MAOMBI :kwa wale ambao mmepitia Kipindi cha ujauzito tunaomba ushauri wenu

Super women 2

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
5,165
6,531
Habari zenu.

Kama ulipitia Kipindi cha ujauzito 0-9 miezi.
Unaweza kutusaidia tunaotaka kupata watoto,
Changamoto za mimba, ulaji, vitu muhimu vya kufanya Kipindi cha ujauzito,
Unatakiwa Ule Nini ambacho ni Kizuri kwa afya Kipindi cha mimba,.

Unatakiwa utayarishe vitu vya kujifungulia ,muda gani ni sahihi wa kutayarisha.
Yaani tunaomba tu tusheee yoteeeeeeee Kuhusu MIMBA .asanteni.

Na labda Kama Kuna Mada ya hivi ilishakuja hapa. Naomba nitagiwe
Screenshot_20190107-223225.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu.

Kama ulipitia Kipindi cha ujauzito 0-9 miezi.
Unaweza kutusaidia tunaotaka kupata watoto,
Changamoto za mimba, ulaji, vitu muhimu vya kufanya Kipindi cha ujauzito,
Unatakiwa Ule Nini ambacho ni Kizuri kwa afya Kipindi cha mimba,.

Unatakiwa utayarishe vitu vya kujifungulia ,muda gani ni sahihi wa kutayarisha.
Yaani tunaomba tu tusheee yoteeeeeeee Kuhusu MIMBA .asanteni.

Na labda Kama Kuna Mada ya hivi ilishakuja hapa. Naomba nitagiwe View attachment 988942

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana
Super@women 2
 
Kubeba mimba ni kitu cha kawaida sana,usitumie nguvu nyingi kuumiza kichwa;we beba,piga mashine utengeneze njia,kula vyakula vya lishe,mazoezi ya kutembea ili kulainisha nyonga,nunua vifaa,nenda kajifungue.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom