Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Uko nishakula papuchi kibao ila sahivi cwez tuma mesej mwenye uzoefu ansaidie
 
Kwa walioo chelewaaa kuombaa through Nacte kujiunga na vyuo vikuuu.
Hawa TCU wanaanza lini maombi ya vyuoo na sifaa zikojeee??
 
Nacte walisema watafungua kwa bado ina maana wana subiri nn wengine tunaomba mtufungulie
 
Ni nini mahuzui ya mtandao wa badoo? ni kweli ni mtandao wakudeti?
ni kweli ni mtandao wa wanawake wanaojiuza kujipatia wateja wao?
ni kweli ni mtandao wa wanaume magogoliko kujiopolea?

Nawasilisha wajuvi nidadavulieni.
 
Jamani naongea kwa machungu na masikitiko makubwa mno.

MKASA: Leo katika pekua pekua zangu mtandaoni nikasema ngoja nipitie mtandao wa badoo nijue nini kinaendelea huko... LAHAULA ile nimeingia nikasign in tu muda kidogo txt zina miminika nikajiuliza maswali huku mbona watu wakarimu hivi baada ya muda nikawa naulizwa vipi na kukaribishwa kula UBWABWA mnaweza kudhania natania ila kiukweli nimeshangaa sana, siyo mmoja tu bali kwa dakika kama 10 nikiwa on nimepata txt nne.

Nikasema ngoja nijue hasa interest yao hasa ni nini mpaka wameamua kujinadi hivyo cha ajabu wanatumia lugha ya ukarimu kuliko ata dada zetu. Kiukweli nimeogopa sana sikujua khali imefikia hapa wasiwasi wangu serikali inajua kinachoendelea??

Upande wa pili nao siyo haba biashara inaendelea eti, nimetoka nikiwa nimekata tamaaa kabisa kama vijana hasa wa kiume wameamua kujitoa kupikwa UBWABWA kwa idadi kubwa ile binafsi nimeogopa na kutambua taifa LIMEISHA BUNGULIWA KIASI CHA KUTOSHA JUHUDI ZA ZIADA ZINATAKIWA KIUKWELI.

Nipeni pole mwenzenu nimeigopa sana jamani sikujua kama tumefikia huku.
 
Back
Top Bottom