Me naona kama mwendazake amefufuka mzimu wake ndio unaongoza labda anamalizia kipindi chake maana yaliyokuwepo ndio yapo.
 
Habari ya sabasaba wanajamii!
Moja kwa moja kwenye mada. Kwa mambo aliyoyafanya mama kwa watumishi ndani ya muda mfupi mfano:
1. Kaanza kulipa malimbikizo ya muda mrefu...
Watumishi hawayasemi haya! Tunalalamika nao tu huku nje si ambao hatujaajiriwa..tunasema maisha yanapanda..mafuta ya kula yamepanda mafuta ya gar yamepanda mkaa pia umepanda..kumbe wenzetu wanakula nema kimyakimya?
 
RAIS SAMIA KABLA YA KUWA MWENYEKITI WA CCM
Namona Rais Samia yule ambae baada tu ya kuapishwa anaanza kuliongoza taifa katika njia ya maridhiano, upendo na kulifuta machozi taifa kwa waliokuwa wamesetwa na kubambikiwa kesi, kwa sababu tu hawakukubaliana na matakwa ya watawala.

Namuona Rais Samia yule anaemfikisha Sabaya mbele ya vyombo vya Sheria awajibike kwa makosa aliyowatendea raia wa nchi hii kwa matumizi mabaya ya madaraka.

Namuona Rais Samia yule anaetaka haki itamalaki katika taifa hili,Wana wa nchi bila kujari itikadi zao wanawekeza Imani kwake na kupata matumaini mapya. Namuona Rais Samia akisafisha nchi na matope ili ipate kung'aa Tena mbele ya ulimwengu.

RAIS SAMIA BAADA YA KUWA MWENYEKITI WA CCM.
Namuona Rais Samia anaeanza kuona chokochoko.
Namuona Rais Samia anasema katiba sio kipaumbele chake.
Namuona Rais Samia anaanza kuwaona magaidi kutoka miongoni mwa raia wa nchi yake.
Namuona Rais Samia anaichia nchi ichezee matope kwa Mara nyingine mbele ya ulimwengu.
Hapo Mimi ndio nachanganyikiwa hivi Kuna watu huwa wanachukua hatamu nyuma ya pazia pale tu wanapompachika umwenyekiti Rais wetu?
Kuna misemo mingi siku hizi kutoka kwa Wana wa nchi, wengine sio yeye wengine nchi iko kwenye auto pilot nk hii yote watu hawaamini Kama binadamu anaweza kuwa na tabia mbili zinazo pingana kwa wakati mmoja.
Ombi langu kwa CCM Acheni kuwapachika zigo la uenyekiti Marais wetu kwani hamna watu wengine huko wanao faa.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Ni ngumu sana kutenganisha hizi kofia mbili. Vinginevyo nchi itakuwa na watawala wawili tena wa chama ndiye atakiwa 'threat' zaidi kwa mwenzake.
 
MAMA SAMIA: ngoja nikupe mrejesho kutoka mitaani tunakoishi ... Huku mama hukubaliki kabisa kuanzia wazee, vijana na watu wazima umri wa kati , Wengi wanakuona huna msimamo , mnyonyaji na usiwe na uwezo wa kuongoza nchi ...sababu hasa tozo , bei ya mafuta , swala la korona na msimamo wako , safari zako ambazo watu hawaoni tija na pia wanahisi unasaidiwa kuongoza na kikwete hichi ndicho nilichosikia ...
 
Ukute Mamacsna nia njema waliomzunguka wanamtisha na kumuogopesha .....anashindwa kuwa kichwa kigumu ...anatamani kurudi 2025 ..hizo thawabu pia anazitaka amebakia njia panda nchi iko auto pilot...hajielewi anataka nini.....
 
Nichukue nafas hiyi kuipongeza serikali yetu pendwa ya mh rais wa awamu hiyi

Kwa kutufanya wananchi wake tuwe na faraja na amani ndani ya mioyo yetu

Kana kwamba ukipita mitaani asilimia kubwa ya wananchi wa tanzania sasa hivi wana amani na faraja

Hata ukiangalia humu kwenye mtandao wetu pendwa jamiiforums hasa kwenye hili jukwaa la siasa.

asilimia kubwa ya post au mada zake kwa chini yake utakutana na emoji za vicheko
hiyi
inadhihirisha wananchi kwenye

Awamu hiyi tunafuraha sana kitu ambacho utawala ule hakikuwepo humu pongez nyingi zikufikie mh rais

Hivi lile shirika la kutafiti nchi Zenye watu wenye furaha dunian awamu hiyi limekuja kweli tanzania, ??
 
Mara paa ndege.............mungu atakuwa ametusikia kilio chetu

a)imepotea angani
b)imeganda angani
c)imefeli injini
d)inakutana na talban angan
e)imefika salama


Jaza nafasi ilio wazi
 
Back
Top Bottom