Maombi yanakaribishwa kutoka kwa bank mbali mbali kuweka atm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maombi yanakaribishwa kutoka kwa bank mbali mbali kuweka atm

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mbwambo, Oct 10, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Ninakaribisha maombi kwa Bank mbali mbali wanaotaka kuweka ATM kwenye nyumba yangu ambayo inatazama Barabara iko sehemu ambazo hakuna ATM yeyote eneo hilo
  Naomba kwa wanaotaka kuona sehemu wanitumie email: ak_abduel@yahoo.com
  KARIBUNI
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  kwenya account una bei gani?
   
 3. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Hiyo siri yangu siwezi kuisema hapa
   
Loading...