Maombi kwa Spika Wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Mungu tunajuwa Wewe ni Mungu mwaminifu sana. Naniukweli usio pingika ktk malango yako ya siri haikuwa Rahisi kwa Dr Tulia kupita nakuwa. Spika wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tz.

Mlinde na ufunike ktk kipindi hiki waovu wameongezeka ktk uso wa dunia. Unajuwa yakuwa anamitego na majukumu mazito ktk meza yake. Furaha yakuwa Spika ni ndogo kuliko kazi ngumu iliombele yake. Wewe unajuwa kazi yake ni kuchaguwa uzima au kifo.

Nakuomba muonyeshe njia yaku ya hepa mambo yanaweza kuwa hatari kwa maisha yake.

Mungu wangu na Baba yangu najuwa una mpango mzito kuliponya taifa mpango ambao watawala hawaujuwi na wala hawautegemei. Ila Wewe ndie uweka serikali nakuziondoa haki na sheria za watanzania zinatungwa ktk bunge letu. Basi tunakuomba utukumbuke wa Tz ktk kipindi chake bunge litunge sheria nzuri na kuishauri serikali na serikali ikubali kushauriwa.

Mungu najuwa hata ningekuomba kwa kiasi gani ila msaidizi wake wajuwa vile atakuwa msumari wa moto kama ulivyokuwa kwa alie ondoka ila Mungu akulinde ndio maisha na yote mshukuru Mungu.

Najuwa utakuwa ukipata taarifa za siri na uwenda nyingine zitakushituwa sana ila Mungu wangu akakutie nguvu nakukupa hekima kubeba yote pasipo kukosa uvumilivu.

Amen
 
:rolleyes: :rolleyes: :rolleyes: Kumbe Ulinisikia Baba... kumbe walipo dharau.. wewe umetenda. Kweli Nakuogoba Baba.
 
Mwambieni Tulia atubu kwanza dhambi ya Wizi wa Kura na kudhulumu haki ya Sugu Mbeya
Mungu hana Muda na Waovu
 
You need to act immediately!

Nchi hii imekosa dira.

Imagine mtu anakopa na kujenga madarasa elfu 15 afu hajaajiri mwalimu hata mmoja, na mpango uliopo ni kuajiri walimu elfu 7 tu! Ni wazi kuna kukurupuka katika utendaji kwa waliokabidhiwa dhamana.

Kama kweli huo mpango wa kuliponya taifa upo, basi nauombea ufanikiwe kwa asilimia mia.

Imefika wakati wezi wezi ndo wanasifiwa na kutukuzwa, wazelendo na wasema ukweli wanaonekana ndo majangiri.
 
You need to act immediately!

Nchi hii imekosa dira.

Imagine mtu anakopa na kujenga madarasa elfu 15 afu hajaajiri mwalimu hata mmoja, na mpango uliopo ni kuajiri walimu elfu 7 tu! Ni wazi kuna kukurupuka katika utendaji kwa waliokabidhiwa dhamana

Tumelogwa na nani sijui
 
Serikali hii siipendi haijali wananchi wake, wale wazalendo wameonyeshwa mlango wa kutoka nje, Mungu atajibu kwa Moto.
 
Mungu tunajuwa Wewe ni Mungu mwaminifu sana. Naniukweli usio pingika ktk malango yako ya siri haikuwa Rahisi kwa Dr Tulia kupita nakuwa. Spika wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tz.

Mlinde na ufunike ktk kipindi hiki waovu wameongezeka ktk uso wa dunia. Unajuwa yakuwa anamitego na majukumu mazito ktk meza yake. Furaha yakuwa Spika ni ndogo kuliko kazi ngumu iliombele yake. Wewe unajuwa kazi yake ni kuchaguwa uzima au kifo.

Nakuomba muonyeshe njia yaku ya hepa mambo yanaweza kuwa hatari kwa maisha yake.

Mungu wangu na Baba yangu najuwa una mpango mzito kuliponya taifa mpango ambao watawala hawaujuwi na wala hawautegemei. Ila Wewe ndie uweka serikali nakuziondoa haki na sheria za watanzania zinatungwa ktk bunge letu. Basi tunakuomba utukumbuke wa Tz ktk kipindi chake bunge litunge sheria nzuri na kuishauri serikali na serikali ikubali kushauriwa.

Mungu najuwa hata ningekuomba kwa kiasi gani ila msaidizi wake wajuwa vile atakuwa msumari wa moto kama ulivyokuwa kwa alie ondoka ila Mungu akulinde ndio maisha na yote mshukuru Mungu.

Najuwa utakuwa ukipata taarifa za siri na uwenda nyingine zitakushituwa sana ila Mungu wangu akakutie nguvu nakukupa hekima kubeba yote pasipo kukosa uvumilivu.

Amen
The man who see tomorrow... Now Tuli is doing as per his oaths... Pray for Tuli
 
Back
Top Bottom