MAONI: Kijana wa Kitanzania, Ungependa kulitumikia Taifa katika sekta ipi?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Nchini China kati ya vijana 32,000 waliohojiwa, vijana 23,09 walisema wangependa kuwa wafanyabiashara na wenyekumiliki viwanda na makampuni makubwa,

Marekani vijana 41,112 waliohojiwa, vijana 28,932 wanapenda na wanaona fahari kujiunga na Jeshi la nchi hiyo na kupelekwa kwenye vita nchi za nje,

Uingereza vijana 12,322 waliohojiwa, vijana 6,821 wanasema wangependa kujiunga na jeshi la nchi hiyo.

Urusi vijana 31,232 waliohojiwa, vijana 19,896 wanapenda kujiunga na shirika la ujasusi la nchi hiyo KGB

Swali:

Je vijana watanzania hasa wewe mwana jf ungependa kulitumikia Taifa katika sekta ipi?

Utafiti wangu wa kuzungumza na vijana karibu 30 unanyesha vijana wengi wasomi wangependa kuajiriwa Benki na TRA.

Wachache wanapenda kuajiriwa na Taasisi ya Usalama wa Taifa.

Endelea kujieleza kijana, maoni yako ni muhimu.

NB

MODS itapendeza kama mtaiweka iwe thread maalumu, lengo kujua mtazamo wa vijana wakitz upo wapi ktk kulitumikia taifa!
 
Hapa nilipo mim ni mwalim,natumia nafas hii kuwasaidia vijana wapate elim,ila kwa siku zijazo nadhan ntajikita zaid kuwapa sapot watu wa vijijin ambao wametelekezwa,,,,,,
 
Moja ya kazi nayoifanya ni kuwapa elim watoto wa shule elim ya kujikinga na matumiz ya MADAWA YA KULEVYA,tukianzia huko tutafanikiwa kupunguza mateja
 
Mkulima wa matunda...
Besides dat, professionally ningependa kuchangia katika ulimwengu wa teknolojia.
 
Ninapenda kulitumikia taifa langu la Tanzania Kama "Mtafiti wa masuala ya kijamii ( Sociologist)". Kufanya research na kuibua matatizo ya kijamii na kupendekeza suluhisho. Kama Emile Durkheim Lol.
 
Ninapenda kulitumikia taifa langu la Tanzania Kama "Mtafiti wa masuala ya kijamii ( Sociologist)". Kufanya research na kuibua matatizo ya kijamii na kupendekeza suluhisho. Kama Emile Durkheim Lol.

Inapendeza sana kwakweli, nikutakie kazi njema rafiki
 
Back
Top Bottom