Status
Not open for further replies.
Scotland Yard wako vizuri kwenye upelelezi kuliko hata FBI, tutumaini kuwa raisi wetu atatumia ukuu wake kuwaleta hawa wafanye upelelezi tukio la Lissu
 
Kwangu mimi kiongozi hata angefanya nini, kama ni katili hafai.

Kiongozi ni lazima awe na sifa nzuri mchanganyiko. Ni afadhali binadamu aishi katika umaskini lakini maisha yake yawe salama. Awamu hii limekuwa jambo la kawaida kusikia maiti zimekutwa kwenye viroba. Hawa watu wanauawa na nani? Mbona vyombo vya usalama havitoi taarifa za kina na zenye mantiki kuhusiana na miili hiyo?

Mimi nadhani tupo kwenye tope, tumenasa. Wasio na akili wanadhani tunakimbia lakini ukweli ni kuwa tumenasa. Hakuna chochote kilicho muhimu kwa binadamu yeyote kama uhai wake. Nchini mwetu inaonekana uhai unaana kukosa thamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakaaje na wapinzani ambao wanachotwa na haohao maaduizetu wa kiuchumi, wanaomba taarifa kutoka kwa wanyonyaji ili wazitumie kukwamisha mikakati ya taifa kujinasua katika hii mitego tuliyonasa? Kuondoa hili la wanasiasa kuzuiwa kuitisha mikutano, Magufuli yuko sahihi 100%. Upinzani wamethibitisha kuwa hawana hata chembe ya uzalendo. Sad!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndo mnaomshauri magufuli vibaya, sasa wewe huoni kwamba upumbavu unaosema ndo unawapa wazungu "entry strategy"?

Stupid Ccm Hippocrates
 
Dhana moja kubwa na ambayo inaonekana kuwa potofu kutoka kwa muandishi, ni kwamba huyo Rais mwenyewe anashaurika.

Magufuli kwa ubabe wake wa wazi ule, kwa nini unafikiri anashaurika?

Kama rais anaweza kuwaita mawaziri aliowateua mwenyewe wapumbavu kwenye hotuba inayosikika wazi nchi nzima, hawa mawaziri akiwa nao kwenye mikutano ya ndani anawahandle vipi mpaka wapate confidence ya kumwambia mambo ya kweli asiyotaka kusikia?

Tunaweza kuwapa washauri lawama za bure, kumbe wakishauri vizuri wanatumbuliwa. Wanaobaki wanaona bora kukubali "amri kutoka juu" tu.

Mimi naweza kuwalaumu washauri kwa kuendelea kufanya kazi katika serikali ambayo inaonekana kutotaka kushauriwa, lakini siwezi kuwalaumu kwa kutotoa ushauri mzuri.

Mifano miwili ya haraka inayojulikana wazi ni Nape Nnauye na Lawrence Mafuru.

Kina Nape washatoa ushauri mzuri wametumbuliwa. Lawrence Mafuru kaondolewa hazina kwa sababu ya kushauri mambo ambayo yana tija, lakini rais hayataki. Ushauri wa Mafuru uliona kabisa kwamba mapendekezo aliyoyataka rais yataleta muanguko wa mzunguko wa fedha, akamuonya rais, rais akamtoa kazini Hazina kwa sababu hataki kuambiwa tofauti na anavyoona yeye, matokeo alichoonya Mafuru kimetokea kweli, mpaka Benki Kuu imeshusha riba kutoka asilimia 16 kwenda asilimia 9, na bado mzunguko wa fedha hauna afueni.

Sasa katika mazingira ambayo rais anafukuza kazi washauri wanaoshauri vizuri, utalaumu vipi washauri kwamba hawashauri vizuri?

Soma hii makala hapo chini. Imejaribu kuwa balanced sana na kuwa overly charitable to Magufuli katika ku equivocate mambo ili ku preserve journalistic integrity of looking at both sides of the coin and being fair to Magufuli, lakini hayo mambo yanayosemwa kwa lugha ya "huenda""inaonekana kama" rais hataki kuambiwa mambo tofauti na anavyotaka yeye, ni mambo ya kweli kabisa ambayo yapo.

Ukiona mpaka wazee wa siku nyingi kama Col. Mjengwa wanasema wazi kwamba Magufuli hasikilizi washauri wake, utawezaje kulaumu washauri kwamba hawamshauri vizuri?



Tanzania: Mixed Views On Mafuru Removal

Tanzania: Mixed Views On Mafuru Removal

By Deogratius Kamagi and Godfrey Kahango

Dar es Salaam/Mbeya — The removal of Mr Lawrence Mafuru from the powerful position of Treasury Registrar has prompted mixed views among analysts and politicians.

While others say the decision shows that President John Magufuli is sensitive to criticism and opinions that differ from his positions, others are of the view that people should not speculate on the move.

No reason has so far been given for the sacking of Mr Mafuru. A brief statement issued by State House on Wednesday evening said President John Magufuli had appointed Dr Oswald Mashindano to replace Mr Mafuru, who is to be assigned other duties.

Some analysts said yesterday that Mr Mafuru's removal could be a result of his outspokenness on various policy issues that seemed to "go against the grain," especially on the management of public finances.

Mr Mafuru was quoted recently saying it was not an offence for public institutions to open accounts with commercial banks.

The comments came after President Magufuli had repeatedly spoken against the depositing state funds in commercial banks, saying the government was at times being forced to borrow its own money from banks. A political analyst, who is also a member of the opposition Civil United Front, Mr Julius Mtatiro, told The Citizen that there was more to Mr Mafuru's removal than meets the eye.

"If difference in opinion between him and the appointing authority was the cause of tension then there was a need for him to explain to the President why he thinks he is right," he said.

However, he added that it was unlikely that Mr Mafuru was given an opportunity to explain his position. "It is unfortunate that our political leaders don't heed experts' professional advice."

Former CCM lawmaker Edmund Mjengwa said the impression that was being created was that Dr Magufuli does not need the advice of experts.

"President Magufuli is doing a wonderful job in building a new Tanzania, but the fact remains that he needs to value the advice of experts and his aides. He should also listen to ministers, permanent secretaries and even senior CCM officials," Colonel (rtd)

Mjengwa said. He added that he was aware that some of the President's aides feared they would be sacked if they said something that would not please their boss.

For his part, Kigoma Urban MP Zitto Kabwe said it was not wise to speculate on reasons behind the removal of Mr Mafuru, "who has done a commendable job in transforming the Treasury".

Mr Kabwe, a former chairman of the National Assembly's Public Accounts Committee, said Mr Mafuru was among the most patriotic civil servants he had worked with.

"If I'm asked to name the five most patriotic civil servants I have met and enjoyed working with, Mafuru will be one of them," said the ACT-Wazalendo chairman.

Mr Kabwe said he hoped that Dr Mashindano would continue the "good work" done by Mr Mafuru at the Treasury.

Former Kigoma South MP David Kafulila, said Mr Mafuru was a victim of the President's "immense" powers to hire and fire senior public officials.

"Granted, the President has constitutional powers to appoint and remove officials, but you cannot expect public officials to have peace of mind and deliver if things continue to be done in this manner."

Mr Kafulila added that it was within the Treasury registrar's authority to clarify statements made by the President.

Mr Mafuru holds a masters' degree in business administration from the University of Dar es Salaam and a certificate from the Chartered Institute of Banking in London.

Before joining the government as Director of Resource Mobilisation in the President Office (Presidential Delivery Bureau) he worked with various commercial banks in senior positions.

epigenetics Nyani Ngabu Consigliere Mjuni Lwambo

Good to have you back here Kiranga.

The sacking of Mafuru was quite unfortunate - the same goes for Mwele Malecela. What I am surprised by the leadership style of the top man is that that has not ruffled the wrong way people like Mahiga or other technically abled personnel in the administration. It seems non possess both the intestinal and testicular fortitude to resign.
 

Ndio kaka. Usijali sina nia mbaya na raisi. Nilichokuwa nataka kusema ni kuwa,sisi ni binadamu. Hakuna anayejua kesho.
Magufuli anafanya kazi kwa uzalendo na kujitolea. Sikatai but leo na kesho hayupo au tuseme amemaliz uraisi wake je Tanzania itaendelea kuwa na uzalendo ba ari aliyoijenga?

Na ndio mana namshauri awashirkishe wapinzani na wananchi wote. Hio kazi hawezi kufanya mwenyewe.
Yeyw alisema hata wezi wako CCM na wengine wanatamani aondoke hata kesho waendelee kula nchi.
Lazima atufundishe how to fish a fish,not feeding us fish.

samani nimeandika na simu.
 


Na mimi bila kupepesa vidole ninavyotumia ku type
Tuna wapinzani wenye midomo, wapenda sifa na waliokosa uzalendo

 
Unakaaje na wapinzani ambao wanachotwa na haohao maaduizetu wa kiuchumi, wanaomba taarifa kutoka kwa wanyonyaji ili wazitumie kukwamisha mikakati ya taifa kujinasua katika hii mitego tuliyonasa? Kuondoa hili la wanasiasa kuzuiwa kuitisha mikutano, Magufuli yuko sahihi 100%. Upinzani wamethibitisha kuwa hawana hata chembe ya uzalendo. Sad!

Sent using Jamii Forums mobile app
Thibitisha taarifa walizotoa kwa hao wanyonyaji..acha kuropoka Hamna wakukusifia hum.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakaaje na wapinzani ambao wanachotwa na haohao maaduizetu wa kiuchumi, wanaomba taarifa kutoka kwa wanyonyaji ili wazitumie kukwamisha mikakati ya taifa kujinasua katika hii mitego tuliyonasa? Kuondoa hili la wanasiasa kuzuiwa kuitisha mikutano, Magufuli yuko sahihi 100%. Upinzani wamethibitisha kuwa hawana hata chembe ya uzalendo. Sad!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nadhani kila hoja ukitaka ifanikiwe uwe na fact au mifano halisi kama mtoa mada alivyotoa mifano inayoonekana, na ww pia jitahidi kueleza walitoa siri gani? Kwa mzungu yupi? Na lini ? Na imeripotiwa wapi na serikali ilichukua hatua gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani anapokela magufuli ndo hapo tu kujidai yy ndo rais bora kuwai tokea, mara tumuunge mkono raisi khaa sasa tulishakuunga kwene kura, sasa si upige kazi zako kimyakimya mbna marais wote waliopita amna aliekua anatafuta uungwaji mkono baada ya kupewa kura, aliendelea kupiga kazi tu wananchi tutayaona tu matokeo sio kila siku eti tumuunge mkono raisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Na mimi bila kupepesa vidole ninavyotumia ku type
Tuna wapinzani wenye midomo, wapenda sifa na waliokosa uzalendo

Tokea uhuru mpo nyinyi madarakani na mmeruhusu madini yote kuchukuliwa,kwako wewe huo ndio uzalendo?mbona mna akili za kishetani nyie.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom