Maoni- Serikali isitishe zoezi la uhakiki mabenki yanakosa mitaji na zitafilisika

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,939
WanaJf amani iwe kwenu.
Kutokana na mabenki mengi kusitisha mikopo kwa watumishi wa umma hii imeathiri mzunguuko wa fedha kwa maana kuna watumishi waliokopa fedha nyingi kabla ya zoezibla uhakiki kuanza na wengine wamekimbia na mikopo, aidha athari hizi zimekwenda mbali hadi kwa wajasiriamali waliokopa kukosa wateja wakuu ambao asilimia kubwa ni watumishi wa umma, maana kusitishwa mikopo kunazuia mzunguuko wa fedha, zoezi hili litaleta madhara makubwa mno kiuchumi baada ya taasisi za fedha kusita kutoa fedha kqa wateja watumishi hata wateja wakubwa nao wana wasiwasi na masoko yao ya biashara na biashara za kibenki kudorora
 
Watu hawapendi ujnga..Wajanja wanatoa hela za madafu wanakaa nazo nyumbani,washajua huko mbele kuna gizan.ngoja mambo yaendelee hivihivi ili tuone mwisho wake.
 
WanaJf amani iwe kwenu.
Kutokana na mabenki mengi kusitisha mikopo kwa watumishi wa umma hii imeathiri mzunguuko wa fedha kwa maana kuna watumishi waliokopa fedha nyingi kabla ya zoezibla uhakiki kuanza na wengine wamekimbia na mikopo, aidha athari hizi zimekwenda mbali hadi kwa wajasiriamali waliokopa kukosa wateja wakuu ambao asilimia kubwa ni watumishi wa umma, maana kusitishwa mikopo kunazuia mzunguuko wa fedha, zoezi hili litaleta madhara makubwa mno kiuchumi baada ya taasisi za fedha kusita kutoa fedha kqa wateja watumishi hata wateja wakubwa nao wana wasiwasi na masoko yao ya biashara na biashara za kibenki kudorora
Source??
 
Back
Top Bottom