Maombi ya HESLB 2016: Mbona kulipia Mpesa inagoma?

Download

Download

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Messages
346
Likes
53
Points
45
Download

Download

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2012
346 53 45
Nimejaribu sana kufuata utaratibu ulio tolewa,ila naona inakataa...
vipi kwa wengine huko mmefikia wapi?
1. To get MPESA Menu dial *150*00# (Piga *150*00#)
2. Choose option 4 for Pay by MPESA (Lipa kwa MPESA)
3. Choose option 3 for Choose Business (Chagua aina ya Biashara unayolipa)
4. Enter 8 for Education Services(Ingiza 8 kwa Huduma za Elimu)
5. Enter 2 for HESLB(Ingiza 2 kwa HESLB)
6. Enter 1 for Reference Number (Ingiza 1 kwa namba ya kumbukumbu)
7. Enter Account Number (Ingiza namba yako ya kumbukumbu), which is your formatted 15 character form 4 index number e.g. S0143.0012.2009
8. Enter the amount in Tshs to pay either 30,000 or 10,000 based on your application category
9. Enter your 4 digit PIN
10. Enter 1 to confirm
11. A confirmation Message will be displayed. N.B: Please keep this message privately

Hapo namba 6 ndo inapo gomea..

Msaada please...
 
Pamputi

Pamputi

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2016
Messages
985
Likes
708
Points
180
Pamputi

Pamputi

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2016
985 708 180
Kwn washaanza kupokea hayo maombi
 
Pamputi

Pamputi

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2016
Messages
985
Likes
708
Points
180
Pamputi

Pamputi

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2016
985 708 180
Kuwa na subra mambo bado au piga namba hizi +255225507910
 
Pamputi

Pamputi

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2016
Messages
985
Likes
708
Points
180
Pamputi

Pamputi

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2016
985 708 180
Zngatia kuleta mrejesho kwa faida ya wenzako
 
Download

Download

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Messages
346
Likes
53
Points
45
Download

Download

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2012
346 53 45
mwenye mwenye majibu please....
 
Download

Download

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Messages
346
Likes
53
Points
45
Download

Download

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2012
346 53 45
wamefungua toka jana tarehe 23.5.2016 lakini haikubali kuanzia kulipia mpaka olas yenyewe....
 
Cousin

Cousin

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
12,271
Likes
35,564
Points
280
Cousin

Cousin

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
12,271 35,564 280
Nimejaribu sana kufuata utaratibu ulio tolewa,ila naona inakataa...
vipi kwa wengine huko mmefikia wapi?
1. To get MPESA Menu dial *150*00# (Piga *150*00#)
2. Choose option 4 for Pay by MPESA (Lipa kwa MPESA)
3. Choose option 3 for Choose Business (Chagua aina ya Biashara unayolipa)
4. Enter 8 for Education Services(Ingiza 8 kwa Huduma za Elimu)
5. Enter 2 for HESLB(Ingiza 2 kwa HESLB)
6. Enter 1 for Reference Number (Ingiza 1 kwa namba ya kumbukumbu)
7. Enter Account Number (Ingiza namba yako ya kumbukumbu), which is your formatted 15 character form 4 index number e.g. S0143.0012.2009
8. Enter the amount in Tshs to pay either 30,000 or 10,000 based on your application category
9. Enter your 4 digit PIN
10. Enter 1 to confirm
11. A confirmation Message will be displayed. N.B: Please keep this message privately

Hapo namba 6 ndo inapo gomea..

Msaada please...
Reference number ni namba yako ya shule eg.s186.0234.2012.
 
Forum statistics

Threads 1,251,287
Members 481,613
Posts 29,764,976