Maombezi ya Kisasa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
13592319_885458961559427_5010095921410227019_n.jpg
 
Hhahahahahahhaa uhuru wa habari loooh

Saasa hapo alizama kiukweli kwenye kuabudu au alipozi ili picha ionekane kweli yuko kwenye kuabudu. Japo wa nyuma yake yuko deep.

Hii mambo ya ku update status hii ni sheeedeeer
 
anaonekana yupo deep huenda anataka kurithisha kizazi chake
 
Hahahaah sasa anataka apost ktk social media...!!! Balaa tupu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom