Status
Not open for further replies.
images
 
Kwahiyo huu uzi ni maalum kwaajili ya maigizo ya Jiwe a.k.a Meko?
Mnapoelekea mtafungua hadi makanisa kwaajili ya kumuabudu.
 
Kuunga juhudi?.... Sijui kwa wengine ila hakuna rais alienikela kama huyu wa sasa.... Mazuri yake machache Yamefunikwa na mabaya tupu....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nadhani ni fair kutuacha tunaounga mkono juhudi tukajadiliana jinsi ya kumsaidia mh JPM kwa yale anayoyafanya badara kuleta uchuro wako wa kusema humpendi. Nakushauri uanzishe uzi wako kwa ajili yenu mnaounga mkono ushoga wa kamanda msaliti ili na nyingi mpate uzi wa kujinafasi.
 
Volume Inatosha kbs Au Ongeza Kdg Maana Nahisi Ajasikia Fresh
Mkuu, nadhani ni fair kutuacha tunaounga mkono juhudi tukajadiliana jinsi ya kumsaidia mh JPM kwa yale anayoyafanya badara kuleta uchuro wako wa kusema humpendi. Nakushauri uanzishe uzi wako kwa ajili yenu mnaounga mkono ushoga wa kamanda msaliti ili na nyingi mpate uzi wa kujinafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Songa: ujumbe mahususi kwa raisi

Intro

Mtaani hali ni mbaya haya matatizo uyakumbuke, watu hali ni mbaya baba utukumbuke...mtaani hali ni mbaya ohh

watu hali ni mbaya sanaa ya kwetu uikumbuke, mtaani hali ni mbaya matatizo uyakumbuke...

Kwanza pole kwa majukumu ya hapa na pale, sasa na kale yanayokufanya usilale...

Nikwania njema tu wananchi wako wapate, maisha bora kesho wakiamka wawe na mkate...

Kiukweli unapambana na maadui hawaishi, na wale ambao wanajifanya hawajui ni wabishi..

Usiku sio mchana na wala asubuhi haitishi, na ujumbe nao andika ni mahususi kwa raisi...

Tunahitaji wasanii tuwe happy na sisi, kila siku tunalia kuhusu haki miliki...

Wanyonyaji wametanda hata pasi hatupigi, wenzetu nje wanapanda tena kasi inazidi..

Wachache watakupa upendo wakutupe, sijaona wakuziba pengo la ruge..

Waliokua sugu wanakitengo cha ubunge, msisubiri hadi kwenye kampeni ndio mtukumbuke...

Chorus

Mtaani hali ni mbaya haya matatizo uyakumbuke, watu hali ni mbaya baba utukumbuke...mtaani hali ni mbaya ohh

watu hali ni mbaya sanaa ya kwetu uikumbuke, mtaani hali ni mbaya matatizo uyakumbuke...

Inua mkono kama elfu mbili ulipata, noma sana hauwezi nunua hata data...

Hauwezi record hauwezi kula bata, na ndio maana nimeamua kumuandikia kenyata..

Uko wapi? Wasanii tunaumia, hatuko happy...tumejaribu kukufikia, hatukupati...

Hiyo hela tanzania haifiki laki, piga simu moja kama billnasi...

Mi ni mlima wanajua bado na songa, I've been patient lakini sijapona

Starehe ndani ya tabu na tumesota, wanatunyanyasa kila kona...

Msanii bana siwezi kopesha, sina uhuru tafadhali in force presha..

Ikifika ni kampeni njoo tesa, ila tukilalamika ndio mnasepa...

Chorus

Mtaani hali ni mbaya haya matatizo uyakumbuke, watu hali ni mbaya baba utukumbuke...mtaani hali ni mbaya ohh

watu hali ni mbaya sanaa ya kwetu uikumbuke, mtaani hali ni mbaya matatizo uyakumbuke...

End

........written by Scars........
 
Kuna siku moja raisi nagufuli alitoa hotuba nilicheka sana hotuba hiyo ilikuwa hivi÷

Mheshimiwa kipindi yupo katika nafasi ya waziri ya ujenzi na miundo mbinu [am not sure] alimuagiza mkandarasi Moja hivi ambaye alikuwa hanasimamia barabara hakate mti uliokuwa njiani ili barabara ilipite sasa Yule mkandarasi ni muoga kutoka na wananchi wa eneo walikuwa hawataki mti ukatwe

Kwa sababu kuna nyumba pia lazima ziondoke ili barabara ilipite magufuli alivyoona vile akasema mti ukatwe na kweli ulikatwa na baadhi ya nyumba ziliondoka na barabara hikapita

Sasa baada ya miezi kadhaa magufuli akapita maeneo yaleyale hakakuta asilimia kubwa walikuwa wanapinga barabara isijengwe wamefungua biashara kando ya barabara alicheka sana

Sina chama

Always sorry for writting error coz it's not job application
 
Ushauri wangu asichukue form 2020 ili kuinusuru Tanzania kutengwa na jumuiya ya kimataifa na kuunusuru uchumi wa nchi.
Reli itamalizwa kwa utaratibu mzuri zaidi wenye tija

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Ataachia ngazi baada ya miaka 6 kuanzia sasa.... hayo ma romance na jumuiya ya kimataifa yasubiri

Viva Magufuli Viva

Back
Top Bottom