Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,270
Nchini China kati ya vijana 32,000 waliohojiwa, vijana 23,09 walisema wangependa kuwa wafanyabiashara na wenyekumiliki viwanda na makampuni makubwa,
Marekani vijana 41,112 waliohojiwa, vijana 28,932 wanapenda na wanaona fahari kujiunga na Jeshi la nchi hiyo na kupelekwa kwenye vita nchi za nje,
Uingereza vijana 12,322 waliohojiwa, vijana 6,821 wanasema wangependa kujiunga na jeshi la nchi hiyo.
Urusi vijana 31,232 waliohojiwa, vijana 19,896 wanapenda kujiunga na shirika la ujasusi la nchi hiyo KGB
Swali:
Je vijana watanzania hasa wewe mwana jf ungependa kulitumikia Taifa katika sekta ipi?
Utafiti wangu wa kuzungumza na vijana karibu 30 unanyesha vijana wengi wasomi wangependa kuajiriwa Benki na TRA.
Wachache wanapenda kuajiriwa na Taasisi ya Usalama wa Taifa.
Endelea kujieleza kijana, maoni yako ni muhimu.
NB
MODS itapendeza kama mtaiweka iwe thread maalumu, lengo kujua mtazamo wa vijana wakitz upo wapi ktk kulitumikia taifa!