Maombi maalumu kwa wanaotafuta wenzi wa maisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maombi maalumu kwa wanaotafuta wenzi wa maisha

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Obama wa Bongo, Jun 11, 2012.

 1. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  wana jukwaa nachukua fursa hii kuwakaribisha katika mkutano wa injili uafanyika katika vivanja vya biafra kinondoni,
  Kutokana na vijana wengi kupata changa moto ya wenzi wa maisha ,kuna program maalum ya mafundisho ya vijana
  jinsi ya kuchagua mwenzi wa maisha ,pamoja na maombi maaluma
  ili tuwe na taifa bora ,inaazwa kujengwa kuanzia nyumbani ,wote mnakaribishwa sababu huduma hii ni bure

  nawasilisha wapendwa
   
 2. D

  Dinam Senior Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  inafanyika lini na tarehe ngapi?
   
 3. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  dinam kuanzia tarehe 2/6 mpaka 16/6/2012
   
 4. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Muda gani?
   
 5. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  kuanzia saa tisa mchana mpaka saa 12 kamili jioni
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Mmmmmh, matamanio yetu ya kibinadamu yasizidi imani zetu.
  Kikubwa, omba kuijua njozi yako.

  Mkutano mwema!
   
Loading...