Maoni mbalimbali ya wanasiasa juu ya Lawrence Masha kujivua uanachama wa CHADEMA

CHADEMA ni chama cha watu siyo kama chama kile ambacho mmebaki na minung'guniko mioyoni huku mkiwa kwenye maumivu makali kwa katiba yenu mbovu
Unafurahisha Wapuuzi wewe!
Chama cha watu!
watu gani
Mbowe na gengelake labda
hapo ulipo hujui hata nini Agenda ya Chama
malengo ya chama
chama kina simamia Sera ipi!!
Mipango ya chama
utaratibu wa chama ni upi hujui!!
Ruzuku ya chama hujui wapi inaenda!!

Unaropoka Cdm nichama cha watu!!
labda misukule
 
Inahitajika hekima ya hali ya juu kujadili yaliyofanywa na mwingine. Masha ameamua kuondoka Chadema, ni halali yake kama ambavyo aliamua kuhama CCM. Siasa ya sasa siyo kama ya zamani. Nyakati zimabadilika ila vyama vyetu vimegoma kubadilika. Kwa nchi ambazo zimeendelea agenda yao ya kwanza ni uchumi na kuboresha maisha ya watu, kupambana na umaskini kwa watu watu. Ila siasa zetu zimekuwa kuwazia kushika dola kwa mbinu zozote zile zikiwemo uongo. Mazingira yamebadilka jamani tubadilike, asiyeweza akae pembeni awe mtazamaji.
 
Marsha ametumia haki yake ya kikatiba! Ila tatizo ameamua kunyea kambi (kwa kudharau chadema na upinzani kwa ujumla eti hazina nia ya kushika dola! kweli?) akifikiri kwa kuisemea ovyo atavutia uteuzi upande wa pili! Upande ule anahesabiwa kwenye kundi la ng'ombe aliyekatwa mkia! Anatia huruma!
 
Unafurahisha Wapuuzi wewe!
Chama cha watu!
watu gani
Mbowe na gengelake labda
hapo ulipo hujui hata nini Agenda ya Chama
malengo ya chama
chama kina simamia Sera ipi!!
Mipango ya chama
utaratibu wa chama ni upi hujui!!
Ruzuku ya chama hujui wapi inaenda!!

Unaropoka Cdm nichama cha watu!!
labda misukule
Hauna hata heshma ya Kujibiwa
 
majebere: Masha aliandaliwa cheo na Chadema cha kuwa mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, CCM wakamkwamisha bungeni. Sasa ninyi CCM kama mlikuwa na nia njema naye si mngemwacha awe mbunge wa hilo bunge? Masha anaona hao waliomkwamisha ndio wazuri. Ni demokrasia hiyo ila asitoe sababu zisizo na mashiko. Kumbuka Masha ofisi yao ya uwakili ilipigwa mabomu. Naona ameona isiwe tabu, aungane nao tu kuwasulubu wengine. Nashauri akitaka apate cheo inabidi afanye kituko kikubwa kama vile kutoa rushwa hapo atapandishwa cheo. Ukitaka cheo ndani ya hicho chama sharti uwe mtuhumiwa wa uhalifu fulani kama vile kuwapigisha push up na kuwasweka mahabusu walimu, kuhonga madiwani wa upinzani, kujihusisha na rushwa, n.k
 
Kama hakuna kuteuliwa huko Sumaye na Lowasa wamepataje ujumbe wa kamati kuu?
Avatar yako hahaha
46444.jpg
 
Fanyieni kazi mawazo ya Masha huko arusha Moriet Laigwanan Lowasa kasema 2020 atashinda sasa sjui kapitishwa na kikao gani au ndo kishamiliki chama?
Ana nafasi ya kugombea mara mbili lkn kama kutakua na sababu ya kuwekwa pembeni hapo badae kutakua na mchakato nia ni ushindi na sio na atakua nani badae ccm mwenyekiti mbona nae kasema 2020 alipitiswa na nani au kisa kashajiwahi nadhani alijua akapitisha taratibu kupita muhura wa pili bila kupingwa usiangalie mwenzio anachezaje angalia we unachezaje
 
Marsha Yuko soft sana,amekulia maisha ya kupewa tu ligi imekuwa ngumu kachemka..
Anauvizia ukuu wa Mkoa labda

OvA
 
Ama kwa hakika chadema haitakuja kushika dola, vinginevyo wabadili dhana/mtizamo/falsafa ya chama chao. waoneshe ni kipi hasa kama chama, wanachotaka/lenga kukisimamia.
ukisoma maoni ya mtatiro pamoja na lema, wote wamejikita kuonesha ugumu uliopo ktk kupigania uhuru, haki na demokrasia, kwamba inahitaji muda mrefu sana, na kujitoa kweli kweli.
Lakini najaribu kuwaza tu kwamba, haya ndiyo malengo hasa ya chadema ambayo wameji `commit' kuyasimamia? mbona miaka miwili iliyopita hawakuwa na hizi ajenda? zile ajenda zao za msingi kuhusiana na masuala ya rushwa, ufisadi na ubadhirifu walizokuwa nazo miaka yote hiyo zimekwenda wapi?
Hapa ndipo nakuja kuuona ugumu wa chadema kushika dola, kwa sababu ya kutegemea aina ya mtawala aliyepo madarakani, ndipo wapate hoja za kupeleka kwa watu, lakini wao wenyewe hawana falsafa wanayoisimamia miaka yote.
Masha kachelewa sana kuliona hilo.
 
Ni mwendawazimu kama wewe wanaoweza kuamini kuwa chama cha siasa kinaweza milikiwa na mtu mmoja ..
Wewe mbwiga ukiondoa CCM na NCCR mageuzi vyama vingine vilivyobaki ni mali binafsi za watu, hata prof Kitila anaielewa hii vizuri. Chadema kwa sasa inamilikiwa na Mtei pekee baada ya mbia mwenzie Bob Makani kutangulia mbele za haki. Mtei anaweza kumuuzia Chadema mtu yeyote na nyie mkiwa humo ndani kama Simba SC!!
 
Hakuna maoni sababu yule ni sawa na mwanachama wa kawaida ni haki yake kikatiba
 
Joshua Nassari‏ @joshua_nassari




Tunaojua sababu za Masha kutoka CDM zile kwenye barua yake tunajua ni danganya toto, tunajua sababu na tunaziheshimu.Kuthibitisha kuwa CDM imejipanga kuingia ikulu,angalia takwimu za ushindi wa madiwani na wabunge nchini kuanzia 1995 hadi sasa.Ikulu ni suala la muda,tena si mref.


8:09 PM - 14 Nov 2017
 
Ama kwa hakika chadema haitakuja kushika dola, vinginevyo wabadili dhana/mtizamo/falsafa ya chama chao. waoneshe ni kipi hasa kama chama, wanachotaka/lenga kukisimamia.
ukisoma maoni ya mtatiro pamoja na lema, wote wamejikita kuonesha ugumu uliopo ktk kupigania uhuru, haki na demokrasia, kwamba inahitaji muda mrefu sana, na kujitoa kweli kweli.
Lakini najaribu kuwaza tu kwamba, haya ndiyo malengo hasa ya chadema ambayo wameji `commit' kuyasimamia? mbona miaka miwili iliyopita hawakuwa na hizi ajenda? zile ajenda zao za msingi kuhusiana na masuala ya rushwa, ufisadi na ubadhirifu walizokuwa nazo miaka yote hiyo zimekwenda wapi?
Hapa ndipo nakuja kuuona ugumu wa chadema kushika dola, kwa sababu ya kutegemea aina ya mtawala aliyepo madarakani, ndipo wapate hoja za kupeleka kwa watu, lakini wao wenyewe hawana falsafa wanayoisimamia miaka yote.
Masha kachelewa sana kuliona hilo.
2050 ndipo upinzani utashika dola.waliowengi hawaelewi maana ya siasa ,demokrasia,katiba .Hawafahamu hivi vitu vinaeffect gani katika maisha halisi tunayoyaishi.
Sana ni Ushabiki tu,na wanaoelewa hata robo haifikii idadi ya wasioelewa.
Time will make decision.Tuendelee kuwa tunapiga story Siku zisogee
 
Back
Top Bottom