Maombi ya kaz iya udereva | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maombi ya kaz iya udereva

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mukama talemwa, Jan 9, 2012.

 1. m

  mukama talemwa Senior Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ninanaomba wana jf yeyote ayejua au anaye hitaji driver niko tayari,nina leseni class A,B, c1, c2, c3,na D na E,nimeendesha magari tofauti tofauti kwa zaidi ya miaka kumi.Muda mrefu nimefanya kazi za mauzo kama salesman,kazi hii nina uzoefu nayo sana, tatizo sina cheti cha kuisomea zaidi ya semina mbalimbali kuhusu mauzo na merchanding, customer service,sefety at work pamoja na course fupi NIT kuhusu defensive driving.Nina record nzuri ya uaminifu na sijawahi kupata ajali tangia nimeanza kendesha magari.
  Ninasubiria kutoka kenu wana jf
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,913
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Hebu cheki hii halafu jaribu bahati yako ndugu:

  Good luck......
   
 3. m

  mukama talemwa Senior Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nashukuru ndugu, wacha ni-send cv yangu nione. Hawa jamaa wako sehemu gani na unajua shughuli zao zaidi
   
Loading...