Maoni katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maoni katiba mpya

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by ludende, Jun 19, 2012.

 1. l

  ludende Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kutokana na viongozi wetu tulio wachagua,kugawa mda wao wa kuongoza katika vipindi viwili kamaifuatavyo.
  1.kipindi cha kupumzika,kusherekea na kujipongeza kwa ushindi alio upata kipindi cha uchaguzi.Hiki kipindi huchukua takribani miaka minne tangu ufanyike uchaguzi na kushinda,viongozi hawa huhamia Dar es salaam na kuwaacha wananchi kuwa katika hali mbaya na wanakuwa sio wasikivu hiki kipindi na hutumia mda mwingi kusinzia bungeni,bora anayesinzia kuliko mmbunge wa ccm aliyetukana matusi jana bungeni kwa kuiona bajeti mmbadala ni ya kipuuzi na viongozi wa bunge kumchekelea na mawaziri kumpongeza kwa ujinga na matusi yake.
  2.Kipindi cha kuonekana kama yupo sasa kwa wapiga kura,na kipindi hiki viongozi wengi huhamia majimboni kwao na wanajifanya wanaguswa na kero za wananchi,kwa mfano mh.lusinde kipindi cha uchaguzi ataongea lugha nzuri za kibinadamu iliapewe ubunge tena.MAONI YANGU KWENYE KATIBA MPYA VIONGOZI WANAMNA HIYO ,WANANCHI WAWE NA UWEZO WAKUWATIMUA HATA KABLA YA MIAKA MITANO KUISHA ILIKUONGEZA UFANISI KATIKA UWAKILISHI TULIO MTUMA
   
Loading...