Maombi yenu wana JF napeleka posa usukumani

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Nipo njiani naelekea tabata baracuda ambapo familia ya binti inaishi nipo na mshenga wangu kuna binti tunaenda kwao kupeleka barua ya posa hiyo familia wenyewe Ni wasukuma
 
Ongera zako mkuu,hapo ainaga chipsi,piza wala baga ni unga wa dona na udaga tu.
 
Nipo njiani naelekea tabata baracuda ambapo familia ya binti inaishi nipo na mshenga wangu kuna binti tunaenda kwao kupeleka barua ya posa hiyo familia wenyewe Ni wasukuma
Usisahau kubeba Unga gunia mbili
 
Hivi mnawaza kila msukuma ni wa kusukumwa? Wengine hawana hayo mamila ya mugaliii cjui mkolo kolo kibaaaao,wapo kawa wengine tu ila sema sukuma kwa sukuma kukataana ni ngumu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom