Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
WANAJF,
Nimekuwa naangali haliinayoendelea katika ziara ya Waziri Mkuu wa India, hapa Tanzania. Nimegundua tumekosa wafasiri wa Lugha. Yaani baada ya Rais kuongea kwa Kiswahili, anasimama mama mwingine kutoa hotuba nyingine ya Kiingereza. Hii inapoteza muda na kupunguza dhamira ya hotuba ya rais. Rais anatakiwa hotuba yake imfikie moja kwa moja mgeni wake kwa Kutumia Mfasiri si hivyo.
Tunahitaji watalaam na vifaa vya kufanyia hii tasinia. Tukitaka tubadilike lazima tuwekeze katika eneo kubwa zaidi na kutumia watalaam wetu zaidi.
Nimetembelea baadhi ya nchi ambazo hata idara zinakuwa na watalaam wa lugha karibu zetu. hii huongeza wigo wa ajira hata utalii.
Kwa maana moja au nyingine. Idara hizi hutumia kila kinochowezekana kufanya tours za kuwatembeza hawa watu na kuwapa utajiri wa taifa.