Maonesho fursa za ajira UDSM, njoo na vyeti vyako upate ajira

Tena hao wajinga huwa wanawakalisha cku mbili ...jui leo itakuaje maana mwaka jana ilikuwa jumamosi na jumapili
 
Nahisi tunazungumzia vitu viwili tofauti hapa. Hakuna maonesha ya Biashara wala hakuna kampuni za simu ukizotaja na hakuna mauzo Ya Biashara
Naona
1. Group six
2.CRJE
3.Avic
4. CCECC
5.Global leadership enterprise
6.BCEG
7.chinese chamber of commerce
Cjuh kwann watu wanakubshia kuhusu hzo ajra mi nakubaliana na wewe kabsa wale wachna wanatoa kaz
 
Mjumuisho jaman... wametoa ama laaah? Maana mtaa hamna kaz halaf nackia huko zipo za chap chap kama atm card
 
Ubabaishaji tuu, wanaenda kuonyesha biashara zao za simu wachina. Wee angalia makampuni yatakayokuwepo kama si Huawei, tecno, itel, tigo, vodacom, Airtel

Nikikumbuka ile ilikuwaga mwaka juzi sijui yale Maonyesho hakuna kampuni za maana zaidi ya makampuni ya simu

Walikuja washkaji waliomaliza chuo kama miaka 3 iliyopita. Watu wamechoka, chakaa, pauka, wamekonda
Mwingine tokea unamaliza chuo, imekatika kama miaka 2 bado yupo na simu ile ile aliyomaliza nayo chuo na nguo zile zile alizokuwa anaonekana nazo vyuoni
Psychology inasema watu km ww Mara nyingi ndio wanakuaga mstari wa mbele kuhudhulia wakat mmeshawakatisha tamaa wengine
 
Back
Top Bottom