Maombi ya nafasi za masomo ya Afya

killo

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
401
94
Habari Wandugu,

Nina mdogo wangu anahitaji sana nafasi ya masomo ya afya haraka katika fani ya
  1. Assistant Clinical
  2. Pharmacy Certificate
  3. Nursing Certificate

Qualification zake ni
  • History B
  • Geography C
  • Language B
  • General Study D

Ndugu zangu, naombeni sana msaada wenu, maana mtu akikuambia anataka kusoma hilo ni jambo jema na huna budi kumpigania.

Choice za Shule azipendazo lakini pia mwaweza shauri nyingine.
  1. Hydom '1st choice
  2. Dareda '2nd choice
or

  1. Kiomboi '3rd choice
  2. St Gasper '3rd choice
  3. Mbulu '3rd choice
  4. Karatu '3rd choice

Nitawashukuru sana ndugu zangu kama mtanisaidia kwa hili. Kwa mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana na kwa PM
 
In fact applications zote za afya kuanzia certificate na diploma tayari zimeshafungwa tangu tar 2 agosti. Lkn kuna baadhi ya vyuo vya private bado wana nafasi za application. Ajaribu kuapply city college of health and allied science kupitia web yao ya chuo. Chuo kipo dar, tandika, mahunda street karibu na ukuta wa bandari
 
Habari Wandugu,

Nina mdogo wangu anahitaji sana nafasi ya masomo ya afya haraka katika fani ya
  1. Assistant Clinical
  2. Pharmacy Certificate
  3. Nursing Certificate

Qualification zake ni
  • History B
  • Geography C
  • Language B
  • General Study D

Ndugu zangu, naombeni sana msaada wenu, maana mtu akikuambia anataka kusoma hilo ni jambo jema na huna budi kumpigania.

Choice za Shule azipendazo lakini pia mwaweza shauri nyingine.
  1. Hydom '1st choice
  2. Dareda '2nd choice
or

  1. Kiomboi '3rd choice
  2. St Gasper '3rd choice
  3. Mbulu '3rd choice
  4. Karatu '3rd choice

Nitawashukuru sana ndugu zangu kama mtanisaidia kwa hili. Kwa mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana na kwa PM
yani kaka hapo sahau kupata kozi yoyote ya afya kwa sababu hana hata somo moja la sayansi
 
Niambie amepata nini o level kwa masomo ya physics, biology, mathematics and chemistry. Kama ana C mbili au Tatu kati ya hizo naweza nkakwambia uende wap
 
kuna m2 ameomba medical lab kwa chem-C, bios-D, math-D & geog-D vp atapata kwel? ila physics ana mswak
 
Hiyo haifai kwa diploma ya kozi za afya, lakini nadhan anaweza kupata certificate ya kozi flan ya afya, labda nursing. Mimi nilkua nataka kusaidia diploma na sio certificate ndugu yangu. Good day
 
jaman nina c3 za olevel kwenye masomo ya science ya physics,chemistry na biologia ila math nna E nmeomba diploma ya mdical lab science pale st francis medical collage je naweza pata wadau
 
mkuu huyo mdogo wako alipataje o-level? hasa masomo ya science... hayo ya advance wala hayamsaidii kitu hapo.
 
mkuu mbona unatuchanganyia madawa unauliza kuhusu afya na umeweka matokeo ya arts kwa asilimia kubwa,,Fanya vitu kwa uhakika bana uone unasaidiwaje namaanisha wema matokeo ya science ,biology,chemistry ,math physics,,izo maenglish ztafata baadae kama hajasoma ayo masomo,,utoe thread yako kabisa,,mana akuna uchawi uo ndo ukweli
 
Samahani jaman naomba msaada wenu....mdogo wangu amefanya application kweny coz ya clinical medicine lakini haja chaguliw je anaweza katuma maombi vyuo vya private (japo kuw application umefungiwa)je atapata nafasi kweny coz hiyo?na je vyuo hivyo ni vipi??
 
Atapata cha msingi awasiliane na chuo husika
 
Back
Top Bottom