Maoni: Kutokana na ongezeku kubwa la walimu walioko mtaani, napendependekeze udahili wa idadi ya walimu wanaojiunga kusomea ualimu upunguzwe.

Mm nashauri coz ambazo hazina soko ziachwe tu but waache kuwapa mikopo wanafunzi wanao opt hizo course

Waongeze kutoa mikopo kwa wanafunzi wanaosoma elimu ya kati hasa coz za ufundi kutoka veta,DIT and all technical collage

Unaweza ukashangaa watakao maliza form six this year 2022 wataomba kwenda kusoma course za elimu,fine arts,community dvpt and etc

Tatizo hata mashuleni elimu haiko ya kutosha kuhusiana na masomo ya elimu juu.
Unakuta mtu mpaka anamaliza kidato cha sita haelewi akasomee nini. Ni huzuni
 
Back
Top Bottom