Maoni: Ili kupunguza idadi ya mashoga na majambazi tuhakikishe watoto wananyonyeshwa maziwa ya mama kwa miezi 6

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,276
21,395
Huenda maoni yangu yakaonekana ya ajabu;

Tafti zinaonesha mtoto mchanga akinyonyeshwa ipasavyo maziwa ya mama kwa angalau miezi sita, mwili na ubongo wa mtoto unakuwa katika hali salama na afya zaidi kuliko mtoto asonyonyeshwa!
Ninaposema kunyonya, ninamaanisha mtoto akamate ziwa yeye mwenyewe alinyonyeeeeh hadi aliteme mwenyewe!
Ninaposema kunyonya, sina maana ya mama amkamulie maziwa kwenye chupa HAPANA!
Ninaposema kunyonya, namaanisha ile contact ya mtoto kwa mama, maziwa yanatakiwa kutoka kwenye titi direct hadi kwenye kinywa cha mtoto yakiwa na joto lilelike, na ubora uleule!

Nitaweka mfano ili muelewe; Mechanism ya maziwa, haina tofauti sana na mechanism ya manii (sperm), Tendo la kujamiiana face to face ndiyo huzalisha kitu salama zaidi kuliko ile ya kumimina sperm kwenye chupa!

Mtoto asiyenyonya maziwa ya mama kinga ya afya yake huwa dhaifu ukilinganisha na anaenyonyeshwa.

Maziwa ya ng'ombe pia yanatajwa kuchangia watoto wasiokuwa na nidham kutokana na watoto hao kuaksi tabia za ng'ombe ikiwemo ukahaba na ukorofi

Saikolojia inachimba zaidi na kugundua watoto wasonyonya, baadhi ya mishipa kwenye ubongo huwa narrow; jambo ambalo hupelekea yafuatayo;
  • Mtoto akikuwa anakuwa hana uvumilivu (short tampered emotional)
  • mtoto anakuwa hana uvumilivu wa shida/changamoto (tolerance)
  • Tabia ya kujikomba au kujipendekeza inakuwa kubwa sana tofauti na watoto wanaonyonya
  • Hawahudhunishwi na mambo ya kikatili
  • Hawana aibu
  • wanapenda visasi n.k
Hivyo basi kutokana tabia tajwa hapo juu, watoto wanakuwa katika hatari zaidi ya kujihusishwa na ukahaba,umalaya na ujambazi

Tuwanyonyeshe watoto wetu kulikomboa taifa dhidi ushoga na ujambazi!!
 
Ulifanya utafiti ukagundua majambazi na mashoga hawakunyonya maziwa ya mama zao miezi sita.
 
Wanyonywaji Wanaogoga Nyonyo kua Ndala.. Na wakubwa Wenzake Watakosa Pa kunyonya
 
Mkuu inaonekana una concept nzuri na ungeiweka vizuri kwa maneno yaliyoshiba nadhan ingekuwa na mashiko, nimesoma ila sijapata connection kati ya ujambazi na ushoga na ishu nzima ya kunyonyesha. Ongezea nyama boss
 
Aongeze nyama gani sasa??? Hakuna mahusiano yoyote hapo
 
okay ngoja niongeze nyama
 
Aongeze nyama gani sasa??? Hakuna mahusiano yoyote hapo
wenzako wamefanya tafti wakabaini hivyo baada mashoga/majambazi kufuatiliwa historian zao kwa wazazi wao tangu wazaliwe wengi waligundulika hawakunyonyeshwa
 
Huenda maoni yangu yakaonekana ya ajabu;

Tafti zinaonesha mtoto mchanga akinyonyeshwa ipasavyo maziwa ya mama kwa angalau miezi sita, mwili na ubongo wa mtoto unakuwa katika hali salama na afya zaidi kuliko mtoto asonyonyeshwa!
Ninaposema kunyonya, ninamaanisha mtoto akamate ziwa yeye mwenyewe alinyonyeeeeh hadi aliteme mwenyewe!
Ninaposema kunyonya, sina maana ya mama amkamulie maziwa kwenye chupa HAPANA!
Ninaposema kunyonya, namaanisha ile contact ya mtoto kwa mama, maziwa yanatakiwa kutoka kwenye titi direct hadi kwenye kinywa cha mtoto yakiwa na joto lilelike, na ubora uleule!

Nitaweka mfano ili muelewe; Mechanism ya maziwa, haina tofauti sana na mechanism ya manii (sperm), Tendo la kujamiiana face to face ndiyo huzalisha kitu salama zaidi kuliko ile ya kumimina sperm kwenye chupa!

Mtoto asiyenyonya maziwa ya mama kinga ya afya yake huwa dhaifu ukilinganisha na anaenyonyeshwa.

Maziwa ya ng'ombe pia yanatajwa kuchangia watoto wasiokuwa na nidham kutokana na watoto hao kuaksi tabia za ng'ombe ikiwemo ukahaba na ukorofi

Saikolojia inachimba zaidi na kugundua watoto wasonyonya, baadhi ya mishipa kwenye ubongo huwa narrow; jambo ambalo hupelekea yafuatayo;
  • Mtoto akikuwa anakuwa hana uvumilivu (short tampered emotional)
  • mtoto anakuwa hana uvumilivu wa shida/changamoto (tolerance)
  • Tabia ya kujikomba au kujipendekeza inakuwa kubwa sana tofauti na watoto wanaonyonya
  • Hawahudhunishwi na mambo ya kikatili
  • Hawana aibu
  • wanapenda visasi n.k
Hivyo basi kutokana tabia tajwa hapo juu, watoto wanakuwa katika hatari zaidi ya kujihusishwa na ukahaba,umalaya na ujambazi

Tuwanyonyeshe watoto wetu kulikomboa taifa dhidi ushoga na ujambazi!!
Walah nakubaliana na wewe na mfano upo hapa hapa Kuna watu hawakubali hili na watakosa uvumilivu uliousema na kukudhihaki hahahahah mashoga bwana.....
 
Mtoto akikuwa anakuwa hana uvumilivu (short tampered emotional)
* mtoto anakuwa hana uvumilivu wa shida/changamoto (tolerance)
* Tabia ya kujikomba au kujipendekeza inakuwa kubwa sana tofauti na watoto wanaonyonya
* Hawahudhunishwi na mambo ya kikatili
* Hawana aibu
* wanapenda visasi n.k

Sifa hizi kama za viongozi wa sasa duniani. Walinyonyeshwa na ng'ombe nini?
 
Ila haya maswala ya kina mama sijui kunyonyesha nadhani ungewaachia wanawake,unless mleta mada ni mama aliejufungua na sasa ananyonyesha
 
Huenda maoni yangu yakaonekana ya ajabu;

Tafti zinaonesha mtoto mchanga akinyonyeshwa ipasavyo maziwa ya mama kwa angalau miezi sita, mwili na ubongo wa mtoto unakuwa katika hali salama na afya zaidi kuliko mtoto asonyonyeshwa!
Ninaposema kunyonya, ninamaanisha mtoto akamate ziwa yeye mwenyewe alinyonyeeeeh hadi aliteme mwenyewe!
Ninaposema kunyonya, sina maana ya mama amkamulie maziwa kwenye chupa HAPANA!
Ninaposema kunyonya, namaanisha ile contact ya mtoto kwa mama, maziwa yanatakiwa kutoka kwenye titi direct hadi kwenye kinywa cha mtoto yakiwa na joto lilelike, na ubora uleule!

Nitaweka mfano ili muelewe; Mechanism ya maziwa, haina tofauti sana na mechanism ya manii (sperm), Tendo la kujamiiana face to face ndiyo huzalisha kitu salama zaidi kuliko ile ya kumimina sperm kwenye chupa!

Mtoto asiyenyonya maziwa ya mama kinga ya afya yake huwa dhaifu ukilinganisha na anaenyonyeshwa.

Maziwa ya ng'ombe pia yanatajwa kuchangia watoto wasiokuwa na nidham kutokana na watoto hao kuaksi tabia za ng'ombe ikiwemo ukahaba na ukorofi

Saikolojia inachimba zaidi na kugundua watoto wasonyonya, baadhi ya mishipa kwenye ubongo huwa narrow; jambo ambalo hupelekea yafuatayo;
  • Mtoto akikuwa anakuwa hana uvumilivu (short tampered emotional)
  • mtoto anakuwa hana uvumilivu wa shida/changamoto (tolerance)
  • Tabia ya kujikomba au kujipendekeza inakuwa kubwa sana tofauti na watoto wanaonyonya
  • Hawahudhunishwi na mambo ya kikatili
  • Hawana aibu
  • wanapenda visasi n.k
Hivyo basi kutokana tabia tajwa hapo juu, watoto wanakuwa katika hatari zaidi ya kujihusishwa na ukahaba,umalaya na ujambazi

Tuwanyonyeshe watoto wetu kulikomboa taifa dhidi ushoga na ujambazi!!
Tunaomba Research papers/References/Literature Review uliyofanya hadi kuja na andiko hili
 
Back
Top Bottom