official scandal
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 386
- 798
Wapendwa,
Njoo na CV na vyeti
Karibuni sana.
Njoo na CV na vyeti
Karibuni sana.
753Yale ya maonyesho ya makampuni ya Kichina mwaka jana yalitoa Ajira ngapi? Maana wasijekua wanaonesha biashara zao tu kisingizio cha Ajira
Kijana acha uongo....mwaka jana nlikuwepo hapo hao mabwana hawakuajiri hata raia mmoja

hahah hii ni kweliKijana acha uongo....mwaka jana nlikuwepo hapo hao mabwana hawakuajiri hata raia mmoja
Nafahamu Vijana kumi walioajiriwa kupitia Maonesho ya noble Victoria.Kijana acha uongo....mwaka jana nlikuwepo hapo hao mabwana hawakuajiri hata raia mmoja
Huu ushujaa wa nyuma ya keyboard huwa mnaupata wapi?!Kijana acha uongo....mwaka jana nlikuwepo hapo hao mabwana hawakuajiri hata raia mmoja
Huu ushujaa wa kuandika chochote nyuma ya keyboard huwa mnaupata wapi?Kijana acha uongo....mwaka jana nlikuwepo hapo hao mabwana hawakuajiri hata raia mmoja
Umempatia jibu sawasawa na ujinga wake.Sawa. Hawakuajiri hata mmoja.
Nahisi tunazungumzia vitu viwili tofauti hapa. Hakuna maonesha ya Biashara wala hakuna kampuni za simu ukizotaja na hakuna mauzo Ya BiasharaUbabaishaji tuu, wanaenda kuonyesha biashara zao za simu wachina. Wee angalia makampuni yatakayokuwepo kama si Huawei, tecno, itel, tigo, vodacom, Airtel
Nikikumbuka ile ilikuwaga mwaka juzi sijui yale Maonyesho hakuna kampuni za maana zaidi ya makampuni ya simu
Walikuja washkaji waliomaliza chuo kama miaka 3 iliyopita. Watu wamechoka, chakaa, pauka, wamekonda
Mwingine tokea unamaliza chuo, imekatika kama miaka 2 bado yupo na simu ile ile aliyomaliza nayo chuo na nguo zile zile alizokuwa anaonekana nazo vyuoni
.Ubabaishaji tuu, wanaenda kuonyesha biashara zao za simu wachina. Wee angalia makampuni yatakayokuwepo kama si Huawei, tecno, itel, tigo, vodacom, Airtel
Nikikumbuka ile ilikuwaga mwaka juzi sijui yale Maonyesho hakuna kampuni za maana zaidi ya makampuni ya simu
Walikuja washkaji waliomaliza chuo kama miaka 3 iliyopita. Watu wamechoka, chakaa, pauka, wamekonda
Mwingine tokea unamaliza chuo, imekatika kama miaka 2 bado yupo na simu ile ile aliyomaliza nayo chuo na nguo zile zile alizokuwa anaonekana nazo vyuoni
Ubabaishaji tuu, wanaenda kuonyesha biashara zao za simu wachina. Wee angalia makampuni yatakayokuwepo kama si Huawei, tecno, itel, tigo, vodacom, Airtel
Nikikumbuka ile ilikuwaga mwaka juzi sijui yale Maonyesho hakuna kampuni za maana zaidi ya makampuni ya simu
Walikuja washkaji waliomaliza chuo kama miaka 3 iliyopita. Watu wamechoka, chakaa, pauka, wamekonda
Mwingine tokea unamaliza chuo, imekatika kama miaka 2 bado yupo na simu ile ile aliyomaliza nayo chuo na nguo zile zile alizokuwa anaonekana nazo vyuoni
Mbona Unanisema Mkuu kwani Kukutana na wewe Nikiwa nimevaa kile kishati changu cha mistari ni dhambi?Ubabaishaji tuu, wanaenda kuonyesha biashara zao za simu wachina. Wee angalia makampuni yatakayokuwepo kama si Huawei, tecno, itel, tigo, vodacom, Airtel
Nikikumbuka ile ilikuwaga mwaka juzi sijui yale Maonyesho hakuna kampuni za maana zaidi ya makampuni ya simu
Walikuja washkaji waliomaliza chuo kama miaka 3 iliyopita. Watu wamechoka, chakaa, pauka, wamekonda
Mwingine tokea unamaliza chuo, imekatika kama miaka 2 bado yupo na simu ile ile aliyomaliza nayo chuo na nguo zile zile alizokuwa anaonekana nazo vyuoni
Kijana siongei tuu..mwaka jana nmefika hapo na hao wachina wasiojua lugha walikuwepoHuu ushujaa wa kuandika chochote nyuma ya keyboard huwa mnaupata wapi?
Mwaka jana June Vijana wengi walipata ajira. Nina mashaka hata kama ulifika kwenye hiyo job fair.