Maongezi ya Mke na Mume: Nani yupo sahihi hapa?

Inategemea na mke uliyenae...ukipata mke smart aneelewa maana ya maisha basi hutojuta...by the way ikitokea Mume amefariki au ametpata kilema au amekosa kazi unategemea familia itaishije? Kwenye maisha haya yasiyo na huarantee ni vema wote mke na mume waweze kubeba majukumu ya familia ili hata mmoja wapi asipokuwepo basi watoto wasipate tabu wala familia isiyumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia 99 ya wanawake hawalijui hili

Asilimia 99 ya wanaolijua huishia kulisema tu ila uhalisia ni vinginevyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom