Status
Not open for further replies.
Wapo wapuuzi wata kukebei..... RAIS angewaacha wapinzani wabwabwaje tuuu wangechoka na wangepata relief wapinzani na wananch, lakini kulazimisha watu waweke vinyongo moyoni na wakose pa kusemea siku Rais akipata tatizo itakuwa ni sherehe na nderemo kwa wananch na wapinzani. Rais awaache waseme vinyongo viishe.
Hili ni tatizo sana. Hakuna shida mtu akiongea. kikubwa ajibiwe kwenye platform aliyoongelea. Ni mbaya sana watu kuanza kumsikiliza mtu mwingine na kumuamini yeye zaidi ya mkuu wa nchi. Siasa ijibu siasa.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kama ndo ivo wafanyavo wanakosea sana. Ni wajibu wao sio tu kumshauri bali pia kumshauri katika ukweli kwa mustakaabali mpana wa maslahi ya taifa.

Huu ni mwaka wa pili toka aingie madarakani hajabadilika chochote na hakuna msaidizi aliyejiuzulu. Kibaya uchumi haufanyi vizuri kwa maelezo tuko kipindi cha mpito. Kisiasa ndio hapo alipofikia kutaka siasa zifanyike kwa utashi wake.

Sasa hv wote wanaomshauri kasoro wapinzani wachache wamekariri neno linaitwa nia njema ya rais, hawajui kwamba nchi haiendeshwi kwa nia njema ya mtu bali taratibu na sheria. Wanashindwa kufahamu kwamba hakuna rais aliyekuwa na nia njema kama Nyerere lakini tulivaa mpaka viraka. Sasa hivi tuna kiongozi anayeamini mawazo yake tu na hao wasaidizi ni kama maroboti tu wanafuata anachotaka jamaa, kinyume na hapo sio mzalendo.
 
Dhana moja kubwa na ambayo inaonekana kuwa potofu kutoka kwa muandishi, ni kwamba huyo Rais mwenyewe anashaurika.

Magufuli kwa ubabe wake wa wazi ule, kwa nini unafikiri anashaurika?

Kama rais anaweza kuwaita mawaziri aliowateua mwenyewe wapumbavu kwenye hotuba inayosikika wazi nchi nzima, hawa mawaziri akiwa nao kwenye mikutano ya ndani anawahandle vipi mpaka wapate confidence ya kumwambia mambo ya kweli asiyotaka kusikia?

Tunaweza kuwapa washauri lawama za bure, kumbe wakishauri vizuri wanatumbuliwa. Wanaobaki wanaona bora kukubali "amri kutoka juu" tu.

Mimi naweza kuwalaumu washauri kwa kuendelea kufanya kazi katika serikali ambayo inaonekana kutotaka kushauriwa, lakini siwezi kuwalaumu kwa kutotoa ushauri mzuri.

Mifano miwili ya haraka inayojulikana wazi ni Nape Nnauye na Lawrence Mafuru.

Kina Nape washatoa ushauri mzuri wametumbuliwa. Lawrence Mafuru kaondolewa hazina kwa sababu ya kushauri mambo ambayo yana tija, lakini rais hayataki. Ushauri wa Mafuru uliona kabisa kwamba mapendekezo aliyoyataka rais yataleta muanguko wa mzunguko wa fedha, akamuonya rais, rais akamtoa kazini Hazina kwa sababu hataki kuambiwa tofauti na anavyoona yeye, matokeo alichoonya Mafuru kimetokea kweli, mpaka Benki Kuu imeshusha riba kutoka asilimia 16 kwenda asilimia 9, na bado mzunguko wa fedha hauna afueni.

Sasa katika mazingira ambayo rais anafukuza kazi washauri wanaoshauri vizuri, utalaumu vipi washauri kwamba hawashauri vizuri?

Soma hii makala hapo chini. Imejaribu kuwa balanced sana na kuwa overly charitable to Magufuli katika ku equivocate mambo ili ku preserve journalistic integrity of looking at both sides of the coin and being fair to Magufuli, lakini hayo mambo yanayosemwa kwa lugha ya "huenda""inaonekana kama" rais hataki kuambiwa mambo tofauti na anavyotaka yeye, ni mambo ya kweli kabisa ambayo yapo.

Ukiona mpaka wazee wa siku nyingi kama Col. Mjengwa wanasema wazi kwamba Magufuli hasikilizi washauri wake, utawezaje kulaumu washauri kwamba hawamshauri vizuri?

Tanzania: Mixed Views On Mafuru Removal

Tanzania: Mixed Views On Mafuru Removal

By Deogratius Kamagi and Godfrey Kahango

Dar es Salaam/Mbeya — The removal of Mr Lawrence Mafuru from the powerful position of Treasury Registrar has prompted mixed views among analysts and politicians.

While others say the decision shows that President John Magufuli is sensitive to criticism and opinions that differ from his positions, others are of the view that people should not speculate on the move.

No reason has so far been given for the sacking of Mr Mafuru. A brief statement issued by State House on Wednesday evening said President John Magufuli had appointed Dr Oswald Mashindano to replace Mr Mafuru, who is to be assigned other duties.

Some analysts said yesterday that Mr Mafuru's removal could be a result of his outspokenness on various policy issues that seemed to "go against the grain," especially on the management of public finances.

Mr Mafuru was quoted recently saying it was not an offence for public institutions to open accounts with commercial banks.

The comments came after President Magufuli had repeatedly spoken against the depositing state funds in commercial banks, saying the government was at times being forced to borrow its own money from banks. A political analyst, who is also a member of the opposition Civil United Front, Mr Julius Mtatiro, told The Citizen that there was more to Mr Mafuru's removal than meets the eye.

"If difference in opinion between him and the appointing authority was the cause of tension then there was a need for him to explain to the President why he thinks he is right," he said.

However, he added that it was unlikely that Mr Mafuru was given an opportunity to explain his position. "It is unfortunate that our political leaders don't heed experts' professional advice."

Former CCM lawmaker Edmund Mjengwa said the impression that was being created was that Dr Magufuli does not need the advice of experts.

"President Magufuli is doing a wonderful job in building a new Tanzania, but the fact remains that he needs to value the advice of experts and his aides. He should also listen to ministers, permanent secretaries and even senior CCM officials," Colonel (rtd)

Mjengwa said. He added that he was aware that some of the President's aides feared they would be sacked if they said something that would not please their boss.

For his part, Kigoma Urban MP Zitto Kabwe said it was not wise to speculate on reasons behind the removal of Mr Mafuru, "who has done a commendable job in transforming the Treasury".

Mr Kabwe, a former chairman of the National Assembly's Public Accounts Committee, said Mr Mafuru was among the most patriotic civil servants he had worked with.

"If I'm asked to name the five most patriotic civil servants I have met and enjoyed working with, Mafuru will be one of them," said the ACT-Wazalendo chairman.

Mr Kabwe said he hoped that Dr Mashindano would continue the "good work" done by Mr Mafuru at the Treasury.

Former Kigoma South MP David Kafulila, said Mr Mafuru was a victim of the President's "immense" powers to hire and fire senior public officials.

"Granted, the President has constitutional powers to appoint and remove officials, but you cannot expect public officials to have peace of mind and deliver if things continue to be done in this manner."

Mr Kafulila added that it was within the Treasury registrar's authority to clarify statements made by the President.

Mr Mafuru holds a masters' degree in business administration from the University of Dar es Salaam and a certificate from the Chartered Institute of Banking in London.

Before joining the government as Director of Resource Mobilisation in the President Office (Presidential Delivery Bureau) he worked with various commercial banks in senior positions.

epigenetics Nyani Ngabu Consigliere Mjuni Lwambo
 
Kuna uwezekano wa 99% kwamba waliovamia clouds ndio waliofanya jaribio la kumuua Lissu. Siro alipewa u-IGP ili kikosi cha bashite kiweze kutekeleza matendo yake bila bugudha popote nchini. Amani ya nchi hii inaondolewa na bashite.
Kama mawazo yako ni sahh jpm alishindwa nn kumpa hata cheo kingine au hata kumwamisha mkoa?si mlisema kisa jamaa anatokea kanda ya ziwa?

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Huyu mtu hashauriki hata kwa sekunde moja. Ni one man show na anajiona yeye ndiye yeye hakuna mwingine ajuaye zaidi yake ndiyo sababu kukurupuka kila mara na kuingiza nchi kwenye matatizo chungu nzima.

Kawatisha kwa kuwatumbua hata kama hawajatenda kosa lolote lile! Kumbuka yaliyompata Nape dhidi ya kutimiza wajibu wake kama Waziri kufuatia uvamizi wa Clouds Studio.
Ndio hulka ya wasukuma...
We una jirani au workmate msukuma muangalie tabia zake...
Washamba..hawashauriki...wajuaji ht km hawajui
 
Kuna uwezekano wa 99% kwamba waliovamia clouds ndio waliofanya jaribio la kumuua Lissu. Siro alipewa u-IGP ili kikosi cha bashite kiweze kutekeleza matendo yake bila bugudha popote nchini. Amani ya nchi hii inaondolewa na bashite.
Ukweli.mchungu ila bashite anafanya mabaya kwa mgongo Wa pombe coz huwa hamkemei ila kumsifia tu

Wameona watanzania waoga wamenyamaza kijana nguvu ya taifa ben SAA nane amepotezwa sasa angalia wanachokifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhana moja kubwa na ambayo inaonekana kuwa potofu kutoka kwa muandishi, ni kwamba huyo Rais mwenyewe anashaurika.

Magufuli kwa ubabe wake wa wazi ule, kwa nini unafikiri anashaurika?

Kama rais anaweza kuwaita mawaziri aliowateua mwenyewe wapumbavu kwenye hotuba inayosikika wazi nchi nzima, hawa mawaziri akiwa nao kwenye mikutano ya ndani anawahandle vipi mpaka wapate confidence ya kumwambia mambo ya kweli asiyotaka kusikia?

Tunaweza kuwapa washauri lawama za bure, kumbe wakishauri vizuri wanatumbuliwa. Wanaobaki wanaona bora kukubali "amri kutoka juu" tu.

Mimi naweza kuwalaumu washauri kwa kuendelea kufanya kazi katika serikali ambayo inaonekana kutotaka kushauriwa, lakini siwezi kuwalaumu kwa kutotoa ushauri mzuri.

Mifano miwili ya haraka inayojulikana wazi ni Nape Nnauye na Lawrence Mafuru.

Kina Nape washatoa ushauri mzuri wametumbuliwa. Lawrence Mafuru kaondolewa hazina kwa sababu ya kushauri mambo ambayo yana tija, lakini rais hayataki. Ushauri wa Mafuru uliona kabisa kwamba mapendekezo aliyoyataka rais yataleta muanguko wa mzunguko wa fedha, akamuonya rais, rais akamtoa kazini Hazina kwa sababu hataki kuambiwa tofauti na anavyoona yeye, matokeo alichoonya Mafuru kimetokea kweli, mpaka Benki Kuu imeshusha riba kutoka asilimia 16 kwenda asilimia 9, na bado mzunguko wa fedha hauna afueni.

Sasa katika mazingira ambayo rais anafukuza kazi washauri wanaoshauri vizuri, utalaumu vipi washauri kwamba hawashauri vizuri?

Soma hii makala hapo chini. Imejaribu kuwa balanced sana na kuwa overly charitable to Magufuli katika ku equivocate mambo ili ku preserve journalistic integrity of looking at both sides of the coin and being fair to Magufuli, lakini hayo mambo yanayosemwa kwa lugha ya "huenda""inaonekana kama" rais hataki kuambiwa mambo tofauti na anavyotaka yeye, ni mambo ya kweli kabisa ambayo yapo.

Ukiona mpaka wazee wa sikunyingi kama Col. Mjengwa wanasema wazi kwamba Magufuli hasikilizi washauri wake, utawezaje kulaumuwashauri kwamba hawamshauri vizuri?

Tanzania: Mixed Views On Mafuru Removal

Tanzania: Mixed Views On Mafuru Removal

By Deogratius Kamagi and Godfrey Kahango

Dar es Salaam/Mbeya — The removal of Mr Lawrence Mafuru from the powerful position of Treasury Registrar has prompted mixed views among analysts and politicians.

While others say the decision shows that President John Magufuli is sensitive to criticism and opinions that differ from his positions, others are of the view that people should not speculate on the move.

No reason has so far been given for the sacking of Mr Mafuru. A brief statement issued by State House on Wednesday evening said President John Magufuli had appointed Dr Oswald Mashindano to replace Mr Mafuru, who is to be assigned other duties.

Some analysts said yesterday that Mr Mafuru's removal could be a result of his outspokenness on various policy issues that seemed to "go against the grain," especially on the management of public finances.

Mr Mafuru was quoted recently saying it was not an offence for public institutions to open accounts with commercial banks.

The comments came after President Magufuli had repeatedly spoken against the depositing state funds in commercial banks, saying the government was at times being forced to borrow its own money from banks. A political analyst, who is also a member of the opposition Civil United Front, Mr Julius Mtatiro, told The Citizen that there was more to Mr Mafuru's removal than meets the eye.

"If difference in opinion between him and the appointing authority was the cause of tension then there was a need for him to explain to the President why he thinks he is right," he said.

However, he added that it was unlikely that Mr Mafuru was given an opportunity to explain his position. "It is unfortunate that our political leaders don't heed experts' professional advice."

Former CCM lawmaker Edmund Mjengwa said the impression that was being created was that Dr Magufuli does not need the advice of experts.

"President Magufuli is doing a wonderful job in building a new Tanzania, but the fact remains that he needs to value the advice of experts and his aides. He should also listen to ministers, permanent secretaries and even senior CCM officials," Colonel (rtd)

Mjengwa said. He added that he was aware that some of the President's aides feared they would be sacked if they said something that would not please their boss.

For his part, Kigoma Urban MP Zitto Kabwe said it was not wise to speculate on reasons behind the removal of Mr Mafuru, "who has done a commendable job in transforming the Treasury".

Mr Kabwe, a former chairman of the National Assembly's Public Accounts Committee, said Mr Mafuru was among the most patriotic civil servants he had worked with.

"If I'm asked to name the five most patriotic civil servants I have met and enjoyed working with, Mafuru will be one of them," said the ACT-Wazalendo chairman.

Mr Kabwe said he hoped that Dr Mashindano would continue the "good work" done by Mr Mafuru at the Treasury.

Former Kigoma South MP David Kafulila, said Mr Mafuru was a victim of the President's "immense" powers to hire and fire senior public officials.

"Granted, the President has constitutional powers to appoint and remove officials, but you cannot expect public officials to have peace of mind and deliver if things continue to be done in this manner."

Mr Kafulila added that it was within the Treasury registrar's authority to clarify statements made by the President.

Mr Mafuru holds a masters' degree in business administration from the University of Dar es Salaam and a certificate from the Chartered Institute of Banking in London.

Before joining the government as Director of Resource Mobilisation in the President Office (Presidential Delivery Bureau) he worked with various commercial banks in senior positions.

epigenetics Nyani Ngabu Consigliere Mjuni Lwambo
Hili ni kosa lilifanyika na wote tumeona madhara yake. Ni vizuri basi tumuombe Mh Raisi aanze kuwasikiliza watu wanaomshauri vizuri ingawa wanatofautiana nae.
 
samahani kwa ku quote uzi wote.

jibi la yote ulioandika ni hili

SIPANGIWI,SIJARIBIWI WALA SITAJARIBIWA.
Kwa hali ya nchi inapoenda inabidi tumuombe awe anapokea ushauri hasa ule wa tofauti. Bado naamini ana muda wa kurekebisha haya.
 
Nawaambia hivi hata mama yake mzazi anajua tuko na kituko cha mwaka................ sisi la msingi ni kumwomba Mungu atupe uwezo wa kuweza kumpaki pembeni
Naamini bado ana muda wa kurekebisha dosari hizi. Tumuombe pia awaamini hata wale wanaomshauri tofauti.
 
Ndio hulka ya wasukuma...
We una jirani au workmate msukuma muangalie tabia zake...
Washamba..hawashauriki...wajuaji ht km hawajui
Ukabila si jambo zuri. Katika kila kabila kuna wasioshaurika na wengi tu wanaoshaurika.

Sijawahi kusikia malalamiko kwamba marehemu Mzee Paulo Bomani hakushaurika. Huyu Mzee wa Kisukuma anaheshimika nchini kwetu mpaka kesho kwa wanaoijua historia ya nchi hii.

Sijawahi kusikia malalamiko kwamba marehemu Jaji Mkuu wa zamani Francis Nyalali hashauriki.

Jaji Nyalali, kwangu, ni Jaji aliyeweka viwango vya juu kabisa vya ni jinsi gani Jaji Mkuu anatakiwa kuongoza nchi na kuiwekea breki serikali kuu. Mpaka leo nikisoma mapendekezo yake kufuta sheria 40 kandamizi, naona alikuwa mbele sana, kwani hizi sheria nyingine mpaka leo tunazo bado.

Tatizo si Wasukuma. Tatizo linaweza kuwa kwa mtu binafsi tuliyempata.

Wasukuma wangekuwa watu wa ovyo na hawaambiliki kile kipande cha mikoa ya kanda ya ziwa kingekuwa nchi tofauti.

Wangesema wao ndiyo kabila kubwa zaidi na wamenyang'anywa nchi yao tangu Enzi za Chief Makwaia.
 
mkuu una nia nzuri na nchi hii lakin n rais yupi unaemsemea haya yote..n huyu anatukaba mpaka watangulizi wake,n huyu asiyejua ata mambo ya kuzungumza mbele hadhara,n huyu aliye na nia njema na nchi kiuchumi lakin anitumia kusulubu asiowataka...jaribu kupitia siasa za kongo drc utajua
Tanzania inapoelekea tumefikia ka kiongozi ana Import mawazo nchi iendaje..ni swala la muda tu kwani kazi ya halmashauri kuu ya chama nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao washauri ndo hovyo kabsa, badala ya kumshauri rais, wao ndo wanashauriwa na rais.
 
Mshauri mkuu wa rais Magufuli ni John Pombe Joseph Magufuli naye anamsikiliza kwa 101%
Sidhani kuna mtu mwingine anaye weza mshauri chochote nje ya utashi wake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom