Maoni mbalimbali ya wanasiasa juu ya Lawrence Masha kujivua uanachama wa CHADEMA

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
2,036
3,929
Baada ya jana Lawrence Masha kutangaza kujiondoa CHADEMA kwa sababu alizozisema kuwa anaona CHADEMA hawana nia ya kuchukua dola.

Rejea hapa; Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

Kumekuwa na maoni mbalimbali ya watu tofauti tofauti kutoka sehemu mbalimbali. Haya hapa maoni ya wanasiasa kutokea CHADEMA

heche.PNG


lema.PNG


Mashinji.PNG


mtatiro.PNG


nassari.PNG
 
Chadema ....wana akili saana.Na members wake ni wenye kakili na ni wasomi saana.Hii move out of chadema ya Mh.Masha ni very well calculated na nina kila sababu ya kuamini imepangwa na Rt Hon Katibu Mkuu wa Chadema Dr.Kashinji......huyu bwana ni mtu wa mipango saana na huwa 96% accurate.
Lakini hebu tusubiri,muda ndiyo utakaoamua.
 
Kila tunapokwenda kupigania chama huwa nipesa zetu nanguvu zetu hata mahal akija mboe tunachanga anakuja anafanya mikutano anaondoka kwapesa zetu mfkon sasa ruzuku huwazinaenda wap?ukiangalia kama arusha makao makuu yachama mkoa hakuna namna yakumpata kiongoz wa chadema hata wa wilaya hakuna ofc.kiongoz huyo utamuona kwenye mikutano2 ambayo ndohiyo tunachanga kuwawezesha waje wahutubie.swal lang lamsing hiz pesa huwa zinakwenda wap?
 
Kuna target km tatu ambazo alitarajia kuzipata cdm amezikosa ( wrong projections in strategic plan)

ya kwanza alikosea kufanya maamuzi akijua Lowassa atashinda uraisi hivyo angepata kitengo hili lilikula kwake negatively

pili ni uraisi wa TLS hii nafasi alikua anaitaka japo alijitoa lkn inaonyesha dhahiri alishinikizwa afanye hivyoo

mwisho ni kukosa post ya kuwa mmbunge mwakilishi kwenye bunge la Afrika mashariki baada ya kuhujumiwa na wabunge wa chama tawala, hii ilipelekea yy kujitafakari nakuona kuingia cdm ni km mkosi kwake bora angebaki ccm angepata nyadhifa mbalimbali

Japo ni mwanasheria na hana maisha ya kuunga km yetu ila ni nature ya binadam kutotosheka hadi siku ya kifo.
 
Sio ajali zote zinaua, nyingine zinaleta majeraha tu, nyingine ulemavu na nyingine watu wanatoka salama bila hata mchubuko....
Fanyieni kazi mawazo ya Masha huko arusha Moriet Laigwanan Lowasa kasema 2020 atashinda sasa sjui kapitishwa na kikao gani au ndo kishamiliki chama?
 
Back
Top Bottom