Maombi yametosha? Simwoni tena kiongozi makanisani akihitaji maombi

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Miaka miwili sasa ya Uongozi nafikiri hofu ya kukaa magogoni haiko tena kwa Rais Magufuli, bila shaka keshapazoea pale na mauza uza yake... Na sijamwona kanisani afike kutoa shukrani ya pekee kama ilivyo kawaida yetu Wakristo Mungu anapokuvusha hatua kubwa.

Lakini kwa hakika niseme, tangu tarh ile ya Giza kwa Taifa, tarehe 7/9/2017, miezi miwili sasa, mimi binafsi SIJAMSIKIA wala KUMWONA Mh.Rais akifika kanisani kufanya Ibada, na kama ilivyo desturi yake, kusalimia, kutoa maagizo na kutoa tamko akihitaji maombi...hajafika St.Peters wala kwa Mzee wa Upako...what happened? Kusutwa roho ama?
 
Eti mwizi naye huomba kwa Mungu afanikishe mipango yake.

Muuaji naye huomba kwa Mungu afanikishe mipango yake.

Ngumu sana watu kuwaombea binadamu wa aina hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom