Maoni Binafsi kuelekea Sept 1.

SamTu160

JF-Expert Member
Feb 25, 2016
624
566
1. Chanzo cha UKUTA ni nini?
2. Katiba/Sheria inasemaje kuhusu wajibu wa Vyama vya Siasa?
3. Katiba/Sheria zinasemaji nafasi ya Majeshi yetu katika siasa?
4. Historia inaonyesha uvunjifu wa amani kwa chama kinachotaka kufanya maandamano nchi nzima?
5. Je Chadema wakifanya maandamano yao ya amani serikali/Jeshi la police watapungikiwa? Jibu ni hapana.
6. Je Chadema wakisitisha maandamano yao watapungikiwa? Jibu ni ndio. Siasa zimefutwa Mpaka 2020, Watakosa platform ya kusemea grievances zao. Hakuna rallies, hakuna internal meetings na media zipo tayari kuwa platform ya Chadema ku address grievances zao.

*Hitimisho. Binadamu ana hulka ya kufanya yale mambo aliyozuiwa. Pengine yanaweza kuwa mabaya au Muda wake haujafika. Adam na Eva waliambiwa wasile tunda La Kati, wao wakala. Maandiko ya dini zetu yanazuia kunywa pombe, sigara na kufanya ngono, Lakin wafuasi ndio wanayafanya haya kupita maelezo.. Uongozi ni hekima na maono. Unaweza kuwa na Nia nzuri Lakini wenzio wakakupinga sio kwamba ni wabaya, LA hasha ni utaratibu wa kawaida tu. Taifa lenye lengo La kujipambanunua kiuchumi na kisiasa linatakiwa kuwa na mijadala mipana ya kitaifa ambayo itajikita kujadiri pengine hata kutolea utatuzi kero mbalimbali zinazotukabili. Tunahitaji kuwa na national dialogues ambapo masilahi mapana ya nchi yata jadiliwa. Tunahitaji siasa Safi ambazo zinatoa mwanya kwa ideologies tofauti kutetwa jambo kwa masilahi mapana ya taifa. Tunahitaji taifa lenye watu wenye Uwezo wa kujenga hoja na sio kutukana au kuonyesha unazi wa Vyama vyetu. Vyama vitapita, nchi yetu ya Tanzania itabaki milele.

Omonto ne ghento 2016.

God/Allah/Jah bless Tanzania.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom