Maombi ya kujiunga na Mpango wa Kazi Nje Nje yanakaribishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maombi ya kujiunga na Mpango wa Kazi Nje Nje yanakaribishwa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mzalendo JR, Oct 16, 2012.

 1. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  BAADA YA MAFANIKIO MAKUBWA YALIYOPATIKANA KATIKA MPANGO WA KAZI NJE NJE 2011, SHIRIKA LA KAZI DUNIANI KITENGO CHA UJASIRIAMALI (YOUTH ENTREPRENEURSHIP FACILITY) KWA KUSHIRIKIANA NA KITUO CHA TEHAMA CHA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT) LINAKARIBISHA MAOMBI KUTOKA KWA VIJANA WAHITIMU WA VYUO VIKUU WENYE NDOTO NA MALENGO YA KUJIAJIRI KAMA WATAALAMU WA UJASIRIAMALI NA UKUZAJI WA BIASHARA KATIKA SEKTA YA TEHAMA (ICT ENTREPRENEURSHIP) ILI KUJIUNGA NA MPANGO WA KAZI NJE NJE KIPINDI CHA KUMALIZIA MWAKA 2012

  MAOMBI YA KUJIUNGA NA MPANGO WA KAZI NJE NJE – TEHAMA YANAKARIBISHWA KUTOKA KWA VIJANA WENYE SIFA ZIFUATAZO:

  Elimu – Shahada ya kwanza - TEHAMA
  Umri – Miaka 26 – 30
  Jinsia zote

  Wazo

  Wazo yakinifu la TEHAMA : AWE TAYARI KUJIAJIRI KUTOKANA NA WAZO LAKE BAADA YA MAFUNZO.

  MUDA WA KUPOKEA MAOMBI NI KUANZIA TAREHE 10 HADI 22 OCTOBER.

  KWA MAELEZO ZAIDI NA JINSI YA KUJIUNGA TEMBELEA TOVUTI ZETU www.yefafrica.org na www.ilo.org/daressalaam

  AU

  NENDA KATIKA KITUO CHA TEHAMA – TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT) www.itcoeict.dit.ac.tz

  Simu: 0755758580

  Source: wavuti.com - Opportunities
   
Loading...