Elections 2010 Maoni kuhusu nani atakuwa rais wa zanzibar katika website ya mwananchi

Joss

JF-Expert Member
May 28, 2009
765
191
Piga Kura
Ingia

Nani atakuwa Rais wa awamu ya sita Zanzibar?
Dk Ali Mohamed Shein
Mohamed Gharib Bilal
Ali Juma Shamhuna
Shamsi Vuai Nahodha
Ali Abeid Amani Karume
Mohamed Aboud Mohamed
Hamad Bakari Mshindo
Maalim Haroun Ali Suleiman
Mohammed Yussuf Mshamba
Omar Sheha Mussa




Hayo ndiyo majina pekee ambayo yamewekwa ingawa wagombea wenyewe bado hawajapitishwa na chama chao.Iweje jina la Maalim Seif lisiwekwe ambapo yeye tayari ameshapitishwa na chama chake kama mgombea urais?!!Mimi ninavyojua vyombo vya habari vinatakiwa kuwa huru na vinatakiwa kudumisha demokrasia.Je kwa kutuweke majina ya wanaccm pekee,wanamaanisha nini?

Nimetuma barua pepe kwa mhariri kumueleza juu ya kasoro hiyo lakini hajafanyia kazi?

Wenzangu mnalionaje suala hili?
 
Hapo inamaanisha hao walioanikwa wote sio kwa maana hiyo hakuna ,safari hii Zanzibar anachukua CUF wenyewe wanasema safari hii

Ushindi wa CUF utakuwa kwa vikapu.
 
Back
Top Bottom