoto ambazo watu wamekuwa wakimlalamikia.

1) Kuna suala la kodi kwa wafanya biashara.

2) Kuna issue sa upendeleo wa kikabila, kikanda, na kidini ambavyo watu wanalalamika sana kipindi hiki kwamba vimeshamiri.

3) Kuna masuala ya utawala wa haki na sheria ambao umedorora kipindi hiki.

4) Kuna suala la katiba mpya, hiki bado ni kilio kikubwa kwa watanzania.

5. Diplomasia njema na majirani

Endapo Magufuli akiondoka madarakani bila kutatua hizo changamoto hapo juu, yale yote mazuri aliyoyafanya yatasahaulika mapema sana.

Isitoshe pia, kama asipotekeleza hivi vilio vya wengi, sioni kama mfumo wa Chama Cha Mapinduzi utaweza kufanya mabadiliko yoyote.

Bado system ya CCM itabaki kuwa tatizo. With or without Magufuli, bado kutakuwa na changamoto kubwa sana.
 
Xiaomi, techno, huawei ni mitandao ya makampuni makubwa ya simu. Katika soko la uchina kampuni ya apple inatafuta market share ya kutosha.
.
Wamezuia mahindi

Tunazuia blueband, pipi, kiwi, dawa ya meno. Tutatengeneza za kwetu na hii ni fursa kwa watanzania kuwekeza katika viwanda

Bwawa la umeme la julius nyerere linakaribia kukamilika
 
Ndoto zingine ni hatari
 
Bila kujali uhalisia wa taarifa yoyote, ila ningependa kumuombea siha njema Rais Magufuli, aje aendelee na kazi zake.

Japo kuna baadhi ya sera zake sikubaliani nae, ila niseme tu kuna mambo mimi Magufuli namuunga mkono kabisa na ninaona yupo sahihi.

Lakini pia ningependa, pindi ataporejea kazini, afanyie kazi changamoto ambazo watu wamekuwa wakimlalamikia.

1) Kuna suala la kodi kwa wafanya biashara.

2) Kuna issue sa upendeleo wa kikabila, kikanda, na kidini ambavyo watu wanalalamika sana kipindi hiki kwamba vimeshamiri.

3) Kuna masuala ya utawala wa haki na sheria ambao umedorora kipindi hiki.

4) Kuna suala la katiba mpya, hiki bado ni kilio kikubwa kwa watanzania.

5. Diplomasia njema na majirani

Endapo Magufuli akiondoka madarakani bila kutatua hizo changamoto hapo juu, yale yote mazuri aliyoyafanya yatasahaulika mapema sana.

Isitoshe pia, kama asipotekeleza hivi vilio vya wengi, sioni kama mfumo wa Chama Cha Mapinduzi utaweza kufanya mabadiliko yoyote.

Bado system ya CCM itabaki kuwa tatizo. With or without Magufuli, bado kutakuwa na changamoto kubwa sana.
Umesahau na ajira kwa vijana wetu ambao sasa ni mwaka wa 6 wapo mitaani na vyeti vyao huku sori za viatu zikiishia kwenye lami kutafuta kazi.
 
Huyu jamaa John Joseph Pombe Magufuli Alisha jitanabaisha kuwa YEYE HUWA HASHAURIKI NA UKIMSHAURI NDIYO UNAPOTEZA KABUSA.
Huyu ni Rais mwenye vimelea vya UDIKTETA!!!
Tulitaka Rais ajae awe Dikteta sasa kaja mnalia nini mbona watanzania hamueleweki , ?
 
wanasiasa wote waendelee kucheza na akili za wanyonge lakini waelewe vizuri kuwa hakuna nguvu ya kuutenganisha utu na upendo wa Magufuli na wananchi wanyonge wa Tanzania.
Lakini ujiulize tu, je, kwa miaka sita aliyokuwa madarakani bwana dead stone pamoja na kuwahadaa kwamba anawajali hao wanyonge, he kuna wanyonge wangapi wametoka kwenye huo unyonge na kuwa mabilionea?

Usinitajie laizer yule sio mnyonge, nitajie Hawa wafanyabiashara wa kawaida kabisa sababu ninachoona biashara nusu ilishakufa, kariakoo frame ilikuwa unabembelezwa kuichukua Hadi kwa laki tano kwa mwezi wakati zamani ilikuwa ni milioni hautaki sepa na ukienda bank ukirudi unakuta mtu keshalipia.

Penye kusifia lazima tusifie Ila huyu bwana alikuwa anawapoteza hao wamachinga, walizoea kuzagaa bila kuwa na utaratibu wa biashara, unakuta wanapanga bidhaa zao mbele ya frame ambayo mtu analipia Kodi laki nne na bado wafanyakazi na TRA juu lakini wao wanablock biashara. Hii ndio siri ya hao wanaojiita wanyonge kulialia maana walizoea kuishi bila utaratibu.
 
Haiwezekani utawala kwa miaka 5 tu uungganishe nchi nzima barabara za lami. Muwaone wangulizi wake baaassiii

Anyway kuna kitu inaitwa brain wash..skuwa nailewa vzr phrase hii sasa nimeipata....hakuna kama nyerere...hakuna kama ...... Brain wash wapo waliomchukia nyerere mpaka baaas.

CAG amelipua bomu....prof Assad alitaka sh 1,500,000,000,000 zilizochapwa akawa mbaya...

Hivi kumbe mthibiti anampekua kila mtu, kila idara, kila kona....?

Mwaka wa sita huu kahela ninakokapata kama ujira ni kalekale....

Nikiamka nitaedit uzi wangu, kichwa haijakaa sawa
 
wanasiasa wote waendelee kucheza na akili za wanyonge lakini waelewe vizuri kuwa hakuna nguvu ya kuutenganisha utu na upendo wa Magufuli na wananchi wanyonge wa Tanzania.
Mnang'ang'ania kujiita wanyonge mnajua maana yake? Hebu acheni kujidhalilisha:

mnyonge
(wingi wanyonge)

  1. Mtu asiyejiweza/ Hana uwezo wa kuongea au kutoa mawazo yake/Masikini/Hana maana/Mjinga kifedha
 
Haiwezekani utawala kwa miaka 5 tu uungganishe nchi nzima barabara za lami. Muwaone wangulizi wake baaassiii

Anyway kuna kitu inaitwa brain wash..skuwa nailewa vzr phrase hii sasa nimeipata....hakuna kama nyerere...hakuna kama ...... Brain wash wapo waliomchukia nyerere mpaka baaas.

CAG amelipua bomu....prof Assad alitaka sh 1,500,000,000,000 zilizochapwa akawa mbaya...

Hivi kumbe mthibiti anampekua kila mtu, kila idara, kila kona....?

Mwaka wa sita huu kahela ninakokapata kama ujira ni kalekale....

Nikiamka nitaedit uzi wangu, kichwa haijakaa sawa
Unataka kutwambia nini? Huyu Assad ni hasidi na muongo anayetafuta sifa. Alishindwa nini kueleza haya anayoeleza leo wakati alipowajibishwa? Nadhani mzee huyu anasumbuliwa na ngoa na kutaka aonewe huruma apewe ulaji. Wataibuka wengi kama hawa ambao kimsingi hawana ithibati.
 
Haiwezekani utawala kwa miaka 5 tu uungganishe nchi nzima barabara za lami. Muwaone wangulizi wake baaassiii

Anyway kuna kitu inaitwa brain wash..skuwa nailewa vzr phrase hii sasa nimeipata....hakuna kama nyerere...hakuna kama ...... Brain wash wapo waliomchukia nyerere mpaka baaas.

CAG amelipua bomu....prof Assad alitaka sh 1,500,000,000,000 zilizochapwa akawa mbaya...

Hivi kumbe mthibiti anampekua kila mtu, kila idara, kila kona....?

Mwaka wa sita huu kahela ninakokapata kama ujira ni kalekale....

Nikiamka nitaedit uzi wangu, kichwa haijakaa sawa
Nikiamka nitaedit uzi wangu, kichwa haijakaa sawani kweli kabisa
 
Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
Waliojenga miradi mipya ya umeme na kuikamilisha kabla yake ndio waliomaliza tatizo la umeme, sio Magufuli. Kwa mfano JK alijenga miradi ya Kinyerezi 1,2,3 Magufuli akaikuta na hiyo ndiyo iliyomaliza tatizo la umeme kabisa lakini si mwendazake ambaye mradi aliouanzisha wa Stiggler's Gorge ndio kwanza unajengwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom