Status
Not open for further replies.
Uchaguzi umeisha serikali imeanza kuundwa na hivi karibuni Baraza litaundwa. Kwa maoni yako ni mambo gani ungeshauri serikali ya Dr Magufuli ifanye kiuchumi, kisiasa na kijamii?
Mnapoteza muda wenu bure yaani huyo Hana uwezo was kufanya chochote Cha maana zaidi ya kupiga teni pasenti kwenye miradi feki inayoitwa miradi mikubwa .
 
Aachane na ule Mpango wake wa kununua ndege 5.

Aachane na Mpango wa kujenga new stadium Dodoma.

Aachane na Mpango wa kujenga new stadium Chato.

.....
 
Apitie ilani za vyama vingine na yaliyoainishwa mazuri ayachukuwe na kuyatekeleza,

Kwenye Serikali yake aendelee kushirikisha baadhi ya viongozi wa upinzani ili kuongeza maridhiano,

Mahusiano ya kimataifa yaangaliwe upya
Yaani angekuwa na akili hii angefanikiwa sana! Lakini sasa hivi bure kabisa!
 
Kwani walishauriwa na nani kuiba kura na kumwaga damu? Nendeni kwenye mabaraza ya ccm mkachukue ushauri. Mngekuwa mmeingia kwa ridhaa ya wananchi walio wengi, hapo mngekuwa na uhalali wa kuomba maoni.
Wenye akili timamu tunajua hujaibiwa kura,kinachokuuma ni kukosa ubunge na pesa za ruzuku,pamoja na michango ya wabunge. Wewe ni mnafiki tu mchumia tumbo,huna lolote.
 
Anamwingiza Bungeni ama kwa kikao cha CCM ambacho kwa mgongo wa chupa kinaitwa ati Bunge la JMT


Waliopita kwa HAKI mule Mwenyeji Mungu anirehemu hata 100 hawafiki.
 
Ni vitu gani vinamuangusha Magufuli katika uongozi wake ambavyo kama akiviweka sawa basi anaweza kuwa the best president in East and Central Africa? Naona kuna malalamiko kadha wa kadha kutoka kwa wananchi wengine wanakubaliana na movement zake wengine wanaona kama anafanya vitu ambavyo si sawa.

Kwa maoni yako endapo ungepewa nafasi ya kumshauri Rais Magufuli ni kitu gani ungependa akifanyie reformation?
 
Ni vitu gani vinamuangusha Magufuli katika uongozi wake ambavyo kama akiviweka sawa basi anaweza kuwa the best president in East and Central Africa??? Naona kuna malalamiko kadha wa kadha kutoka kwa wananchi wengine wanakubaliana na movement zake wengine wanaona kama anafanya vitu ambavyo si sawa.

kwa maoni yako Endapo ungepewa nafasi ya kumshauri Rais Magufuli ni kitu gani ungependa akifanyie reformation?
Asikilize kwa umakini mkubwa clip ya JK akieleza kuhusu "wazo halipigwi rungu".Asikilize kwa makini hotuba ya Warioba wakati anazungumza na watu wa haki binadamu.

Ingawa lina uchungu apitie kwa jenerali online.La mwisho apte briefing kuhusu kipi kilichotokea mpaka Waziri wa mambo ya ndani Ali Hassan mwinyi akajiuzulu.

Otherwise anaonekana kuwa na nia njema ya kutupeleka mbele lakin sustainability ya mbinu zake ni short lived akitoka madarakani,hardly mwezi mmoja.
 
Apandishe watumishi madaraja na mishahara.
Asianzishe miradi mipya hadi hizi zilizoanza zikamilike na kufanyiwa tathmini.
Hali ya maisha ni mbaya sana,asidanganywe na maigizo wanayomfanyia..uhalisia hali ni tete.
 
Asikilize kwa umakini mkubwa clip ya JK akieleza kuhusu "wazo halipigwi rungu".Asikilize kwa makini hotuba ya Warioba wakati anazungumza na watu wa haki binadamu. Ingawa lina uchungu apitie kwa jenerali online.La mwisho apte briefing kuhusu kipi kilichotokea mpaka Waziri wa mambo ya ndani Ali Hassan mwinyi akajiuzulu.Otherwise anaonekana kuwa na nia njema ya kutupeleka mbele lakin sustainability ya mbinu zake ni short lived akitoka madarakani,hardly mwezi mmoja.
Huyu ni mtawala na siyo kiongozi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom