Maoni Binafsi: Aliyefungia websites za ngono hakutumia akili

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,551
Alicho kifanya nisawa na kuchimba bwawa kuzunguka shamba lako ili kuzuia wahalifu wasiibe mazao, watachonga mtumbwi na utaibiwa sana tu.

Sasa huyu katufungia halafu usikute nayeye ana access kupitia VPN.

Jambo la msingi ilikuwa kuwaondoa watu toka kwenye uraibu wa video za ngono na sio kufungia website za ngono maana watatafuta njia ya kuzifikia.

Nasikia bibi 1 ndiyo alipiga simu kuamuru hilo ili apate thawabu, yaani katutumia sisi kama daraja la kufikia peponi, hii haiku haikubaliki, tufungulieni kisha tufundisheni kutoka kwenye huo uraibu.

Kama mlichofanya kingekuwa kimesaidia watu wasinge haha kutafuta Connection za mirinda maana wangekuwa wamebadilika, kuona watu wakitafuta ni tangazo kuwa mmefanya kazi ya kutwanga maji kwenye kinu.

Nimeumia mpaka sasa sijaona Connection ya mirinda.
 
Kwa hiyo unataka tukusaidie nini na mambo ya ngono!Katafute malaya barabarani ufanye nao ngono, tena ngono zembe!
 
Kila siku lazima nikutane na uzi kama huu wa mpinga kristo, poleni sana CHAPUTA hiyo ni moja kati ya njia zitakazo wasaidia.

Kama una uwezo wa kujua VPN na kuitumia unashindwaje kutafuta nyenzo za kukutoa kwenye uraibu huo, tuna kazi nyingi sana za kufanya hapa magogoni.
 
Hii sio sawa kabisa..kila nafsi ina uhai wa kuchagua..kwanini kulazimisha watu wawe kama roboti..acha waenjoy.

Kwa kukusaidi..tembele sites zile ambazo sio common sana..nyingi hazijafungwa wamefungia zile common..pia tumia VPN..au zama Twitter kile kuna account nyingi tu.

Ikawe kheri kwako..ila jitahidi kupunguza uraibu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja
 
Red wap hii bila hata VPN unapita wahuni hatutupani mkuu swala la uraibu utapambana nalo mwenyewe!..
Wanaweza kuzuia ila hawawezi kuzuia kwa watu wote! Kaa ukijua zipo sites serikali hawazimudu hata kidogo zile ni world wide na kule ndo Kuna unyama Sasa!
 
Mimi situmii vpn na bado naangalia chachandu muda wowote nikizitaka. Natumia search engine ambayo siyo google. Ukisearch google huzipati chachandu, ukisearch na ile engine nyingine nazipata.
 
You mean Bing...?
 
Alicho kifanya nisawa na kuchimba bwawa kuzunguka shamba lako ili kuzuia wahalifu wasiibe mazao, watachonga mtumbwi na utaibiwa sana tu.

Sasa huyu katufungia halafu usikute nayeye ana access kupitia VPN.

Jambo la msingi ilikuwa kuwaondoa watu toka kwenye uraibu wa video za ngono na sio kufungia website za ngono maana watatafuta njia ya kuzifikia.

Nasikia bibi 1 ndiyo alipiga simu kuamuru hilo ili apate thawabu, yaani katutumia sisi kama daraja la kufikia peponi, hii haiku haikubaliki, tufungulieni kisha tufundisheni kutoka kwenye huo uraibu.

Kama mlichofanya kingekuwa kimesaidia watu wasinge haha kutafuta Connection za mirinda maana wangekuwa wamebadilika, kuona watu wakitafuta ni tangazo kuwa mmefanya kazi ya kutwanga maji kwenye kinu.

Nimeumia mpaka sasa sijaona Connection ya mirinda.
Nenda Twitter andika shetani
 
Ukishachonga huo mtungi wako usisahau kulipa tozo ili turidishe mikopo, pia jiepushe na makundi ya maandamano na kuitukana serikali.
 
Jambo la msingi ilikuwa kuwaondoa watu toka kwenye uraibu wa video za ngono na sio kufungia website za ngono maana watatafuta njia ya kuzifikia.
Tushauri cha kufanya sasa ili kuondoa watu kwenye huo uraibu.
 
zamani nilikuwa nadhani mimi mwenye dhambi sana,kisa naangalia porn

nikaja kugundua kumbe ni ugonjwa wa wengi,password nyingi zinaficha haya madude.
 
Back
Top Bottom