mdhalendo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 282
- 273
Wadau siku hizi kumekuwa na redio nyingi sana na zina vipindi tofauti tofauti. Leo ningependa nipate maoni yenu ni kipi kipindi bora cha jioni kati ya
JAHAZI cha Gadner na Kibonde Clouds Fm.
SUNDOWNER cha Musa Kipanya na Moses Mutente cha Magic Fm
MASKANI cha TimesFm
UBAONI cha EFM
Mimi binafsi huwa nafurahishwa zaidi na SUNDOWNER ya MagicFm kwasababu jamaa huwa wana info za kutosha na wanazichambua vizuri tofauti na watangazaji wengine wenye blahblah nyingi. Leta maoni yako pia