Mkuu ungeelewa kwanza! chanzo cha topic.Wewe ndiye umekuwa msemaji wa Pasco?
Wanabodi, mimi nilidhani Lissu hatarejeaPascal Mayalla "Kwa maoni yangu, kwenye kambi nzima ya upinzani Tanzania, tuna watu wawili tu ndio wenye uwezo, wa ability na capabilities za kumkabili JPM na aka feel the heat ya uchaguzi. Hawa ni Zitto Zuberi Kabwe na Tundu Lissu." Mwisho wa kunukuu.
Ni juu yao kufanyia kazi, maana ndio ukweli wenyewe.
Final UpdateWanabodi,
Hili ni bandiko la swali, "Kwa Mliomsikia Tundu Lissu Kwenye Hard Talk, Jee Unadhani Atarejea Nchini?. Mimi kwa upande wangu, I seriously doubt kama atarejea, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa mwenye uthubutu na ushujaa mkubwa kuliko hata ushujaa wa Nelson Mandela!.
Nimesema hivyo kwa sababu nimemsiliza kwa makini Tundu Lissu, him being a Lawyer, kwa yale aliyoyasema, kwa tuhuma alizoshusha bila ushahidi, I seriously doubt if Tundu Lissu will ever return home during this era, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa kuliko Nelson Mandela.
Hongera zake.
Paskali
Wewe Ngosha unautani na CCM ama ..... Nafikiri hata ile nia kule awe ilikuwa ni sehemu ya utani wa Kisukuma. Kwa wanaCCM, Lissu ni NIGHTMARE .....!!Wanabodi, mimi nilidhani Lissu hatarejea
Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!
Final Update
Tundu Lissu leo amerejea nyumbani Tanzania, hivyo naomba kuthibitisha humu kuwa Tundu Lissu ni Jasiri na Shujaa Kuliko Nelson Mandela.
Hivyo sasa, kufuatia kurejea huku, ule ushauri wangu nilioutoa kwake kabla hajashambuliwa, sasa utekelezwe.
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!
Shujaa Kamanda Tundu Lissu, karibu nyumbani.
Mungu ni mwema amekutendea muujiza, hivyo endelea kutimiza ndoto yako, Mungu aliyekuponya ni Mungu mwenye uwezo, anaweza kabisa kulifanya "Jiwe Walilolikataa Waashi, Likafanywa Jiwe Kuu la Pembeni"
I wish him all the best.
Paskali
Pascall umekuja kwa ID nyingine.Pascal Mayalla "Kwa maoni yangu, kwenye kambi nzima ya upinzani Tanzania, tuna watu wawili tu ndio wenye uwezo, wa ability na capabilities za kumkabili JPM na aka feel the heat ya uchaguzi. Hawa ni Zitto Zuberi Kabwe na Tundu Lissu." Mwisho wa kunukuu.
Ni juu yao kufanyia kazi, maana ndio ukweli wenyewe.
Kazi anayo,ngoja tuone..Wanabodi, mimi nilidhani Lissu hatarejea
Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!
Final Update
Tundu Lissu leo amerejea nyumbani Tanzania, hivyo naomba kuthibitisha humu kuwa Tundu Lissu ni Jasiri na Shujaa Kuliko Nelson Mandela.
Hivyo sasa, kufuatia kurejea huku, ule ushauri wangu nilioutoa kwake kabla hajashambuliwa, sasa utekelezwe.
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!
Shujaa Kamanda Tundu Lissu, karibu nyumbani.
Mungu ni mwema amekutendea muujiza, hivyo endelea kutimiza ndoto yako, Mungu aliyekuponya ni Mungu mwenye uwezo, anaweza kabisa kulifanya "Jiwe Walilolikataa Waashi, Likafanywa Jiwe Kuu la Pembeni"
I wish him all the best.
Paskali
Sababu ya dola au???Haaaa, sio kwa mwaka huu 2020. Labda mwaka huu amajinadi kwa matayarisha ya uchaguzi wa 2025. Kwa mwaka huu Tundu Lissu - sisimizi, John Pombe Magufuli - Tembo.
Labda , mimi nionavyo. Uonavyo wewe sema, haya ni maoni ya sisi wapiga kura kufuatana na hali ya kisiasa tunavyo iona.Sababu ya dola au???
We Mayalla july 2020 tarehe ya bandiko lako ndio usiku ukigombea kura za maoni ukaoata kura moja. Tar kama hii ndio ulibandika bandiko lako😅😅Kama kawaida yangu, kwenye kila mijadala yenye kuhusisha maoni ya kisiasa, mimi hupenda kuanza kwa declaration of interest kuwa mimi sina chama, sina kambi na sina upande, kwangu ni maslahi ya taifa mbele.
Naunga mkono hoja. Lissu yuko Level ya mita 1000 mbeleKumlinganisha Magufuli na TL ni kumdhalilisha TL na kumshusha sana.
Magufuli siyo presidential kabisa. Si kwa aura, intellect au uwezo wa kushawishi akili kubwa.
Magufuli ana sifa zote za dikteta. Maana udikteta nayo ni aina ya uongozi. Huhitaji kuwa na akili kubwa au uwezo wa uongozi kuwa dikteta. Unahitaji kujizungushia kundi kubwa la wapambe wajinga, wezi, waongo, na wenye uwezo mkubwa wa kukusifia ili kukufanya usijione ulivyo empty kichwani.
Kwa sifa hizo ni kweli TL hafui dafu kwa Magufuli. Maana miaka mtano iliyopita watanzania wameelewa maana ya kuwa chini ya Rais mwenye kuongoza kwa mihemuko ya kichwa bila kuushirikisha moyo.
Hakika watanzania hawwtasahau!
Mkuu Waberoya, maadam sasa ni Lissu kapitishwa Chadema, jee akipitishwa na NEC, ndie atakuwa rais?.Akipitishwa CHADEMA atakuwa Rais!!!
Ila hawezi kamwe kupitishwa