Maoni: Halima Mdee na wenzake wajiuzulu ubunge kuungana na CHADEMA kumpigania Mbowe

Wadau nawasalimu,

Nichukuwa nafasi hii kuwashauri japo sio lazima kuufuata ushauri wangu Wabunge 19 waliofukuzwa Chadema yaani Halima Mdee na wenzake.

Naamini wao binafsi wanaujua ukweli uliowafikisha bungeni ulivyoratibiwa na Magufuli, Tume ya Uchaguzi na bunge na sio chama chao lengo likiwa kukiua chama chao walichokijenga kwa jasho na damu.

Leo kiongozi wao Mh. Mbowe kakamatwa na kabambikiziwa kesi ya ugaidi na hao hao waliowapeleka bungeni

Nawashauri kama kweli mna dhamira ya dhati ndani ya mioyo yenu juu ya Chadema basi ni wakati huu sasa wa kuungana na wanachama wenzenu kumpigania kiongozi wenu mkuu Mh. Mbowe ktk kesi inayomkabili.

Mnachotakuwa kukifanya ni kujiuzulu ubunge wenu naamini wanachama wa Chadema watawapokea kwa vifijo na nderemo na kuwasamehe ili muungane kumpigania kiongozi wenu kwa pamoja na Watanzania pia watawaita mashujaa wa siasa kandamizi za CCM.
Kakwambia nani,hata kama siwapendi,lakini hata Mimi nisongeweza kujiuzuru,ujiuzuru harafu upishane na kiinua mgongo Cha millioni 200!
Mafuta lita 1000kila mwezi,mshahara millioni 12 kila mwezi,kasema nani?
 
Kichwa Cha habari hakiendani na ulichoandika!!
Ngoja tuweke KICHWA CHAKO labda KITAENDANA
20210716_160047.jpg
 
Mie naona kwa heshima na taadhima,wale mnaita Covid 19 wangekubali kujiuzulu ubunge waliopewa na Spika, halafu wapendekezwe upya kihalali na chama chao tena kuwa wabunge kwani shida iko wapi, kama lengo mwisho wa siku lilikuwa ni kuwatumikia wananchi na sio matumbo yao.........
 
Wadau nawasalimu,

Nichukuwa nafasi hii kuwashauri japo sio lazima kuufuata ushauri wangu Wabunge 19 waliofukuzwa Chadema yaani Halima Mdee na wenzake.

Naamini wao binafsi wanaujua ukweli uliowafikisha bungeni ulivyoratibiwa na Magufuli, Tume ya Uchaguzi na bunge na sio chama chao lengo likiwa kukiua chama chao walichokijenga kwa jasho na damu.

Leo kiongozi wao Mh. Mbowe kakamatwa na kabambikiziwa kesi ya ugaidi na hao hao waliowapeleka bungeni

Nawashauri kama kweli mna dhamira ya dhati ndani ya mioyo yenu juu ya Chadema basi ni wakati huu sasa wa kuungana na wanachama wenzenu kumpigania kiongozi wenu mkuu Mh. Mbowe ktk kesi inayomkabili.

Mnachotakuwa kukifanya ni kujiuzulu ubunge wenu naamini wanachama wa Chadema watawapokea kwa vifijo na nderemo na kuwasamehe ili muungane kumpigania kiongozi wenu kwa pamoja na Watanzania pia watawaita mashujaa wa siasa kandamizi za CCM.
Hao wameshapewa kadi za CCM toka enzi ya yule dhalim.
 
Nakumbukaga akina halima na bulaya walivyovamiaga segerea kumuokoa Mbowe mpaka wakapigwa na kuvunjwa lakini baadae wakaitwa wasaliti!! Ilinishangaza sana. Wale wamama ndo walikua chadema haswa hawa wengine waliobaki ni toleo sijui la tatu au nne! Moto wa halima na bulaya sio mchezo pangechimbika.
Kabisa mkuu!

Pengo la wale kina mama ndio limeanza kuonekana!
.
Shida ipo kwa wafuasi wa Mbowe ni wapumbavu ajabu!
Wamemtukana Halima matusi yote unayoyajua!

Hiki kitu kilimkuta pia Dr Slaa!
Lisu nae ipo siku yake inakuja hatakuja kuamini.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Ni kweli kama wana akili basi hii ndiyo huwa inaitwa "Nitoke vipi"
 
Wadau nawasalimu,

Nichukuwa nafasi hii kuwashauri japo sio lazima kuufuata ushauri wangu Wabunge 19 waliofukuzwa Chadema yaani Halima Mdee na wenzake.

Naamini wao binafsi wanaujua ukweli uliowafikisha bungeni ulivyoratibiwa na Magufuli, Tume ya Uchaguzi na bunge na sio chama chao lengo likiwa kukiua chama chao walichokijenga kwa jasho na damu.

Leo kiongozi wao Mh. Mbowe kakamatwa na kabambikiziwa kesi ya ugaidi na hao hao waliowapeleka bungeni

Nawashauri kama kweli mna dhamira ya dhati ndani ya mioyo yenu juu ya Chadema basi ni wakati huu sasa wa kuungana na wanachama wenzenu kumpigania kiongozi wenu mkuu Mh. Mbowe ktk kesi inayomkabili.

Mnachotakuwa kukifanya ni kujiuzulu ubunge wenu naamini wanachama wa Chadema watawapokea kwa vifijo na nderemo na kuwasamehe ili muungane kumpigania kiongozi wenu kwa pamoja na Watanzania pia watawaita mashujaa wa siasa kandamizi za CCM.

hata hajaaanza kupigwa shoti mshaaanza kulalamika
 
yaani kujiuzulu na kadai haki za mwenyekiti zinahusianaje hapo! kwani kila anadai haki ni lazima aache alichonacho? huu si ushauri bali ni namna ya kujaribu kuwahusianisha hao 19 na kesi ya mwenyekiti, ziloga baki na zitenda baki!!
 
Nakumbukaga akina halima na bulaya walivyovamiaga segerea kumuokoa Mbowe mpaka wakapigwa na kuvunjwa lakini baadae wakaitwa wasaliti!! Ilinishangaza sana. Wale wamama ndo walikua chadema haswa hawa wengine waliobaki ni toleo sijui la tatu au nne! Moto wa halima na bulaya sio mchezo pangechimbika.
Sikuizi wapo chama gani
 
Kwa ivyo wale wadada mnawaona kama ‘punching bags’ huko CDM.

Mwenyekiti njia ya safari yake aliijua mapema sana ina mabonde, mvua, matope na kila aina ghasia njiani.

Yeye kwa maamuzi yake na ushauri wa Lissu akaamua kufukuza washika spana, utingo na wapiga debe ambao siku zote walimfaa njiani.

Kama kazi ya kuvunjwa mikono, kuvutwa manywele, kuburuzwa, kukunjwa na kuwekwa nyuma ya karandinga ni rahisi kisa mwenyekiti anashikiliwa ata kama kweli ana makosa.

Wajitokeze sasa vidume hakina Msigwa, Heche, Mwalimu, Mnyika na Lissu harudi kutoka huko halipo waone mziki wenyewe.

Viongozi wa kiume CDM mtu pekee ambae walau alijaribu mziki wa COVID19 ni Lema peke yake waliobaki wote ni wanaume wa Dar popote walipo.

Mbowe alitakiwa awaache wachukue zile nafasi za ubunge kama wenyewe walizitaka bila ya shari kwa kuelewa umuhimu wao ndani ya chama na leo wangekuwa nae.

Mwisho wa siku ni kwamba kuna bomu lilirushwa ofisi za CDM Arusha na kuna kijana mgombea ubunge aliuwawa Mufindi katika harakati za kutafuta sympathy za kimataifa kwenye uchaguzi; Mbowe kama ndio mfadhili wa hayo matukio ya ugaidi awezi kuwa juu ya sheria.

Unavuna unachopanda in life.
 
Mie naona kwa heshima na taadhima,wale mnaita Covid 19 wangekubali kujiuzulu ubunge waliopewa na Spika, halafu wapendekezwe upya kihalali na chama chao tena kuwa wabunge kwani shida iko wapi, kama lengo mwisho wa siku lilikuwa ni kuwatumikia wananchi na sio matumbo yao.........
Hilo ndio Wazo Sahihi na Kipindi cha KUJIUZULU ni hiki cha Sakata la MBOWE ili Wajenge Mshikamano
 
Wadau nawasalimu,

Nichukuwa nafasi hii kuwashauri japo sio lazima kuufuata ushauri wangu Wabunge 19 waliofukuzwa Chadema yaani Halima Mdee na wenzake.

Naamini wao binafsi wanaujua ukweli uliowafikisha bungeni ulivyoratibiwa na Magufuli, Tume ya Uchaguzi na bunge na sio chama chao lengo likiwa kukiua chama chao walichokijenga kwa jasho na damu.

Leo kiongozi wao Mh. Mbowe kakamatwa na kabambikiziwa kesi ya ugaidi na hao hao waliowapeleka bungeni

Nawashauri kama kweli mna dhamira ya dhati ndani ya mioyo yenu juu ya Chadema basi ni wakati huu sasa wa kuungana na wanachama wenzenu kumpigania kiongozi wenu mkuu Mh. Mbowe ktk kesi inayomkabili.

Mnachotakuwa kukifanya ni kujiuzulu ubunge wenu naamini wanachama wa Chadema watawapokea kwa vifijo na nderemo na kuwasamehe ili muungane kumpigania kiongozi wenu kwa pamoja na Watanzania pia watawaita mashujaa wa siasa kandamizi za CCM.
Unatafuta kurogwa wewe,waachie hela za bure bure zisizokatwa kodi tena bila kuzifanyia kazi
 
Wadau nawasalimu,

Nichukuwa nafasi hii kuwashauri japo sio lazima kuufuata ushauri wangu Wabunge 19 waliofukuzwa Chadema yaani Halima Mdee na wenzake.

Naamini wao binafsi wanaujua ukweli uliowafikisha bungeni ulivyoratibiwa na Magufuli, Tume ya Uchaguzi na bunge na sio chama chao lengo likiwa kukiua chama chao walichokijenga kwa jasho na damu.

Leo kiongozi wao Mh. Mbowe kakamatwa na kabambikiziwa kesi ya ugaidi na hao hao waliowapeleka bungeni

Nawashauri kama kweli mna dhamira ya dhati ndani ya mioyo yenu juu ya Chadema basi ni wakati huu sasa wa kuungana na wanachama wenzenu kumpigania kiongozi wenu mkuu Mh. Mbowe ktk kesi inayomkabili.

Mnachotakuwa kukifanya ni kujiuzulu ubunge wenu naamini wanachama wa Chadema watawapokea kwa vifijo na nderemo na kuwasamehe ili muungane kumpigania kiongozi wenu kwa pamoja na Watanzania pia watawaita mashujaa wa siasa kandamizi za CCM.
Covid 19 wanaishi kama ndezi na maisha hayana furaha kwao
 
Back
Top Bottom