Maombi ya Mkuu wa kaya kwa headgirl wa dunia walipokaa ana kwa ana jijini Dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maombi ya Mkuu wa kaya kwa headgirl wa dunia walipokaa ana kwa ana jijini Dar es salaam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngambo Ngali, Jun 14, 2011.

 1. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  President Jakaya Kikwete has said Tanzania needs bigger capacity ships capable of plying the Indian Ocean's vast waters to effectively take part in the fight against piracy.

  Speaking during a joint press conference with US Secretary of State Hillary Clinton at the State House in Dar es Salaam yesterday, Kikwete thanked the US government for its support in the fight against the menace, especially in capacity building for security officers. However, he asked the American government to assist Tanzania with a big ship capable of reaching the high seas to strengthen security in the world's third largest ocean.

  Kikwete, who was responding to a question from a journalist, said US training of Tanzania's security personnel has helped the country to arrest quite a number of terrorists using it as a gateway to commit their wanton acts.

  Explaining, the president said incidents by pirates have been on the increase on Tanzania's Indian Ocean territorial waters.
  He said the measures taken by the government to fight against the problem have so far led to the arrest and arraigning of 11 pirates since March last year.

  During the period, he said, Tanzania witnessed 27 piracy attempts on the Indian Ocean, 13 of which were threats to capture big vessels. Four ships were hijacked during the period.

  "In all the incidents, security officers succeeded to rescue two vessels only," he said.
  Earlier, Kikwete said bilateral relations between Tanzania and United States have become much stronger within the past two years.
  He said US assistance in the sectors of health, water, power, education and infrastructure has been very valuable to Tanzania.

  He said through US government assistance, at least 8,000 Tanzanian teachers have been trained and several schools given science and mathematics textbooks.

  In the health sector, Kikwete said the US has helped to reduce malaria cases on the Mainland, while in Zanzibar the disease has been eliminated.


  source: The guardian


  1. Hivi ni kweli tatizo kubwa la watanzania hivi sasa ni meli ya kupambana na maharamia, kwa nini asiombe wamerakani wasaidie kufufua reli ya kati ambayo ndo mhimili wa uchumi wa nchi. Ametumwa na au kaambiwa na nani kuwa hiyo ni shida ya watanzania? Kama nchi hatuna meli hata moja inayoweza kutekwa, kwa nini tukose usingizi?

  2. US assistance in the sector of health - Labda hii itakuwa ile malaria project akina mama wanajifungulia chini, watoto wanakufa sekta ya afya imecollapse mpaka kwa babu kumekuwa ndo referral hospital.

  3. Wamerakani wamesaidia maji, duh kama Dar Es Salaam tunakunywa maji machafu tena kwa mgao vijijini ikoje, mimi sijaona msaada kwa hilo naomba nifuniliwe macho.

  4. Power- Symbion yes it all goes down to that maana kupanda carrot chalinze ilikuwa danganya toto safariyote hapa ilikuwa kusisitiza symbion wapewe ulaji no more.

  5. Education on shule zetu za msingi ni disaster, za sekondari zimebakia historical monuments na vyuo ndo usiseme.

  Wadau mnasemaje?
   
 2. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  hiyo kweli risala......nishajichokea zangu mie..
   
 3. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NIlionaga humu JF huu usemi: If you are not in good term with (us) America, we will bring democracy in your country. JK lazima akubali kutumika sana na wamarekani kwa maslahi ya wamarekani ili wasije leta democracy humu.
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,045
  Likes Received: 6,485
  Trophy Points: 280
  kasahau jezi la kuchezea mpira ati.
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  source: the guardian

  1. Hivi ni kweli tatizo kubwa la watanzania hivi sasa ni meli ya kupambana na maharamia, kwa nini asiombe wamerakani wasaidie kufufua reli ya kati ambayo ndo mhimili wa uchumi wa nchi. Ametumwa na au kaambiwa na nani kuwa hiyo ni shida ya watanzania? Kama nchi hatuna meli hata moja inayoweza kutekwa, kwa nini tukose usingizi?
  ili kuwajengea mazingira mazuri wakoloni wa leo wanaojulikana zaidi km wawekezaji, ni pamoja na kuwaondolea hofu ya meli zo kutekwa na maharamia ndo maana mkuu kasema hilo ndo tatizo kuu la wadanganyika wa tz.
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  yaaani tunakuwa omba omba na hatujui tuombe nini?

  so Tanzania inabidi isomeshe watu wa kujifunza kuomba misaada sahihihi. teh tehteh teh

  Watu wa kuandika na kusoma mikataba mizuri nadhani watakuwa wanakaribia kumaliza shule huko walipo so tutegemee no richmond na no buzwagi tena.

  Yaaani hayo majibu ya pirates yalitakiwa yasemwe na huyo mama clinton sio Kikwete. Meli zinavua samaki bure we unangaika na pirates. for whose interest ufukuzane na pirates wa kisomali.


  Hivi Jk anajua hata Priority na Real security reuiremet za Ulinzi na Usalama Tanzania ???!!!!. JK Anajua biggest threat ya nchi yetu?
   
 7. MANI

  MANI Platinum Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,408
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo mkuu anaogopa democracy?
   
 8. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Inabidi apate darasa lakuomba omba kwa Matonya labda itasaidia
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,908
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Aisee!

  Inabidi Marekani isisahau kututenga fungu kwenye bajeti yao ijayo, manake tumeshakuwa kama mkoa wake sasa na Kikwete ni mkuu wa Mkoa.
   
 10. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Tehe heteh, our national priority!
   
 11. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Hapo ndipo anaponimaliza kabisa, malaria has been reduced? Sijui anaishi dunia gani? What is wrong with us really?
   
 12. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Lbd ni kweli kama mnavyosema, JK hajui priorities za watanzania. Hebu tulitizame hili kwa style hii, chuku mfano moja tu wa mafuta, ambayo 100% tuna import. Assume kwamba pirates wamechachamaa kwelikweli kwa mwezi 1 mfululizo wanateka tu meli, tena wasiwe mbali sbb navy yetu iz dead, wawe maili mia tu kati ya eneo baina ya pemba na mombasa believe me meli zote zita diverge route na hazitafika bandari ya dsm, hivyo mafuta hayatafika dsm what will happen ni kwamba gharama za maisha zitapanda ghafla siyo dsm tu hadi mikoani, hapatakalika hapa, na watu km nyinyi mtakuja hapa jf mtaandika sana km ilivyokawaida yenu. Mshkj yuko right kwa msaada aliouomba.
   
 13. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Nilidhani mwenye meli anawajibika kulinda mzigo wake, yaani meli na shehena yenyewe, tanzania kama nchi inahusikaje na hilo.

  Tuchukulie mfano wako unaousema uwe kweli basi, walitakiwa wenye meli wapeleke maombi kwa headgirl sio sisi. kama ni kulalamika vitu ambavyo vinatugusa remotely na ambavyo havina proximity basi hatulala. Kwa sasa piracy sio pressing problem kwa wananchi wa Tanzania kuna pressing problems nyingi tuu, kuna familia zinalalia mlo mmoja, kuna familia haziendi hospitali shauri hazina hela ya kulipia matibabu na matatizo mengine kibao.

  Angekuwa makini angejikita kwenye issues ambazo ni muhimu kwa mwananchi wa Tanzania kwa kipindi hiki.
   
 14. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Ni kweli uko sahihi kbs, mwenye meli anawajibika kulinda meli yake, na hata sheria za kimataifa za usafirishaji baharini zinamtaka hivyo na zinamtaka asipeleke meli yake eneo ambalo ni hatari kwa usalama wa meli yake na wafanyakazi pia. Hivyo akifuata hiyo sheria na akizingatia ukweli kwamba hana uwezo wa kuilinda meli yake ikiwa bahari basi hatokuja kbs au atakuja kwa gharama kubwa sana ambayo mwisho wa siku mtumiaji wa mwisho ndo anaelazimika kuilipa. Well, issue ambazo umetaja hapo juu ni za muhimu na ambazo akiwa kama rais alitakiwa azipe kipaumbele, lkn hata hili la piracy nalo akiwa kama rais wa nchi ambayo pwani ya bahari yake inatumiwa sana na maharamia hawa anastahili kulisemea pia.
   
 15. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Alafu haya mambo ya USALAMA ingawa tumeaminishwa kuwa hatutakiwi kuyahoji hoji lakini hivi jeshi letu linamua strategy gani maana wachina wanatufundisha, Wamarekani wanatufundisha may be na wakorea wanaweza kuwepo pia wanatufundisha. teh teh teh

  Ni nchi gani ya nje ni mdau mkubwa wa Jeshi la TZ. teh teh teh. Hii inaonyesha ukiwa omba omba unakuwa hua option a maamuzi. wich mean u re not secure. Lile dege la QATAR limeprove
   
 16. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mkuuu Hili la maharamia ni tatizo lakini kwa tanzania sio critical issue kabisa. Crticila Issue ya pwai ya Tanzania ni meli za uvuvi amaboz zinakuja kuvua na kundoka kimya kimya. Tunahitaji viogozi wanajua pririty za nhci sio wanaongea vitu amabvyo USA UK wanapenda kusikia.

  Basi kama ni vifaa vya Navy kama Mtanzani JK angesema tunaomba msaada wa kukamata meli a uvuvi haramu sio Pirates. vIfaa vinaweza kuwa vile vile lakini matamshi na lugha yanaonyesha interest na priority tofauti.

  JK kanikumbusha enzi nikiwa mdogo tukiwa home ukisikia mzazi anakuja home unabadilisha tune ya TV kujifanya unaangalia taarifa ya habari . Mzazi akipita pale anafurahi Then akipotea mnaendelea kuangalia RAMBO............  We jiulize wachina wenyewe wameleta jeshi lao bahari ya Hindi baada ya USA na UK kupiga kelele. Hivi kama china ilikuwa haijafiria kuona priority hiyo iweje Tanzania iwe na priority kubwa hivyo????? china ni singele biggest impoerter na exporter na mafuta na bidhaa zinazopita eneo hilo...??????

  Tanzania na JK tuko right kuomba msaada yeyote lakini kupanga ni kuchagua. How do we prioritise uhitaji wa misaada..???
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ningekuwa mimi Kikwete ninge-demand kitu kimoja tu (nimesema demand na sio kuomba) nacho ni Reli. Toka Kigoma -Dar-Arusha.'You want our Uranium madam basi Reli ya uhakika inatakiwa" Nothing less. Hii habari ya malaria na kilimo cha mbogamboga ni fedheha kwa mwafrika.
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu najua how these things work?
  priority ya marekani in africa sio kutuletea maendeleo, wapo interested na security yao kwa kutumia base ya africa.
  So, Kikwete inambidi kuwa kama parrot, unarudia kile wanachotaka au watakuwa interested nacho!! mbona asiombe meli ya ziwa Nyasa?
  Thats how it works!!
   
Loading...