Maoni: Baraza kivuli la NCCR Mageuzi baada ya uchaguzi 2020

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,461
20,168
Kwanza kabisa KUB ni James Mbatia.

Selasini Wizara ya Mambo ya Ndani

Lwakatare atapewa Wizara Kivuli ya Maji/Umwagiliaji

Mnyika atakuwa TAMISEMI

Lijuakali bado hajatoa maamuzi kama yupo kwenye hii boti lakini akiingia chomboni atakaa kwenye miundombinu. Mwambe atacheza Wizara ya Kilimo na Mifugo.

Silinde atakuwa Wizara ya Michezo na Vijana.

Updates zitakuwa zinakuja kadri Mbatia atakavyokuwa anapokea wageni kutoka upande mwingine
 
Wabunge wa upinzani wenye uhakika wa kurudi bungeni ni hawa wafuatao
1. Zitto kabwe
2. Prof Jay
3. John Heche
4. James Mbatia
5. Lyatonga Mrema
 
Kwanza kabisa KUB ni James Mbatia.

Selasini Wizara ya Mambo ya Ndani

Lwakatare atapewa Wizara Kivuli ya Maji/Umwagiliaji

Mnyika atakuwa TAMISEMI

Lijuakali bado hajatoa maamuzi kama yupo kwenye hii boti lakini akiingia chomboni atakaa kwenye miundombinu. Mwambe atacheza Wizara ya Kilimo na Mifugo.

Silinde atakuwa Wizara ya Michezo na Vijana.

Updates zitakuwa zinakuja kadri Mbatia atakavyokuwa anapokea wageni kutoka upande mwingine
ACT ilikubalika sana kwa vijana mwaka 2015 lakini iliambulia Mbunge mmoja. Hao mnaowategemea wawe wabunge wa NCCR mageuzi ni kupitia ushawishi wao binafsi kwenye jamii watapogombea au ni ushawishi wa NCCR kama chama?

Kwa mtazamo wangu, kama uchaguzi utafanyika kwa kuruhusu wagombea wa vyama vyote kushiriki uwakilishi (wingi wa viti) utakuwa kama ifuatavyo:
1. CCM
2. CHADEMA (Itabebwa na upande wa bara
3. ACT (itabebwa na upande wa Zanzibar)
4. CUF (ukanda wa pwani upande wa bara)
5. TLP - Jimbo la Vunjo
 
Walikuwepo kina Membe na Act yao wakajitadi kuvunja record ya kuweka wagombea majimbo yote lakini kumbukeni alishinda 1 nccr manunuzi Chadema ni mziki mnene
 
Msukuma atakua waziri wa Sayansi na teknologia,Kibajaji atakua Waziri wa Afya,Goodluck Mlinga atakua waziri mkuu.
Kituko cha karne takataka tupu mpaka mwenyekiti wa baraza la mawaziri. Bashite atakuwa nani? Sabaya je? Jerry Murro je? Na yule Chalamila je?
 
Kwanza kabisa KUB ni James Mbatia.

Selasini Wizara ya Mambo ya Ndani

Lwakatare atapewa Wizara Kivuli ya Maji/Umwagiliaji

Mnyika atakuwa TAMISEMI

Lijuakali bado hajatoa maamuzi kama yupo kwenye hii boti lakini akiingia chomboni atakaa kwenye miundombinu. Mwambe atacheza Wizara ya Kilimo na Mifugo.

Silinde atakuwa Wizara ya Michezo na Vijana.

Updates zitakuwa zinakuja kadri Mbatia atakavyokuwa anapokea wageni kutoka upande mwingine
Mwambe atarudi upinzani kutoka CCM?

Amandla....
 
Kwanza kabisa KUB ni James Mbatia.

Selasini Wizara ya Mambo ya Ndani

Lwakatare atapewa Wizara Kivuli ya Maji/Umwagiliaji

Mnyika atakuwa TAMISEMI

Lijuakali bado hajatoa maamuzi kama yupo kwenye hii boti lakini akiingia chomboni atakaa kwenye miundombinu. Mwambe atacheza Wizara ya Kilimo na Mifugo.

Silinde atakuwa Wizara ya Michezo na Vijana.

Updates zitakuwa zinakuja kadri Mbatia atakavyokuwa anapokea wageni kutoka upande mwingine
Halafu tulia atakua PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom