The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Nimekupa like kwa sababu ya maoni yako katika ujumla wake, ni mazuri lakini bora Rais alikwenda bandarini kwani asingejua kwamba tangu february bado flow meters ni ZERO! Si PM wala Mbarawa hakuna aliyekuwa wanafuatilia ever since, maajabu ya dunia hii! ningefurahi kama "atawatumbua" pia! Wamelala, hawana mwendonkasi kama yeye!
Swali la msingi ni hili:
Atawatumbua wangapi sasa? Ni kwa nini hawaendi na kasi yake?
Na je, inawezekana kasi yake ni ya mithili ya dereva wa bodaboda aliyebwia viroba na kuendesha pikipiki yake kwa kasi ya kilevi kiasi ambacho abiria wanaiogopa kuipanda?
Kiukweli hata mimi ningekuwa abiria, ningesema nenda tu bwana kafe peke yako!!