Maombi ya ufundi umeme kwenue kampuni, Kiwanda, au Nyumba

Kulwa Daud omary

New Member
Jun 5, 2020
3
45
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 nina elim ya kidato cha nne nazungumza lugha kingeleza na kiswahili

Naomba mwenye kujua ama kusikia ama kuhitaji fund umeme wa majumbani na viwandan nipo vizuri ninauzoefu wa miaka miwili na nusu sasa

Naoatikana kibaha mwendapole kwa mawasiliano napatikana kwa namba 0674866209.

Nimeambatanisha na picha za vyeti vyangu pamoja na CV yang
 

Akili Sina

JF-Expert Member
Jan 18, 2018
266
1,000
Usijali mkuu, Mungu ni Mkuu utapata....ila ungesomea hata certificate ya electrical technician ( kama bado hujasomea), ingekusaidia zaidi. Halafu mbona kingeleza hujajua bado !!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom